Benz C Class na E Class

Watu engine bana! wanajifanya hawaijui bongo!.....machejo tu. Bongo kununua gari mpya mpaka uwe FISADI! Acha tujinafasi na mayuzdi zetu...teh...teh! ngoma ya mwaka 2000 mpya kabisa bongo, ndiyo ni hatari kwa mazingira na usalama, lakn viwanda vilivyopo Japa ni HATARI zaidi kwa afya na usalama. Mtu anahitaji gari kwa ajili ya kuendea kazini, uwezo wake ndy huo kwa nini akope Mapesa kibao?
YA NINI UTUMBO UTUPWE WAKATI WENYEWE TWALIA NDIZI!

Karaghabaho na utozi wenu!
 
hayo madebe mnayouziwa huko afrika nayo mnayaita BMW,BENZ?!hawa jamaa wanatufanya sie majalala yao.hayo magari hayana hata sifa moja ya kuitwa BMW,BENZ,yamepita muda wake wa kuwa salama na imara kwa matumizi ya watu.ndio maana wanaya-DUMP afrika.kwa taaarifa yenu hakuna gari hata moja la "mnadani" japan linaloruhusiwa kukanyaga mtaa wa "tokyo".na mengi yao huwa yanatumia mashambani(japan vijijini) miaka 4-5 kabla ya kuelekea minadani.

free advice,if you can't afford a cheaper car,don't buy a premier car for cheap.

if its too good to be true,it ain't!


Acha mbwembwe kimweri, kila mtu anajikuna anapofikia!!

Unazungumzia mitumba kuja africa?? Mbona hata ulaya na marekani kwenyewe kuna watu wananunua magari mitumba???

Kila mtu anajikuna anapofikia!! Huwezi kugombania daladala huku unaki dola 10k chako kiko ndani kinazagaa zagaa!!

Huku bondo watu wananunua chupi na blauzia za mitumba, ije kuwa gari???

We mwenyewe kuwa kwako ughaibuni kote bado una gari ya mtumba!!!

Watz wenzangu endeleeni tu kununua hizo BMW na Benz za US$ 800 (FOB DSM Port)!!

Kila mtu anajikuna mpaka pale mkono unapofikia!!
 
kaniki; sina experience na C Class.

Ila E Class naweza kusema ni gari Ngumu sana. utakumbuka zamani UwT na Ikulu walikuwa nazo nyingi tu.

Mfano mimi toka 2005 sijawahi kubadili Spares zozote hadi this month nilipojilazimisha kubadili Shock-Up, tyre rod ends, Ball joints n. ingawa bado gari ilikuwa inatembea.

At around 150,000 KM E series bado inapeta wala engine hiona dalili yoyote ya kuchoka. Ndo kwanza wakati mwingine engine inatoa hata mist ukiwasha gari asubuhi.

Spare parts zinapatikana Mpya na Used. Ukienda pale Mivinjeni Kilwa Road kuna mafundi wazuri sana tena kwa bei nzuri tu.

E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.

Mengine nisiongee kwa kuwa hujauliza. Ila kwa ufupi, kama umewahi kuendesha gari za namna tofauti 4WD au saloon za Class zote, bado utakubaliana na mimi hakuna gari yenye Confort kama Mercedez Benzi at least E Series ninayoijua mimi.
Ni kweli ulichikisema mkuu.nimewahi kuwa nazo hizo E na c,ni gari nzuri sana na huwa hazina matatizo ila ujenge mazoea ya kufanya service.kuhusu vifaa vinapatikana pale sinza kuna jamaa anayo garage kwa ajili ya mabenzi tu,ni hela yako kama unataka used au nahitaji vifaa vipya.
 
Ni kweli ulichikisema mkuu.nimewahi kuwa nazo hizo E na c,ni gari nzuri sana na huwa hazina matatizo ila ujenge mazoea ya kufanya service.kuhusu vifaa vinapatikana pale sinza kuna jamaa anayo garage kwa ajili ya mabenzi tu,ni hela yako kama unataka used au nahitaji vifaa vipya.

Kwani haya mabenz yanamilikiwa na watu wanaoishi Dar tu, wapeni data za sehemu za kufanyia service na kupata spare parts na ndugu zetu wa mikoani. Jamaa zetu pale Kasulu, Isaka na Namtumbo watakua wanahitaji kujua hizo sehemu ili angalau wakaservice ma Benz yao!!
 
Kwani haya mabenz yanamilikiwa na watu wanaoishi Dar tu, wapeni data za sehemu za kufanyia service na kupata spare parts na ndugu zetu wa mikoani. Jamaa zetu pale Kasulu, Isaka na Namtumbo watakua wanahitaji kujua hizo sehemu ili angalau wakaservice ma Benz yao!!

umesema kweli mkulu!!!
sisi wa tunduru tuambieni spare zinapatikanaje?......natania jamani, huku vijijini saluni utaiendeshea wapi? huku tunaendesha patrol, prado, landrover na isuzu tuu....teh! teh! Hata spea tunaagiza kwenye mabasi ya SuperNajimunisa, Akamba, SuperFeo, Mohamed Trans na Sumry!!!! teh teh! inafika kwa bei mara tatu ya bei yake ya dukani!
SHAMBANI RAHA TUPU, SIJI MJINI NG'O!
 
Back
Top Bottom