Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Yule Dereva Wake mwenye muonekano wa Kisomali angemrekodi tuu huko Hotelini na Kurusha Video U-Tube.. anaweza akawekewa Unga hata kwenye mic ya TBC au yeyote
 
Komredi membe hawa jamaa wanachotaka ni kukutupia virago ili uchaguzi wa 2020 uwe nje! wakimwaga mboga nawe mwaga ugali na lisahani tupia mbali! Kwendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....

Hongera sana Mwamba. tuko pamoja

Kesho mbona ni mbali sana? Ahadi kama hiyo ya Gibbons Mwaikambo haikutimia.

Pia hata yule waziri wa habari na vijana aliishia kupigwa pini.

Safari ya dar usiku nayo ni mtihani mwingine.

Ile ya baada ya kushiba ilikuwa tamu na salama zaidi.

Hawa jamaa si wema hata kidogo.
 
Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....

Hongera sana Mwamba. tuko pamoja
Huo umwamba ni upi?? maana kwenye kura za maoni tu aligalagazwa tena bado akiwa fresh.

Sasa hivi ni underground hawezi leta upinzani wowote.
 
Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....

Hongera sana Mwamba. tuko pamoja
Kumuita Membe mwamba ni kutafuta ugomvi na UVCCM.😠😠😠...Shauri yako
 
Back
Top Bottom