Bernard Membe. Nyota inayong'aa sana sasa hivi. "Kachero Mbobezi

Pamoja na MAGUFULI kunikwaza katika baadhi ya maeneo. Haya yanampa kredi kwangu.

1. Vijana waliathiriwa na madawa ya kulevya, VIJANA waliharibika, asilimia kubwa ya madereva walipoendesha gari walitembea na viloba, biashara ya madawa ya kulevya ilikuwa ya kawaida. Mtu aliyeokoa kizazi cha VIJANA wa sasa na kuwafanya kuwa na akili timamu anastahili sifa pamoja na madhaifu yake kama binadamu. Mtu ambaye aliona acha afaidike bila kujali athari kwa wengine siwezi kumuunga mkono.

2. MAGUFULI ametutoa katika ule ulimwengu wa wakubwa kumiliki kila bishara ya mabasi, malori, ardhi kubwa kubwa, wanasiasa walikuwa wanashindana KUMILIKI nyanja zote za uchumi bila kujali. Ardhi zimerudishwa kwa maskini, kwa watanzania wote bila kujali tofauti.

3. Wanasiasa walishaanza kutengeneza mazingira ya WATOTO wao kuja kututawala baadaye, MAGUFULI ameuvunja huo mfumo, na sasa tunasonga mbele. Angalia akina Mwigulu na wengine walikuwa na system ndani ya system, mfano ni pale vikosi vya siri vilipotembea nchi mzima kuandika Mwigulu raisi 2015 mpaka kwenye mbuga za wanyama.vilianza kuundwa vikosi vya wawania madaraka. Mungu ametuepusha pamoja na udhaifu wa MAGUFULI mwache aendelee ili yale mavikosi ya wapenda madaraka kwa gharama yoyote yatoweke. Ingawa yale mavikosi yanaonekana kwa siri yameanza kuungana.

4. Mimi ni muumini wa mji mkuu wa Dodoma, siku zote niliwaza sana lini tutapata shujaa atakayetupeleka Dodoma, Mungu si athumani, akatokea MAGUFULI akasema Watanzania wakati umefika twendeni Dodoma, hapa ndipo lilipo kutaniko halisi la wana wa Tanganyika, maana Dar es salaam ilisababisha wote tuige utamaduni wa pwani tukawa kama nchi ya wambeya na waimba taarabu. Dododma itakutanisha tamaduni nyingi sana.

Mazuri ni mengi na yana thamani kuliko mabaya. Sipendi kujiunga na vyama vya siasa. Nipo tayari kukosolewa.

Ujumbe toka kwa mwalimu wa chekechea Uzunguni Mbeya karibu SANA.
 
Mkuu ndani ya JF ni kweli mtamwondoa

Ila uraiani mtamwondoa 2025.
Mkuu, ukisema tutamtoa unamaanisha kwa Mtutu.mimi Simaanishi hivyo.Namaanisha Wananchi wamechoka na hali ngumu ya Maisha. Hakuna Ajira, bishara zinafungwa, wawekezaji wanakimbia demokrasia na utawala wa sheria vimekwenda na maji. Watu wachache tu ndiyo wananufaika. Walio wengi wanasota. Juzi wametupiga 1.5 trillion, ukijaribu kuuliza unaambiwa wewe siyo Raia.Je? Kwako unaona Sawa?
 
Membe si ndo huyu huyu aliyekamatwa yule muhindi kule dodoma na mahela kibao ya kuwahonga wajumbe ili wampitishe ??

Nitakuwa wamwisho kumkubali Kama nilivyokuwa wa mwisho kumukubali lowasa
 
Pamoja na MAGUFULI kunikwaza katika baadhi ya maeneo. Haya yanampa kredi kwangu.

1. Vijana waliathiriwa na madawa ya kulevya, VIJANA waliharibika, asilimia kubwa ya madereva walipoendesha gari walitembea na viloba, biashara ya madawa ya kulevya ilikuwa ya kawaida. Mtu aliyeokoa kizazi cha VIJANA wa sasa na kuwafanya kuwa na akili timamu anastahili sifa pamoja na madhaifu yake kama binadamu. Mtu ambaye aliona acha afaidike bila kujali athari kwa wengine siwezi kumuunga mkono.

2. MAGUFULI ametutoa katika ule ulimwengu wa wakubwa kumiliki kila bishara ya mabasi, malori, ardhi kubwa kubwa, wanasiasa walikuwa wanashindana KUMILIKI nyanja zote za uchumi bila kujali. Ardhi zimerudishwa kwa maskini, kwa watanzania wote bila kujali tofauti.

