Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

Kama kuna Mtanzania ambaye huwa simwelewi Bernard Membe ni Mimi GENTAMYCINE na nashangaa ilikuwaje Yeye kuwa Foreign Minister Wetu.
Umeniwahi nilitaka kuuliza swali kama hilo. Lakini Mkuu si unajua mpaka kuwa foreign minister lazima awe kipepeo kweli kweli. Alikula kiapo kikali mno. Unakumbuka issue ya Balozi Juma Mwapachu kule zanzibar alipokihama chama chenu na kwenda CUF 2010? Nini kilimkuta?? Kuna nafasi zingine za kiserikali ukishajiunga humo inabidi uchague. Upoteze uhuru wako au uachane nazo ulinde uhuru wako.

Membe hayuko huru kutokana na nyazifa alizowahi kushika toka enzi za Nyerere.
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.

ITV Tanzania

Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
Katika watu hopeless ni huyu Membe, sijui Kikwete alimtoa wapi.
 
Membe kwa lugha ya kwetu ni pembe za ng'ombe au za mnyama yeyote.

Nashangaa pembe hizi butu ni pembe gani?

Ama ni za kondoo?

Mzee Membe uniwie radhi,ndo siasa zilivyo
 
Membe bwana unalitendea haki jina lako Jasusi Mbobezi(kachero) bora ulivyowawahi isije wakamua au kumtesa wasiojulikana
 
Membe hana mvuto; angeweka nguvu zaidi huko kwao kusini na kukomaa na siasa za Korosho pengine zingemfikisha mahala! Hivi sasa anaonekana kama amechanganyikiwa.
 
Membe hana mvuto; angeweka nguvu zaidi huko kwao kusini na kukomaa na siasa za Korosho pengine zingemfikisha mahala! Hivi sasa anaonekana kama amechanganyikiwa.
membe rudi ccm,HAUZIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Huyu alikuwa na jeuri akizania CDM watafanya upuuzi Kama wa 2015!!! Ndio maana unaona ananongwa mpaka na TL. Alitegemea nguvu ya ukawa na ndio maana Zk alikuwa anasisitiza upinzani kuungana akijua atamwaga PESA but wamefeli.
 
Huyu alikuwa na jeuri akizania CDM watafanya upuuzi Kama wa 2015!!! Ndio maana unaona ananongwa mpaka na TL. Alitegemea nguvu ya ukawa na ndio maana Zk alikuwa anasisitiza upinzani kuungana akijua atamwaga PESA but wamefeli.

Membe angeconcentrate kwao huko kusini kwenye ajenda ya KOROSHO kule wangemuelewa; tena angesimama kutetea jimbo lake la MTAMA, sasa yeye akaleta urafiki anamuachia Nape!!! Angegombea jimbo lake na kuwa Munge angekuwa na platform!!! Sasa atakula hizo hela walizoiba za GADDAFFI mpaka zitakwisha na boss wake!
 
Hana uwezo wa kunuka! Membe ni kama Lissu tu!

Alituambia ana watu 6 wazito watamfuata, matokeo yake jana kalia hawana hela mfukoni.
Wewe hata kama unasaka uteuzi sidhani kama mtukufu atakupa uteuzi kwani amekugundua huna unachokijua zaidi ya kuisha kwa zidumu fikra zisizo za mwenyekiti wa CCM
 
Wewe acha hizo saccos wameshindwa hata kuweka bango hata moja kwa kuwa pesa za wabunge walizochanga Faru John na genge lake walizipiga sasa wanasubiri 25% waletewe na mabeberu lakini yameshituka yanaenda kwa uangalifu sana!! Dar imezizima Rais Magufuli tuu kila kona! Msaliti Lissu aliabika sana Dar.
ingekuwa ni saccos msingetumia gharama kubwa kuwadidimiza kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kuwadhoofisha mngeacha wajifie wenyewe
 
Ni kweli mlinzi wake kakamatwa kwa mjibu wa sele 0715132277 rafiki mkubwa wa membe, kadai walimkamata kwa kuhisi kaingiza pesa nyingi za kampeni tokea Utaratibu, huyo sele anajua habari nyingi za membe na yeye ndiyo kathibitisha mpigieni simu awaelezee vizuri
 
Sele 0715132277 ni rafiki wa membe na pia ni rafiki wa Bashite hapo hapo
 
Back
Top Bottom