Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,276
- 25,716
Hakuna mtu aliyetekwaAskari wamemkamata kwa lipi?
Mbona unadharau Askari na kuwapa credit wasiojulikana.
Hata MO hakutekwa,
Nyie wadanganyika mtadanganywa hadi lini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu aliyetekwaAskari wamemkamata kwa lipi?
Mbona unadharau Askari na kuwapa credit wasiojulikana.
Mambo mengine ni classified , yaache kama yalivyoKama katekwa na askari si angepewa nafasi ya kuwasiliana na wakili wake
Nilikuwa mmoja ya askari haoUmejuaje wamekamatwa na askari
Membe anawapiga sound vilaza wasiojielewa.vipi huko kwenu saa kumi ishafika! nasubiri hapa kusikiliza mheshimiwa akimwaga kuku kwenye mtama wengi
Membe hana chochote cha kuwachanganya ccmSafari ya membe inawachanganya ccm wanadhani alienda kukusanya details na mikakati kutoka kwa FBI na MOSSAD
Wewe elewa kwamba jamaa hajatekwaUnawajua hao askari..!? Askari hawezi kuteka..!?
Wewe acha hizo saccos wameshindwa hata kuweka bango hata moja kwa kuwa pesa za wabunge walizochanga Faru John na genge lake walizipiga sasa wanasubiri 25% waletewe na mabeberu lakini yameshituka yanaenda kwa uangalifu sana!! Dar imezizima Rais Magufuli tuu kila kona! Msaliti Lissu aliabika sana Dar.Hii ni muvi tu,deep state inataka watu wasimjadiri Lisu anavyo ibomoa ccm kiasi kwamba Jiwe,anatoka mishuzi tu,wajadili utekaji wa wasiojurikana,
Kila kona matangazo na lipicha likionyesha kizee kisicho na mvuto,sasa Kama umefanya Mengi,na wewe ni jembe,sasa matangazo yoote na mabango ya nini?unamtangazia nani?wakati wote wanakufahamu.
Hili tukio la Membe la utekaji,litakuwa limepangwa na maccm na Membe mwenyewe
Cha kushangaza zaidi atarudishwa/atapatikana akiwa mzima bukheri wa afya bila hata ya mchubukoDuh! Wamemteka tena?
Polisi wanakamata kwa kificho?Membe ana mikwara kama Polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo?
Cha kushangaza zaidi atarudishwa/atapatikana akiwa mzima bukheri wa afya bila hata ya mchubuko
Sasa hapo dhaifu ni nani? Kati ya membe na vyombo vya usalama? Yaani kiongozi mkubwa kama yeye afanye igizo, na vyombo vya usalama vipo?!! Basi hatuna vyombo vya ulinzi na usalama?Membe anajaribu kufanya igizo ili angalau apate kutajwa tajwa!
Zamani tuliitaga mikwara bubu.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.
ITV Tanzania
Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
Zamani tuliitaga mikwara bubu.