Bernard Membe yu wapi jamani?

Ndugu wana jukwaa salam,

Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo.

Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni Mimi tu ndio simsikii tena?

Daaaah! kwa kweli tambo za jasusi huyu mbobezi ziliniacha hoi!
Some of the threads need no comment.
 
Anakula maisha Dubai
 
Membe Penati ya dakika 89 iligonga mwambwa kocha akaona amtoe kwenye kikosi cha kwanza
Ndugu wana jukwaa salam,

Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo.

Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni Mimi tu ndio simsikii tena?

Daaaah! kwa kweli tambo za jasusi huyu mbobezi ziliniacha hoi!
 
Ndugu wana jukwaa salam,

Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo.

Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni Mimi tu ndio simsikii tena?

Daaaah! kwa kweli tambo za jasusi huyu mbobezi ziliniacha hoi!
atakuwa amerudi TISI
 
... ananuka saa hizi; harufu ikitulia utamwona.
 
Ndugu wana jukwaa salam,

Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo.

Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni Mimi tu ndio simsikii tena?

Daaaah! kwa kweli tambo za jasusi huyu mbobezi ziliniacha hoi!

Alifanya kampeni mkoa moja tu na kushika nafasi ya tatu. Tena hapo ni baada ya Nape kukimbia na mabox ya kura za Lindi na Mtwara huku akiamuru za Ruvuma kukimbizwa. Kwa maana hiyo angekuwa wa pili. Angefanya nchi Zima angekuwa wa pili au angeongoza. Labda hii ilikuwa maana ya goli ya dk ya 89.

Lisu aliyekuwa akishabikiwa ati tu kwasababu ya huruma ya majeraha ya risasi amekimbia nchi na sasa inadaiwa anafanyakazi kwenye kiwanda cha sigara Ubelgiji. Huko anasema wananchi hawako tayari na mabadiriko na kwamba wamempuuza alipowaambia waandamane. Kwa maana nyingine amenyong'onyea. Mpiganaji anapokimbia watu wake anaowapigania kwa hofu ya maisha yake unaanza kujiuliza kwanini aliamua kupigana kama hayuko tayari kufia vitani. Membe amebaki ndani kadhalika wagombea wengine, kwanini Lisu kakimbia?

Wasaliti ni Zitto, Maalim na kwa kiasi fukani Lisu aliyetukimbia huku tukimhitaji. Hawa waliambiwa na intelijensia mwanzoni mwa mwezi wa 9 kwamba kamwe wasingeshinda uchaguzi huu na kwamba wangekamatwa kabla na baada ya uchaguzi. Wakashauriwa wasusie uchaguzi na kuacha kabisa kufanya kampeni na washinikize tume huru. Wakamtosa kwa kebehi yule aliyewashauri, wakapokea mkwanja wa kampeni kutoka kwa yule aliyetaka washindwe na akawaaminisha wangeshinda. Kila aliyewashauri kwamba wasingeshinda uchaguzi na kwamba wanatakiwa kubadirisha mchezo mzima wakamwita msaliti aliyetumwa kuwavuruga. Zitto na Maalim wamekataa kutambua matokeo ya uchaguzi lakini kimsingi wameshakubali Maalim awe makamu Zanzibar. Wanatafuta tu namna ya kuulainisha umma kabla Maalim hajakubali cheo ambacho kinamlazimu kwanza kukubali matokeo na kumtambua Mwinyi kama mshindi halali. Kumeanza lugha kwamba ni faida kwa ACT kupambana wakiwa ndani kuliko wakiwa nje, kana kwamba walipokuwa ndani Maalim alishinda urais.

Membe. Yupo wapi? Nadhani anatafakari uzwazwa wa akina Zitto na Maalim wa kumtosa kwenye kampeni na kumwita msaliti aliyetumwa huku wakisahau wao ndio walimwomba ajiunge ACT. Uzwazwa uliosababisha akose urais au kukifanya chama chake kikose kuwa chama kikuu cha upinzani na hivyo kukidhi kiu yake ya kuibomoa ccm. Sidhani kama yupo kwenye mahusiano mazuri na uongozi wa ACT. Anatafakari uzwazwa wa wapinzani kudhani kura tu ndio zinazoweka kiongozi madarakani. Uzwazwa wapinzani kudhani kwamba upinzani unashinda kwa kujaza watu majukwaani kama afanyavyo Diamond au Fally Ipupa. Uzwazwa wa kudhani kwamba kila anayetoka CCM kwenda upinzani iwe ameitwa na upinzani au amekwenda mwenyewe basi ni msaliti na wakuogopwa na kwamba kamwe ushauri wake usisikilizwe.

