Bernard Membe amjulia hali Zitto atakayefanyiwa upasuaji kesho baada ya kupata ajali

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,201
4,673
It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!


IMG_20201008_105047.jpg

 
Kumbe Membe anamiliki 'kitu kikubwa' huku yeye mdogo kwa kuachwa mbali namna hiyo!

Labda aliishamkuja samaki wake kabla hajamkaukia, vinginevyo kwa mwili huo, mtu anaweza kudhibitiwa kwa kipigo ndani, akafa na tai yake shingoni na jamii msijue chochote.

Wanaume tunabebaga mizigo 'over size' nyie!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Zito Kabwe na wewe ni binadamu pia mwenye nyama na damu inayoembea mwilini? Nilifikiri wewe ni Super human, wewe si ulimzulia Kifo Raisi wetu? Mimi nilifikiri kuwa wewe ni immortal, ona sasa umelala soo powerles sura mbaaaya na bado Mungu hajamalizana na wewe, ....
 
Ameenda kwenye hospitali gani au na hii iliyojengwa na Rais wa vitu ha ha! Na leo tumesikia kumbe ulikula mpunga wa ACACIA! Sijui mtapiga kampeni ipi tena!
Akili ndogo. Hospitali ya Muhimbili iko enzi na enzi unaposema kajenga Rais unamaaisha nini. Ameikuta na kama ni kuboresha basi ninwajibu wake kwa kodi zetu.
 
Akili ndogo. Hospitali ya Muhimbili iko enzi na enzi unaposema kajenga Rais unamaaisha nini. Ameikuta na kama ni kuboresha basi ninwajibu wake kwa kodi zetu.

Hicho kitanda kiwewekwa Hapo na Rais wa vitu we mpumbavu. Mpaka umesahau .Huyu Rais wa vitu amewabana kila kona na ile stendi ya mbezi msiende basi mpaka mrudi kwenu banyamulnge nyie
 
Back
Top Bottom