Bernard Membe na mkewe warudisha kadi za CCM. Aishukuru CCM kwa mema yote iliyomtendea

Mimi sipendi sasa ila nakupenda wewe kwa sababu ya ujasiri ulionao wa kuamini na kusimamia mambo ambayo hayawezi kutokea,Uko imara Mkuu nakupenda kwa hilo.
Najua unayaongea haya huku moyoni ukijua kuwa mwisho wenu ndiyo unawadia wa kuendelea kuwaibia watanzania rasilimali zao.
 
Unajua hakuna biashara nzuri kama mikataba kama hii..

Membe atalipwa kama ifutavyo

1. Kuchukua form upinzani bil 1
2. Kufanya kampeni bil 10
3. Baada ya uchaguzi kila mwezi atakula 10% ya ruzuku ya vyama husika alivyo viwakilisha.
Leo saa 6 na nusu mchana mimi na mke wangu nikisindikizwa na mamia ya Wananchi wa Rondo, tumerejesha kadi zetu za CCM kwa wenyewe. Nimemwandikia KM wa CCM kuhusu tukio hilo na kukishukuru chama kwa mema yote kilichonitendea. Nawatakia kila la heri viongozi na Wanachama wote.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

 
Sawa sawa kabisa.......
Watz wanaongea kwa sanduku la kura ambao nyie mbwa hamtaki kabisa maana mnajua CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watz wkt chama cha kishetani ccm kipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi.....
Mume wako polepole alisema namnukuu "uchaguzi ukiwa huru na wa haki....." Malizia kenge ww
Naona umeshakata tamaa ya kushinda!

Yani pamoja na kujua yote hayo bado mtaenda kwenye uchaguzi! Huo si uzuzu?
 
ALISHAFUKUZWA SIKU NYINGI SANA. SASA ANAJIHUZURI KUTOKA CHAMA GANI?ALIFUKUZWAAA!
 
Kawadanganye mazuzu wenzako wa lumumba, niko mwanza nakuona kila siku unazunguka kwenye mabaa kupiga mizinga
Acha weee! Mizinga kama ile ya mwenyekiti anayokunywa hadi anateguka miguu?
 
Duh, kila la kheri Mh. Membe, Mungu akubariki huko uendako, yote ni maisha, kuna maisha ndani ya CCM na kuna maisha nje ya CCM, maisha yanasonga kokote kule, kikubwa peace of mind & heart. Nafahamu Mh. Membe lazima atachukuliwa na upinzani kugombea Urais, mimi sioni tatizo ni haki yake, ila bado CCM ni Chama imara na nionavyo kitaendelea kushika hatamu miaka mingi ijayo, haijalishi nani atagombea Urais kupitia CCM atashinda kutokana na Katiba iliopo.
 
ALISHAFUKUZWA SIKU NYINGI SANA. SASA ANAJIHUZURI KUTOKA CHAMA GANI?ALIFUKUZWAAA!
Mazuzu ni nyie mnaoshangilia ushindi wa tume wakisaidiwa na polisi sio ushindi wa kura za wananchi.....

Mme wako polepole..... Uchaguzi ukiwa huru na hakiiii....
 
Siri zote mlivyo iba kura tutazijua sasa hivi

Hahah Kachero mbobevu Mabere Marando alisema pigeni kura nendeni nyumbani mambo ya kura niachieni mimi ghafla kabla ya Uchaguzi mkuu huyo kaenda India anaumwa,Tambwe Hiza akasema mbinu zote za CCM kuiba kura nazijua nyie tulieni tu lkn mwisho wa Siku jamaa wakaiba kura kama kawaida yao,Apson Mwangonde boss mkuu mstaafu wa Tiss aliyehama na Lowassa kwenda Chadema lkn jamaa wakaiba kura kama kawa.

Eti ndio aje hapa Membe ndio asaidie kuzuia huo wizi,hahah ujinga ni raha sana.

Ccm wizi ni jadi yao na wataiba tena kama kawaida yao na cha kufanya hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom