Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni.

Ndipo nikajiuliza hivi angechagua kuja hapa kwetu kwa ajili ya kujifunza kuna chochote angeambulia kama somo la namna ya kuendesha siasa za upinzani!?
 
Pumbavu wewe! yaani kuunganisha vyama ni shule toka kenya??
 
1413844_1472526319303.jpg
 
angejifunza usaliti na uchumia tumbo wa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani tz

angejifunza kwenda ubalozini kushitaki serikali pia.
 
Pumbavu wewe! yaani kuunganisha vyama ni shule toka kenya??
Imenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?

1. Ugumu wa maisha unaoletwa na tozo za CCM?

2. Ukosefu wa elimu?

3. Unaabudu kwa waganga wa kienyeji?
 
Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni.

Ndipo nikajiuliza hivi angechagua kuja hapa kwetu kwa ajili ya kujifunza kuna chochote angeambulia kama somo la namna ya kuendesha siasa za upinzani!?
Angeambulia kucheka heka na kukenuakenua mimeno kwa nje kiunafiki
 
Imenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?

1. Ugumu wa maisha unaoletwa na tozo za CCM?

2. Ukosefu wa elimu?

3. Unaabudu kwa waganga wa kienyeji?
Dogo hujanielewa soma unielewe
 
huku angeongea na nani sasa, huku hakuna vyama vya siasa zaidi ya magenge ya kihuni yakiongozwa na kaka yao CCM...
 
Imenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?

1. Ugumu wa maisha unaoletwa na tozo za CCM?

2. Ukosefu wa elimu?

3. Unaabudu kwa waganga wa kienyeji?
No 2 ni jibu la vyote
 
Back
Top Bottom