News Alert: Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
3,597
2,000
Hii ni muvi tu,deep state inataka watu wasimjadiri Lisu anavyo ibomoa ccm kiasi kwamba Jiwe,anatoka mishuzi tu,wajadili utekaji wa wasiojurikana,
Kila kona matangazo na lipicha likionyesha kizee kisicho na mvuto,sasa Kama umefanya Mengi,na wewe ni jembe,sasa matangazo yoote na mabango ya nini?unamtangazia nani?wakati wote wanakufahamu.
Hili tukio la Membe la utekaji,litakuwa limepangwa na maccm na Membe mwenyewe
Wewe acha hizo saccos wameshindwa hata kuweka bango hata moja kwa kuwa pesa za wabunge walizochanga Faru John na genge lake walizipiga sasa wanasubiri 25% waletewe na mabeberu lakini yameshituka yanaenda kwa uangalifu sana!! Dar imezizima Rais Magufuli tuu kila kona! Msaliti Lissu aliabika sana Dar.
 

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,464
2,000
Membe anajaribu kufanya igizo ili angalau apate kutajwa tajwa!
Sasa hapo dhaifu ni nani? Kati ya membe na vyombo vya usalama? Yaani kiongozi mkubwa kama yeye afanye igizo, na vyombo vya usalama vipo?!! Basi hatuna vyombo vya ulinzi na usalama?
 

MPIGA ZEZE

JF-Expert Member
May 16, 2011
2,446
2,000
Kwanza pole sana Mhe Membe kwa misukosuko unayopitia. Lakini, pia ni furaha kuona umejiunga na upande wa mabadiliko - karibu sana.
Kama kuna mwanahabari hapa JF, ningeomba ukipata fursa ya press conference na Mhe Membe, muulize swali hili kwamba wakati wa mchakato na hususan Bunge la Katiba Mpya Mhe Membe ulikuwa upande wa kupinga na hatimaye kufanikiwa kuizika Rasimu ya Warioba ambayo ilikuwa inasisitiza utawala bora, utawala wa sheria na haki. Kwa hivi unavyonyanyaswa na katiba inayomfanya Magufuli afikiri ndio muumba wa dunia hii, je unajutia kujiunga na upande uliopinga Katiba mpya? Na je, unaweza kuwashauri nini wanaCCM wenzako wa zamani ambao bado wako upande huo wa kuona Magufuli anakuwa mungu mdogo? Tungekuwa na katiba mpya, unafikiri ungekuwa huru zaidi ya ulivyo sasa?
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,747
2,000
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.

ITV Tanzania

Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,383
2,000
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.

ITV Tanzania

Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
Zamani tuliitaga mikwara bubu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom