Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
MembeeeeeeeThe Kamilius
MembeeeeeeeThe Kamilius
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!
Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??
Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais
Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
Sasa ndo umendika nini wewe stupid immature? Wewe utakuwa premature kama si mtoto. Na ubongo wako hau develop.Kwendraaaaa
Singeli imewashinda bavicha magoti
Kitendo cha kuanza kutengeneza makundi ndani ya chama ni kudhofisha kazi ya mwenyekiti Wa chama ambaye kwa sasa ndiye raisi .ni kudhofisha serikali iliyoko madarakani.nasema hivyo kwa sababu tumeona jinsi makundi yalivyotaka kukiangamiza chama kwanzia 2010-2015.watu wanaacha kufanya kazi wanaanza mbinu chafu za kupata uungwaji mkono na kupata kura!
Kwa sasa Bernard Membe ana miaka 65! Kwa hiyo akisubiri 2025 atakuwa na zaidi ya miaka 70.je katiba inasema kuhusu umri Wa kugombea urais!??
Lakini kingine Bernard siyo lazima awe rais.mbona kuna potential candidates wapo Mf waziri Mkuu Majaliwa tena kutoka kusini? Halafu 2025 ni zamu ya mwislamu!! Angalia hili: Jk Nyerere>Alli Hassan Mwinyi>Benjamini Mkapa>Jakaya kikwete>John P.M>.>>>.kwa mtiririko huu labda kama ilitokea as coincidence, Bernard Membe inamlazimu awe mwislam ( aitwe Bakari Membe) ndo awe rais
Ebu tuache makundi jamani tumwache Rais,ajenge nchi yetu,ajenge kiundo mbinu imara,nk,baadae sasa ndo tuanze harakati za kutafuta urais
2020 Tunaenda na BM. #KaziNaBata
WanawewesekaUnasema angekaa kimya kwani kesha sema nini mpaka sasa?
Membe hata kuwa Rais 2020 Full stop! La sivyo nenda porini au uhame nchi.!!Kuna kitu hakiko sawa kwenye kujenga hoja kwako!
sikusikia kama Membe alishawahi kuongea au kushiriki shughuli za jamii ili kuvuta atention ya watu kama walivyofanya akina Lowasa kabla ya 2015. Kwa hiyo naona kama mnaanza kujishutkia/kujihisi
Unasema asubiri mpaka 2025, nakuuliza kwani katiba ya ccm haina kura ya maoni 2020 ili wagombea wachaguliwe na NEC ya ccm?
Katiba ya nchi yetu haijasema akitoka Mwislamu anaingia mkristo, hizo ni hisia zako, je ingekuwa hivyo vipi kuhusu dini zingine?
Mkuu wewe ni mchicha mwiba?? Hyo kwedraa ni ya watu wa aina hyo, acha huo mchezo sio mzr utakuja kutembea huku kinyesi kinatoka bila kujijua.Kwendraaaaa
Singeli imewashinda bavicha magoti
USAWAkupitia chama gani
Sio yeye pekee raia wengi waona ipo haja ya option B, kulingana na Yanayotusibu. Tusijenge taifa la hovyo la Kifalme.
Kuna kitu hakiko sawa kwenye kujenga hoja kwako!
sikusikia kama Membe alishawahi kuongea au kushiriki shughuli za jamii ili kuvuta atention ya watu kama walivyofanya akina Lowasa kabla ya 2015. Kwa hiyo naona kama mnaanza kujishutkia/kujihisi
Unasema asubiri mpaka 2025, nakuuliza kwani katiba ya ccm haina kura ya maoni 2020 ili wagombea wachaguliwe na NEC ya ccm?
Katiba ya nchi yetu haijasema akitoka Mwislamu anaingia mkristo, hizo ni hisia zako, je ingekuwa hivyo vipi kuhusu dini zingine?
Panic disorder syndrome...
JAMAA WANAMJAZA KINGI ILI APOTEANE 2025 WACHUKUE KILAINI. NA WACHA APOTEANE ILI AJIFUNZE . wamwache mwenyekiti ajenge chama na nchi kwanza JPM go ahead.
mdanganyeni kama mlivyomdanganya yule bwana akahamia ukawa ... ccm mpya JPM imara