3. Wanasiasa walishaanza kutengeneza mazingira ya WATOTO wao kuja kututawala baadaye, MAGUFULI ameuvunja huo mfumo, na sasa tunasonga mbele. Angalia akina Mwigulu na wengine walikuwa na system ndani ya system, mfano ni pale vikosi vya siri vilipotembea nchi mzima kuandika Mwigulu raisi 2015 mpaka kwenye mbuga za wanyama.vilianza kuundwa vikosi vya wawania madaraka. Mungu ametuepusha pamoja na udhaifu wa MAGUFULI mwache aendelee ili yale mavikosi ya wapenda madaraka kwa gharama yoyote yatoweke. Ingawa yale mavikosi yanaonekana kwa siri yameanza kuungana.

4. Mimi ni muumini wa mji mkuu wa Dodoma, siku zote niliwaza sana lini tutapata shujaa atakayetupeleka Dodoma, Mungu si athumani, akatokea MAGUFULI akasema Watanzania wakati umefika twendeni Dodoma, hapa ndipo lilipo kutaniko halisi la wana wa Tanganyika, maana Dar es salaam ilisababisha wote tuige utamaduni wa pwani tukawa kama nchi ya wambeya na waimba taarabu. Dododma itakutanisha tamaduni nyingi sana.

Mazuri ni mengi na yana thamani kuliko mabaya. Sipendi kujiunga na vyama vya siasa. Nipo tayari kukosolewa.

Ujumbe toka kwa mwalimu wa chekechea Uzunguni Mbeya karibu SANA.
Hayo uliyotaja ni mambo machache na mepesi sana na yamekaa kibinafsi sana, yaani unaonekana kuna jambo ulilonufaika nalo. Selfish, tunazungumzia hali ya Uchumi kijamii na kisiasa kwa ujumla
 
Hakuna anayeweza kupinga kwa hoja kwamba kwa sasa ndani ya CCM Tishio namba moja kwa JPM ni Kachero Mbobezi Bernard Kamiliusi Membe.. Huyu mtu Sifa zake Zinakaribia kufanana Sana na za Kikwete.Anaonekana ni mtu mwenye busara na Huruma. Na muonekano wake, anaonekana ni mtu mtulivu sana. Smat. Hana pupa. Ni understand. Muelewa sana. Pia anaonekana ni mtu mwenye damu ya kupendwa Kama ilivyo kwa Jakaya Kikwete.na anaonekana ni mpole na mnyenyekevu sana,

Jana nimeona clip ktk mitandao. Ni Msiba alikuwa anajaribu kumchafua Bernard Membe. Lakini nilichogundua, tuhuma alizotoa Juu ya Membe ni nyepesi sana, yaani Kama tuhuma hizo tu ndio Msiba anategemea amtishe nazo Membe basi namshauri ajipange upya kwa sababu kishindo cha huyu Kachero Mbobezi huko mbele kitakuwa siyo kidogo Kama ambavyo Msiba anafikiri.

Nimkumbushe tu Msiba kuwa hata JPM wakati wa kampeni kulikuwa kunatolewa tuhuma nyingi juu yake Kama vile Kugawa nyumba za Serikali kwa marafiki zake, kuleta kivuko kibovu na kuliingizia Taifa hasara ya mabillioni nk.lakini wananchi waliona tuhuma hizo hazina uzito sana na matokeo wakaamua kumchagua kutokana na record yake alipokuwa wizara ya Ujenzi. Bahati mbaya sana kwa Msiba ni kwamba hizi Tuhuma amekosea na kuzitoa mapema sana, kiasi kwamba mpaka kipindi cha uchaguzi kifike zitakuwa zime expire .

Zaidi kinachomfanya Bernard Membe, Kachero Mbobezi kung'aa sana kwa sasa ni kutokana na utendaji kazi wa JPM ambao Wananchi wengi wanaona haufai. Na hii inatokana na kuporomoka kwa hali za uchumi za wananchi wengi na kusababisha maisha Yao kuwa magumu sana tofauti na miaka minne iliyopita.

JPM anaonekana kutawala Nchi kwa nguvu kubwa sana, jambo linalopelekea wateule wake kufanya kazi kwa woga na bila ubunifu. Kwa sababu mtu Muoga hawezi kuwa Mbunifu.Mtu Muoga hupenda Sifa.

Kwa hali ya Kisiasa ilivyo sasa Hata wapinzani wataona ni bora kumpa sapoti Membe pengine labda kunaweza kuwapa ahueni hali itakawafanya waweze kufanya siasa bila kubughudhiwa Kama ilivyokuwa wakati wa Kikwete. Ndani ya CCM hali ni hivyo hivyo. Wengi wanaugulia maumivu. Watu wamechoka.

