Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,926
Uchunguzi ukikamilika utaijua sheria iliyotumika.Kwa sheria ipi?
Uchunguzi ukikamilika utaijua sheria iliyotumika.Kwa sheria ipi?
kwa hiyo ww pia ni katika wale wasio julikanaUchunguzi ukikamilika utaijua sheria iliyotumika.
Siwajui watu hao. Mimi ni raia mwema wa Jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibarkwa hiyo ww pia ni katika wale wasio julikana
Membe anawachezea akili tuNaona membe akienda kufanya uokoaji kama movie ya mission impossible
Mnataka kujua alicho kwenda kufanya DubaiMembe ana mikwara kama polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo ?
Kauli yako ni sawa na makonda siku aliyotekwa romaWewe elewa kwamba yupo kwenye mikono salama, mengine hayakuhusu bwashwee
Halafu Airport?Duu! Kutekana mpaka mchana wa juakali! Hii ni hatari sana!
Sasa kama huwajui ulijuaje kama yumo katika mikono ya PolisiSiwajui watu hao. Mimi ni raia mwema wa jamhuri ya muungano wa Tanganyika na zanzibar
Si ametekwa?Tusaidie tafadhali. Yupo kituo gani cha polisi? Amekamatwa kwa kosa gani?
Hatari mno asee!Halafu Airport?
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Niguse ninuke. Baba umeguswa,nuka sasa.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Niguse ninuke. Baba umeguswa,nuka sasa.
Unawajua hao askari..!? Askari hawezi kuteka..!?Membe ana mikwara kama polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo ?
Hii ni muvi tu,deep state inataka watu wasimjadiri Lisu anavyo ibomoa ccm kiasi kwamba Jiwe,anatoka mishuzi tu,wajadili utekaji wa wasiojurikana,Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui masaa matatu wamwachie akiwa mzima na salama."