Bernie Sanders ndiye Raisi ajaye wa USA

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hilo liko wazi kabisa Donald Trump yupo kwa ajili hiyo ya kuhakikisha Bernie Sanders ndiye anakuwa Raisi wa ,,USA baby"!
Hilarry Clinton hana nafasi yoyote ile ya kushinda kwani maestablishement wamemuweka kiporo tu wanasubiri filimbi ipulizwe halafu waibue upya skandali la
E -mail na kutishia kumfunga!!

Baada ya aliyeitwa Raisi mweusi (Obama), sasa maestablishement wameamua ni zamu yake na huyo ndiyo mwisho wa kila kitu, kwani huyu ndiyo anakwenda kukamilisha USA agenda ya kutawala Dunia!
 
Mh.

Hii ngumu kumesa aiseeeee.

Subiri uone hiyo game sasa, kwani Obama ilikuwaje?? Unafikiri Obama ni juhudi zake ndizo zilizompa Uraisi? Hapana, ni ma elite wa ,,USA baby" ndiyo waliotaka iwe hivyo na alishaandaliwa long time, hivyo hata huyu Myahudi Sanders itakuwa hivyo, Trump ametumiwa tu kuondoa wale ambao wangeweza kumpa shida Sanders kama akina Bush & Co. kuna sababu kwa nini Trump amechukuwa mijeledi yote ktk kila mahali lkn hajamshitaki mtu wkt ,,USA baby" ni nchi ya kushitaki shitaki tu kila kitu!
 
Mmeanza tena na blah blah zenu.

Mlisema trump atakatwa na Republican kama ccm walivyomfanyia lowassa.

Jamaa amepeta na sasa mnahamia kwa Clinton

Iko hivi, ujinga huo wa kitanzania haupo sehemu zingine duniani, especially USA.

Angalia tu namna kura zao za maoni zilivyo fair.

Sio mambo ya kupitishwa na vikamati uchwara, wananchi /wanachama ndio wanaomua, hakuna viroho vya kwa nini huko
 
kwani kunashida,? kutawala dunia mbona wanatawala tangu siku nyingi.....

Wanatawala ndiyo lkn ilikuwa bado haijakamilika kabisa, kwani bado kuna watu wanaweka kibesi kama Urusi, Uchina na Irani hawo wote dawa yao inachemka, Ulaya walishachemka zamani!
 
Subiri uone hiyo game sasa, kwani Obama ilikuwaje?? Unafikiri Obama ni juhudi zake ndizo zilizompa Uraisi? Hapana, ni ma elite wa ,,USA baby" ndiyo waliotaka iwe hivyo na alishaandaliwa long time, hivyo hata huyu Myahudi Sanders itakuwa hivyo, Trump ametumiwa tu kuondoa wale ambao wangeweza kumpa shida Sanders kama akina Bush & Co. kuna sababu kwa nini Trump amechukuwa mijeledi yote ktk kila mahali lkn hajamshitaki mtu wkt ,,USA baby" ni nchi ya kushitaki shitaki tu kila kitu!
Unachokisema ni kweli, kwa nchi kama USA urais huwa hauji kwa bahati mbaya, huwa zinafanyika vetting za hatari na wenye nchi wenyewe.

Swali gumu hapa ni je huyu Sanders ndiye aliyeandaliwa na "system" au kuna mwingine??
 
Mmeanza tena na blah blah zenu.

Mlisema trump atakatwa na Republican kama ccm walivyomfanyia lowassa.

Jamaa amepeta na sasa mnahamia kwa Clinton

Iko hivi, ujinga huo wa kitanzania haupo sehemu zingine duniani, especially USA.

Angalia tu namna kura zao za maoni zilivyo fair.