Kwa ndugu Membe, kuna hii kauli yake aliyoitoa majuzi. "KAZI NA BATA" hii kauli inaamsha hisia za watu wengi sana,Ndani ya CCM na hata Upinzani. Ni kauli inayowapa watu matumaini mapya baada ya kukata tamaa, Wananchi hawako tayari kuendelea kuvumilia hali hii ngumu ya maisha kwa miaka mingine mitano.
Unapomsema ni kachero Mbobezi una maana gani? Kuna watu wamekaa kazini miaka 30, bila manufaa kwa taifa na wao pia. Kama kweli huyu ni 'mbobezi' ilikuwaje asielewe njia aliyopitia kuelekea urais, 2015, ilikuwa haimfikishi kokote? That was judgement failure, inexperience qualities.
 
Huo ulikuwa ni utamaduni wa wakati huo, hakukuwa na jinsi. Na pia Ushahidi Hakuna, ni stori za kutunga
 
Go Membe save us from this... Sisi watumishi hatuna thamani tena... Tumetawanywa kama kondoo asiye na Mchungaji.... Wengine UDOM.. wengine Ihumwa... Wengine Mjini Kati....
Mishahara ambayo ni haki yetu ya Msingi tunanyimwa kwa kisingizio cha miradi mikubwa.... Go Membe....
Hakuna anayeweza kupinga kwa hoja kwamba kwa sasa ndani ya CCM Tishio namba moja kwa JPM ni Kachero Mbobezi Bernard Kamiliusi Membe.. Huyu mtu Sifa zake Zinakaribia kufanana Sana na za Kikwete.Anaonekana ni mtu mwenye busara na Huruma. Na muonekano wake, anaonekana ni mtu mtulivu sana. Smat. Hana pupa. Ni understand. Muelewa sana. Pia anaonekana ni mtu mwenye damu ya kupendwa Kama ilivyo kwa Jakaya Kikwete.na anaonekana ni mpole na mnyenyekevu sana,

Jana nimeona clip ktk mitandao. Ni Msiba alikuwa anajaribu kumchafua Bernard Membe. Lakini nilichogundua, tuhuma alizotoa Juu ya Membe ni nyepesi sana, yaani Kama tuhuma hizo tu ndio Msiba anategemea amtishe nazo Membe basi namshauri ajipange upya kwa sababu kishindo cha huyu Kachero Mbobezi huko mbele kitakuwa siyo kidogo Kama ambavyo Msiba anafikiri.

Nimkumbushe tu Msiba kuwa hata JPM wakati wa kampeni kulikuwa kunatolewa tuhuma nyingi juu yake Kama vile Kugawa nyumba za Serikali kwa marafiki zake, kuleta kivuko kibovu na kuliingizia Taifa hasara ya mabillioni nk.lakini wananchi waliona tuhuma hizo hazina uzito sana na matokeo wakaamua kumchagua kutokana na record yake alipokuwa wizara ya Ujenzi. Bahati mbaya sana kwa Msiba ni kwamba hizi Tuhuma amekosea na kuzitoa mapema sana, kiasi kwamba mpaka kipindi cha uchaguzi kifike zitakuwa zime expire .

Zaidi kinachomfanya Bernard Membe, Kachero Mbobezi kung'aa sana kwa sasa ni kutokana na utendaji kazi wa JPM ambao Wananchi wengi wanaona haufai. Na hii inatokana na kuporomoka kwa hali za uchumi za wananchi wengi na kusababisha maisha Yao kuwa magumu sana tofauti na miaka minne iliyopita.

JPM anaonekana kutawala Nchi kwa nguvu kubwa sana, jambo linalopelekea wateule wake kufanya kazi kwa woga na bila ubunifu. Kwa sababu mtu Muoga hawezi kuwa Mbunifu.Mtu Muoga hupenda Sifa.

Kwa hali ya Kisiasa ilivyo sasa Hata wapinzani wataona ni bora kumpa sapoti Membe pengine labda kunaweza kuwapa ahueni hali itakawafanya waweze kufanya siasa bila kubughudhiwa Kama ilivyokuwa wakati wa Kikwete. Ndani ya CCM hali ni hivyo hivyo. Wengi wanaugulia maumivu. Watu wamechoka.

Kwa ndugu Membe, kuna hii kauli yake aliyoitoa majuzi. "KAZI NA BATA" hii kauli inaamsha hisia za watu wengi sana,Ndani ya CCM na hata Upinzani. Ni kauli inayowapa watu matumaini mapya baada ya kukata tamaa, Wananchi hawako tayari kuendelea kuvumilia hali hii ngumu ya maisha kwa miaka mingine mitano.
 
