Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

Siku zote mtu akitekwa,CCM huwa wanakuja na maneno yaliyojaa kejeli na karaha!
Ila uzuri haya mambo yana mwisho.
 
vipi huko kwenu saa kumi ishafika! nasubiri hapa kusikiliza mheshimiwa akimwaga kuku kwenye mtama wengi
 
Membe ana mikwara kama Polepole

Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo?

Kwa nini amekamatwa na Polisi.

Taarifa ya kukamatwa na sababu zitolewe na Polisi ili kutoleta TAHARUKI.
 
Back
Top Bottom