idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Waziri Mstaafu wa Mambo ya nje Bernard Membe imeitaka serikali kukemea utekaji unaondelea nchini hasa wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi
Ameongeza kuwa huu sio utamaduni wa Taifa letu.
Viongozi wa serikali na Chama pia vyama vyote, bila kusahau viongozi wa dini wa madhehebu yote kukemea kwa nguvu utamaduni huu mpya kwenye nchi yetu.....bila kusahau Wastaafu wa ngazi zote.
Amesema itafika wakati wawekeza,watalii na wageni mbalimbali wataogopa kutembelea nchi yetu sababu ya sifa hii mbaya.
Akizungumzia kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu, amesema hata yeye ameshangazwa na hiyo taarifa.
Hata hivyo amesema anaamini Lissu haki yake ataipata Mahakamani