Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,842
- 20,687
Upofu mbaya sana,mnamkaribisha mbwa mwitu kwenye vazi la kondoo,ngoja wasambaratishwe.Hivi seriously wanachama wa ACT wanaamini kwamba Membe na Zitto ni upinzani,kweli nimeamini wajinga ndio waliwao.Lowassa na Sumaye wako wapi,na Lipumba yuko wapi na anafanya nini.Are people really so blind to see the obvious.Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa Chama hicho kuanzia jana, Agosti 02, 2020
Zitto amesema amefanya uteuzi huo kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 85(1) ya Katiba ya Kiongozi wa Chama hicho
Membe aliyehamia chama hicho hivi karibuni akitokea CCM anaenda kushika nafasi ambayo awali ilishikwa na Maalim Seif kabla ya kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho