Bernard Membe arithi nafasi ya Maalim Seif, ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa ACT Wazalendo

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa Chama hicho kuanzia jana, Agosti 02, 2020

Zitto amesema amefanya uteuzi huo kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 85(1) ya Katiba ya Kiongozi wa Chama hicho

Membe aliyehamia chama hicho hivi karibuni akitokea CCM anaenda kushika nafasi ambayo awali ilishikwa na Maalim Seif kabla ya kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho

Upofu mbaya sana,mnamkaribisha mbwa mwitu kwenye vazi la kondoo,ngoja wasambaratishwe.Hivi seriously wanachama wa ACT wanaamini kwamba Membe na Zitto ni upinzani,kweli nimeamini wajinga ndio waliwao.Lowassa na Sumaye wako wapi,na Lipumba yuko wapi na anafanya nini.Are people really so blind to see the obvious.
 
Mgeni anawezaje kujua siri na changamoto za nyumba ya mwenyeji wake hadi atoe ushauri?
 
Mgeni anawezaje kujua siri na changamoto za nyumba ya mwenyeji wake hadi atoe ushauri?

Yule ni jasusi mbobezi.

Anazijua siasa za ndani ya nchi hii kama maji.

Mbona Steven Wassira na Makongoro Nyerere walikuwa NCCR na baadae wakawa wajumbe wa NEC ya CCM?
 
Nnavojua kachero membe ataomba radhi na kurejea ccm January 2021
 
Hahhahaha... Hiki chama kinachekesha sana muundo wake!

Yani inaonekana Zitto ana mamlaka ya kuteua na kutengua muda wowote akitaka!
Kwani kuna tofauti gani na muundo wa CCM, CDM au vyama vingine TZ. CCM, ni Mwenyekiti ndiye huteua wajumbe wote wa kamati kuu including Makamu na Katibu Mkuu.
 
Duh, tangu Lini Membe ameshaiva na kujua itikadi za ACT. Upinzani wa TZ in pasua kichwa, kichefuchefu tupu. Huko Ufipa wako bize kumpitisha Nyalandu. Halafu kuna mijitu itashangaa na kubisha kuwa wagombea wote mwaka huu siyo wa CCM!!

Kama kawa kama ilivyokuwa 2015, mwaka huu tutegeme mtanange kati ya CCM iliyo ACT, au CCM itakayotoka CDM leo. Then, Matokeo tayari ya OCT. Kwani kuna swali???
Manda Bayyo ni watu wenye heshima zao, usiwachafue tafadhali. Jaribu kuficha upumbavu wako. Huna akili hata kidogo.
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa Chama hicho kuanzia jana, Agosti 02, 2020

Zitto amesema amefanya uteuzi huo kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 85(1) ya Katiba ya Kiongozi wa Chama hicho

Membe aliyehamia chama hicho hivi karibuni akitokea CCM anaenda kushika nafasi ambayo awali ilishikwa na Maalim Seif kabla ya kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho

Huyu Zito si ndiye aliyekuwa akiishutumu CCM ya kuwa inawapokea viongozi toka upinzani na kuwapa madaraka makubwa!! Sasa yeye kafanya nini!! Kweli nyani haoni KUNDUle
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa Chama hicho kuanzia jana, Agosti 02, 2020

Zitto amesema amefanya uteuzi huo kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 85(1) ya Katiba ya Kiongozi wa Chama hicho

Membe aliyehamia chama hicho hivi karibuni akitokea CCM anaenda kushika nafasi ambayo awali ilishikwa na Maalim Seif kabla ya kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho

Kumbe zito ni kiongozi wa milele! Wapinzani bwana, kaweka mwenyekiti geresha yeye ndo kila kitu, halafu kila siku wanalilia demokrasia! 28 October kura hatuwapi ng'oo
 
Kwa hili umma wa wapenda mageuzi watabebesha lawama Zitto, kwa kukubali kwa kutojua au kwa makusudi kumpokea pandikizi wa ccm.

Huyu ni pandikizi wa ccm ambae hapatani na mwenyekiti wa ccm basi!! Huko mbele Magu asipokuwepo atajenga hoja ya kutaka kurudi kwani atajinasibu kuwa yeye hakuondoka kwa hiari yake huko ccm, bali alifukuzwa na Jiwe bila ya kufuata utaratibu!! Time will tell kama huyu sio wanasiasa MALAYA!
 
Alafu eti kuna wakulungwa wanakwambia october 2020 CCM itashindwa uchaguzi.
CCM anashindwaje uchaguzi wakati wakuu wa vyapa pinzani ni CCM?
 
Huo ni ukweli usiyo na shaka kabisa mkuu, haiwezekani mtu atoke chama kigeni aje na hasira a kugombea urais.

Inawezekana akawa na agenda nyuma ya pazia na hili tu uliliona kwa Lowasa alivyo itenda cdm.

Back
Top Bottom