Bernard Membe anayo haki kikatiba kugombea Urais comes 2020 kupitia CCM! Katiba ya CCM inatoa nafasi ya Rais kuongoza kwa miaka 5, mambo mengine ni UTAMADUNI tu ambao si lazima kufuata!
Mambo ya kufuata UTAMADUNI fulani ni maamuzi ya Wana CCM na si kulazimishwa!
Mbona suala la KUKEKETA wanawake huko nyuma ulikuwa ni utamaduni safi kabisa! Mbona leo tunapinga UKEKETAJI?!
Hata UTAMADUNI wa Rais aliyeko madarakani kwenda mihula 2 unaweza kutazamwa Upya?
Kama Urais wako hauna tija kwa TAIFA na manufaa kwa Wananchi basi watu wavumilie tu!
Huo ni Uzwazwa uliopindukia!
Well said!👍🏽👏🏽
 
Hakuna anayeweza kupinga kwa hoja kwamba kwa sasa ndani ya CCM Tishio namba moja kwa JPM ni Kachero Mbobezi Bernard Kamiliusi Membe.. Huyu mtu Sifa zake Zinakaribia kufanana Sana na za Kikwete.Anaonekana ni mtu mwenye busara na Huruma. Na muonekano wake, anaonekana ni mtu mtulivu sana. Smat. Hana pupa. Ni understand. Muelewa sana. Pia anaonekana ni mtu mwenye damu ya kupendwa Kama ilivyo kwa Jakaya Kikwete.na anaonekana ni mpole na mnyenyekevu sana,

Jana nimeona clip ktk mitandao. Ni Msiba alikuwa anajaribu kumchafua Bernard Membe. Lakini nilichogundua, tuhuma alizotoa Juu ya Membe ni nyepesi sana, yaani Kama tuhuma hizo tu ndio Msiba anategemea amtishe nazo Membe basi namshauri ajipange upya kwa sababu kishindo cha huyu Kachero Mbobezi huko mbele kitakuwa siyo kidogo Kama ambavyo Msiba anafikiri.

Nimkumbushe tu Msiba kuwa hata JPM wakati wa kampeni kulikuwa kunatolewa tuhuma nyingi juu yake Kama vile Kugawa nyumba za Serikali kwa marafiki zake, kuleta kivuko kibovu na kuliingizia Taifa hasara ya mabillioni nk.lakini wananchi waliona tuhuma hizo hazina uzito sana na matokeo wakaamua kumchagua kutokana na record yake alipokuwa wizara ya Ujenzi. Bahati mbaya sana kwa Msiba ni kwamba hizi Tuhuma amekosea na kuzitoa mapema sana, kiasi kwamba mpaka kipindi cha uchaguzi kifike zitakuwa zime expire .

Zaidi kinachomfanya Bernard Membe, Kachero Mbobezi kung'aa sana kwa sasa ni kutokana na utendaji kazi wa JPM ambao Wananchi wengi wanaona haufai. Na hii inatokana na kuporomoka kwa hali za uchumi za wananchi wengi na kusababisha maisha Yao kuwa magumu sana tofauti na miaka minne iliyopita.

JPM anaonekana kutawala Nchi kwa nguvu kubwa sana, jambo linalopelekea wateule wake kufanya kazi kwa woga na bila ubunifu. Kwa sababu mtu Muoga hawezi kuwa Mbunifu.Mtu Muoga hupenda Sifa.

Kwa hali ya Kisiasa ilivyo sasa Hata wapinzani wataona ni bora kumpa sapoti Membe pengine labda kunaweza kuwapa ahueni hali itakawafanya waweze kufanya siasa bila kubughudhiwa Kama ilivyokuwa wakati wa Kikwete. Ndani ya CCM hali ni hivyo hivyo. Wengi wanaugulia maumivu. Watu wamechoka.

Kwa ndugu Membe, kuna hii kauli yake aliyoitoa majuzi. "KAZI NA BATA" hii kauli inaamsha hisia za watu wengi sana,Ndani ya CCM na hata Upinzani. Ni kauli inayowapa watu matumaini mapya baada ya kukata tamaa, Wananchi hawako tayari kuendelea kuvumilia hali hii ngumu ya maisha kwa miaka mingine mitano.
Andikeni upupu wooote duniani, lakini wapiga kura wa Tanzania ya JPM siyo wajinga kihivyo. Haters will be haters forever, lakini tafuteni uchochoro mwingine wa kutokea.
 
Hapo kwenye "mwenye huruma"... mnh!!! Si ndiye aliyesema kipindi kile kwamba akipata uraisi mahasimu wake wataihama nchi??
 
Back
Top Bottom