BERETI

Hassan Mambosasa

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
3,350
4,485
Ufunguo wa umajinuni,
Wazindua upunguani.
fimbo kwapani,
Bereti i kichwani,


Wazawa wawaonea,
Kisa wamejivalia,
Midomo umejifungia,
Mikono yaongea,


Waso na huruma,
hata kwa walo wema,
wale waso uhasama,
wala kujua huyu Mama,

Bereti kujivalia,
Isiwe ni sababu ya kuonea,
Jukumu walijua,
Taifa yakutegemea.

____________________________________________________________________________



HASSAN O MAMBOSASA,
juniormmbosasa@gmail.com
juniormambosasa@hotmail.com

www.maridhawa.com
www.facebook.com/riwayamaridhawa
 
Back
Top Bottom