Benzi za Ikulu toka Libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benzi za Ikulu toka Libya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Jan 16, 2009.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa waliopo Dar, zile benzi nne toka Libya zilizotolewa kwa JK hivi sasa ndio kwanza sasa zinatoka cargo airport baada ya kukaa hapo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Ilikuaje zikakaa muda mrefu pale?
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kumbe zilikuwa tano na kwanini wasizitoe na C21?
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hayo mambo tunawaachia nyinyi MASHUSHUSHU!! Imekuwaje Gaddaffi atupe benz?? Tulitembeza bakuli?
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nafikiri mwanzo jamaa watakuwa walikuwa wanakosea na kutoa ambazo sizo huku wakidhani za IKULU ila sasa huenda wameshazitambua zinazotakiwa kutoka original. "Wizi Mtupu"
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kufurikiria Benz tano kwa nchi kwa dunia ya siku hizi ni mawazo ya kimasikini? je hamna vitu vya maana vya kuongelea???
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kamundu,

  READ BETWEEN THE LINES!!!

  hata benz moja kutoka "Abyssinia" yaweza kujadiliwa na ina maana kuijadili kuliko hivyo vitu unavyovitaji kuwa "vya maana"!!!

  [soma kwa sauti kubwa kidogo na kutafakari]

  -- Benz TANO za "IKULU" kutoka "LIBYA" --
   
 7. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #7
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280

  ..sio mara ya kwanza ghadafi kutupa benz ...alipata kutupa 10 enzi ya mkapa ...lakini hakuzitumia kabisa alizipeleka foregn zikawa zinabeba VIP...

  Hata hizi nadhani zitagawiwa kwenye vyombo vyetu...au vinginevyo..kadiri watakavyoona inafaa...
   
 8. C21 Ni nini?
   
 9. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mbona tanzania tunapokea misaada kila siku ya magari ni kwanini hizi benz tano zinakuwa deal!!. Libya ni nchi ya Africa lakini haina maana haiwezi kusaidia!!!!! kama navyosema haya ni mawazo ya kimasikini
   
 10. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu Gadafi sijui anatutega nini nasikia pale dodoma karibu na uwanja wa jamhuri anajenga msikiti mkubwa sana na nasikia wameandika kabisa msikiti wa gadafi sasa sijui anamipango gani na hii nchi yetu
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa mheshimiwa mmoja aliyekutana na Gadafi karibuni, inaonekana Gadafi amechoshwa na ulimwengu wa Waarabu. Ameanza ku focus zaidi katika sub-saharan Africa. Kwa sasa anaelekeza juhudi zake za mahusiano na biashara na nchi za Afrika hasa kusini mwa Afrika--hence Tanzania comes into play. If this is the case I have no qualms with us having a cosy and friendly relationship with this leader.
   
 12. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Gaddafi si wa kwanza kujenga msikiti au kanisa hapa Tanzania wengi walishafanya hivyo.

  Pia kumbukumbu zangu zinanikumbusha wakati Mwalimu amesataafu Gaddafi alijenga Msikiti kule Butiama kama zawadi kwa wakazi pale. (Ninaweza kusahihishwa kama nimekosea)
   
 13. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Misaada ya kujenga misikiti je ni lini hawa watu watatoa misaada ya kujenga shule?????!!!!
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Jamani kwani hamjui Gaddafi anataka nini??anataka uraisi wa Africa....hamjui hili??
   
 15. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Never trust Gadaf huyu ni mhuni tu. Kumbuka alivyofanya na kusema Uganda wakati anafungua msikini alioujenga. Alisema: -
  1) Marais waliopo madarakani wawe wa kudumu
  2) Biblia ni kitabu cha kutungwa na hakina ukweli, akimaanisha Uislam pekee ndo sahihi

  Unaweza ukaona alivyo mbaguzi na mtu wa makundi. Isitoshe siku tatu zilizopita, aliwasiliana na machifu wa Uganda na kupanga kufanya nao mkutano mkubwa wenye lengo la kujadili ushirikiano wa kimataifa. Too ridiculous, how comes Rais wa nchi nyingine anaenda nchi isiyoyake na kuitisha mkutano na wazee (machifu) eti wajadili ushirikiano!

  Huyu jamaa mimi nimemweka katiaka kundi la wapuuzi na wenye uchu wa madaraka. ukiambatana naye umeliwa!!
   
 16. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyo gaidi gadafi anataka nini hapa tz?
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na sisi tunapokea tu misaada kwa sababu tuna dhiki!!!! Hatujali tunahitaji nini!!!!
   
 18. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Uchangiaji wetu hapa jukwaani wakati mwingine tunaangalia sura za nani anatupa msaada...tunachekesha!!!!

  Hivi mbona hatuhojji misaada ya wamarekani au wachina au wairan au waisraeli? hao ndiyo malaika? Tukumbuke kuwa Tanzania ni nchi huru inaweza kuamua lile ambalo inaliona linafaa kwa maslahi yake.
   
 19. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Je wewe unaamini QURAN sio kitabu cha kutungwa?


  Tanzanianjema
   
 20. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Labda kusaidiana na magaidi wenzake hapa Tanzania ambao ni karibia na nusu ya RAIA wote....

  Umeridhika?

  Tanzanianjema
   
Loading...