Elections 2010 Best Case Scenario "Dr. Slaa Kuwa Mbunge"

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best thing to happen for our beloved country
 
Kwani ni lazima Dr.Slaa awe mbunge. Hivi hana kazi nyingine tofauti na za bunge na hasa hasa ndani ya chama chake.
 
kwani ni lazima dr.slaa awe mbunge. Hivi hana kazi nyingine tofauti na za bunge na hasa hasa ndani ya chama chake.

Pamoja na kazi zingine but ingependeza sana kwa yeye pia kuwepo Mjengoni kuhakikisha maslai ya nchi hayachezewi na kuwakilisha sauti ya umma bila uoga. Nadhani bungeni panamfaa sana
 
Kwani ni lazima Dr.Slaa awe mbunge. Hivi hana kazi nyingine tofauti na za bunge na hasa hasa ndani ya chama chake.

Kina mama Nkya hawako bungeni lakini pia wanasikika.... Bungeni ni pahala muafaka ila pia kama vp anaweza kuchakarika humuhumu mtaani.:israel::israel::israel::israel:
 
Pamoja na kazi zingine but ingependeza sana kwa yeye pia kuwepo Mjengoni kuhakikisha maslai ya nchi hayachezewi na kuwakilisha sauti ya umma bila uoga. Nadhani bungeni panamfaa sana

Ni wakati wa kukisuka chama kiwe bora. Vijana wa kileo wana imani nacho. afanye hiyo kazi. anaweza sana. 5 years to come is not so far.
 
Dr. Slaa afanye kazi ya kukijenga Chadema na kukiandaa kwa uchaguzi wa mwaka 2015, hata Mwalimu Nyerere alifanya hivyo mapema mwaka 1962. Hakuna ulazima wa kuwa mbunge sasa, waliopo watatoa mchango wao. Ni mawazo finyu pia kuombe eti mbunge mmoja afe au ajiuzulu ili yeye akagombee huko. Lakini pia, si kweli kwamba Dr. Slaa anaweza kugombea jimbo lolote hapa nchini na akachaguliwa.
 
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best thing to happen for our beloved country

CHADEMA sio kama ccm, ww unazaliwa Basil mramba waziri/mbunge hadi leo huko jimboni mwake hakuna wengine wanaozaliwa?

mwache dr apumzike sio lazima awepo mjengoni
 
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best thing to happen for our beloved country

Kama Mwana-Chadema nasema hapana. Si lazima Slaa(PhD) aende mjengoni. Wapo vijana, tena mahiri, jasiri na wasomi. Cha muhimu hapo ni kwa Dokta kutoa directives za namna ya kupresent na ku-defend hoja kwa vijana wake pale inapobidi.

Kwenda bungeni kwa mtindo wa namna hiyo kunaweza kutafsiriwa kuwa 'mtaani ni pakavu'. Kweli ni 'pakavu' lakini Chadema kama chama kwa hadhi na heshima yake hakiwezi kushindwa kumtunza Dokta huku kitaa.
 
Back
Top Bottom