Membe ndio mpinzani wa kweli aliyebaki, akifuatiwa na Mbowe. Membe ndiye aliyepambana na Magufuli kama jeshi la mtu moja ndani ya CCM. Tukambeza, tukaacha kumpa nguvu kama nchi. Alipigana akijuwa kwamba nchi ilikuwa inaingia shimoni ambamo sasa tuko. Vita yake na Magufuli ilianza 2016 hadi kipindi chote ambacho wapinzani wakienda ikulu kupata 'nasaha' na bahasha. Membe hajaonekana ikulu wala kwenye picha ya pamoja na mpizani wake. Hii ina maana moja tu, Magufuli alimhofia zaidi Membe kuliko mgombea yeyote na focus ilikuwa kumshinda Membe. Ajabu wananchi na upinzani tukabadili gia angani tukaenda na Lisu. Sasa tumeshikwa na aibu kwa Membe kumwambia samahani kumbe wewe ndio haswa uliyejaribu kuzuia tufani hili tangu 2016, shahidi wetu Musiba na gazeti lake.

Kwa msimamo wa Membe juu ya anachokiamini hawezi kurudi CCM chini ya Magufuli. Kibaya zaidi alifukuzwa ccm na hana historia ya kulamba miguu ya kiumbe yeyote anayeishi duniani. Hana historia ya kulamba matapishi yake. Simuoni akifanya hivyo. Kadhalika sioni Membe akifurahia uwepo wake ACT baada ya kile alichotendewa na majina mabaya aliyopewa na viongozi wa juu wa ACT. Hawawezi kumwita msaliti alafu bado akawa comfortable kubaki nao. Nadhani uanachama wake uliisha na kampeni zake.

Cha kujiuliza wanajamii forum ni je ACT bado ni chama au tawi la Chadema? Je Zitto na Maalim ni wapinzani wakweli au wapinzani wanaohangaikia matumbo yao? Mwisho, CCM itaondolewa pasipo yenyewe kugawanyika? 'pasipo kuinyang'anya' vyombo vya dola? Pasipo kazi kubwa ya kiintelijensia ku engineer anguko hilo? Haya ni maswali muhimu kuliko kuuliza wapi yupo Membe alieyekwishaigana vita hii akiwa pekeyake ndani ya CCM hadi akafukuzwa, akajiunga ACT kuendeleza vita vyake na Magufuli huko akapigwa na wale anaowapigania.
 
Bado ninaendelea tu Kumtafuta Mtanzania aliyewadaganya Watanzania kuwa Bernard Membe ni Jasusi Mbobezi Kiuwezo na anastahili Kuitwa hivyo.
 
Uchaguzi upi huo? Maana hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Mara ya mwisho nilikutana nae Zurich,,nikielekea Amsterdam,,yeyeakirudi africa,,
Alinambia kaamua kuachana na siasa alime ufuta
 
Bado ninaendelea tu Kumtafuta Mtanzania aliyewadaganya Watanzania kuwa Bernard Membe ni Jasusi Mbobezi Kiuwezo na anastahili Kuitwa hivyo.
Membe siyo kachero mzoefu angekuwa hivyo angenusa harufu ya kuporwa pesa zake mapema angeweza kujipanga vizuri, kachero gani unazidiwa mbinu wakati makachero wenzake wangeweza kumtonya mapema kinachojili
 
Mara ya mwisho nilikutana nae Zurich,,nikielekea Amsterdam,,yeyeakirudi africa,,
Alinambia kaamua kuachana na siasa alime ufuta
Pesa zote kaporwa hana kitu kilichobaki ni kurejea CCM apate kuokoa mali zilizosalia tu
 
Back
Top Bottom