Sio mambo ya kupitishwa na vikamati uchwara, wananchi /wanachama ndio wanaomua, hakuna viroho vya kwa nini huko

Wewe hauna uelewa na uchaguzi wa ,,USA baby" umelishwa tu maneno ya demokrasia na media na wewe unakubali, kwa taarifa yako tu chaguzi zote Duniani hupangwa na maelite na mbinu hutofautina kulingana na sophistication ya jamii husika, wanaopanga raisi wa TZ mbinu zao ni tofauti na wanaopanga Raisi wa USA lkn wote ni wale wale tu, kuna ma elite ndiyo wanaoamua nani awe Raisi na nani asiwe na siyo Wananchi!

na ndiyo maana hata ,,USA baby" kwenyewe kuna kitu wanaita voter aparthy yaani ususiaji wa wananchi kupiga kura na moja ya sababu ndiyo hiyo watu hawaoni tofauti ya nani Raisi mwisho wa siku kila Raisi anafanya yale yale tu ya kuhudumia ma elite, leo wa ,,USA baby" wengi hawaoni tofauti ya Obama na Bush ingawaje mwanzoni walitoa machozi alipoapishwa!
 
Inawezeka ni kweli.....rais wa taifa kubwa kama USA hawezi kutoka from no where!...hapa bongo Rais alie andaliwa kwa mda mrefu ni Benjamini mkapa,
 
Wewe hauna uelewa na uchaguzi wa ,,USA baby" umelishwa tu maneno ya demokrasia na media na wewe unakubali, kwa taarifa yako tu chaguzi zote Duniani hupangwa na maelite na mbinu hutofautina kulingana na sophistication ya jamii husika, wanaopanga raisi wa TZ mbinu zao ni tofauti na wanaopanga Raisi wa USA lkn wote ni wale wale tu, kuna ma elite ndiyo wanaoamua nani awe Raisi na nani asiwe na siyo Wananchi!

na ndiyo maana hata ,,USA baby" kwenyewe kuna kitu wanaita voter aparthy yaani ususiaji wa wananchi kupiga kura na moja ya sababu ndiyo hiyo watu hawaoni tofauti ya nani Raisi mwisho wa siku kila Raisi anafanya yale yale tu ya kuhudumia ma elite, leo wa ,,USA baby" wengi hawaoni tofauti ya Obama na Bush ingawaje mwanzoni walitoa machozi alipoapishwa!
Haya mkuu, siku hazigandi, yetu macho na masikio
 
Subiri uone hiyo game sasa, kwani Obama ilikuwaje?? Unafikiri Obama ni juhudi zake ndizo zilizompa Uraisi? Hapana, ni ma elite wa ,,USA baby" ndiyo waliotaka iwe hivyo na alishaandaliwa long time, hivyo hata huyu Myahudi Sanders itakuwa hivyo, Trump ametumiwa tu kuondoa wale ambao wangeweza kumpa shida Sanders kama akina Bush & Co. kuna sababu kwa nini Trump amechukuwa mijeledi yote ktk kila mahali lkn hajamshitaki mtu wkt ,,USA baby" ni nchi ya kushitaki shitaki tu kila kitu!

Obama alishinda primaries election.... Sanders kwa sasa hawezi kumfikia Clinton...
 
Mmeanza tena na blah blah zenu.

Mlisema trump atakatwa na Republican kama ccm walivyomfanyia lowassa.

Jamaa amepeta na sasa mnahamia kwa Clinton

Iko hivi, ujinga huo wa kitanzania haupo sehemu zingine duniani, especially USA.

Angalia tu namna kura zao za maoni zilivyo fair.

Sio mambo ya kupitishwa na vikamati uchwara, wananchi /wanachama ndio wanaomua, hakuna viroho vya kwa nini huko
mkuu. Umeongea point sana. Huku kwetu ni majumgu.umbea.uzabizabina.ndiyo umetawala, mgombea hatokani na watu bali kikundi cha watu wachache ndiyo wanamajina yao mfukoni.

Wanakanyaga maoni ya wengi na kuinua yakwao, sote tunajua fitina alizofanyiwa ndugu lowassa, kisa wivutu.

Mungu Atamlipia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom