Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

Kwani amesemaje Maembe?
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
 
Membe hata angesubiri miaka ngapi au angewahi vipi KAMWE hawezi kuwa rais wa nchi hii tukufu. Hivi mnadhani Mungu kaenda likizo? Nani asiyejua kiongozi mkubwa sana nchi hii alimsapoti lakini kwa miugiza ya Mungu akakosa kabisa?
 
Kwani Ben Membe kawaambia anataka kuwa raisi? Yaani kimya chake kinawatesa sana huko Lumumba..
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!

Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??

Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais

Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
 
Kuna kitu hakiko sawa kwenye kujenga hoja kwako!

sikusikia kama Membe alishawahi kuongea au kushiriki shughuli za jamii ili kuvuta atention ya watu kama walivyofanya akina Lowasa kabla ya 2015. Kwa hiyo naona kama mnaanza kujishutkia/kujihisi

Unasema asubiri mpaka 2025, nakuuliza kwani katiba ya ccm haina kura ya maoni 2020 ili wagombea wachaguliwe na NEC ya ccm?

Katiba ya nchi yetu haijasema akitoka Mwislamu anaingia mkristo, hizo ni hisia zako, je ingekuwa hivyo vipi kuhusu dini zingine?
Membe hata kuwa Rais 2020 Full stop! La sivyo nenda porini au uhame nchi.!!
 
Amekariri eeee

Back
Top Bottom