Benson Mramba: CHADEMA tujiepushe na siasa za kibabe, viongozi wakubali kusemwa

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Tangu tarehe 14/06/2017 nilipoeleza kuhusu mwelekeo wangu kisiasa katika kipindi hiki kumekuwa na maoni kadhaa yaliyojitokeza kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki ,wanachama wenzangu na wanaonipinga pia. Kati ya mengi yaliyosemwa nitazungumzia mawili tu kwa leo:-

1. Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama.

2. Nimejipangaje kuhusu usalama wangu?

Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama
Napenda kusema kwa msisitizo kuwa sijahamia CCM ila nimeamua kuwa mwanachama mfu ili niwe huru kukosoa na kutoa maoni yangu waziwazi ambayo ninaamini yatasaidia kuimarisha demokrasia ndani ya Chama cha CHADEMA ambacho mimi ni mdau na Taifa kwa ujumla.

Aidha sio kweli kuwa mimi ninapingana na Chama . Mimi nimetangaza kumpinga Mwenyekiti wa CHADEMA na genge lake. Nimekosolewa kuhusu neno genge kuwa ni kali sana na lisilo na staha. Ila kwa uelewa wangu kuhusu neno hilo na kwa aina ya watu ninaokusudia kuwapinga na uthubutu wao wa kufanya jambo lolote (Daring Capability) niliona neno hilo ni muafaka ila kwa waliokwazika naomba waniwie radhi.

Naomba ieleweke kuwa sio kweli kwamba ukimpinga Mwenyekiti wa Chama basi wewe unapingana na Chama. Hii ni sawa na dhana kuwa ukipingana na Rais wa nchi basi wewe unapingana na Taifa zima. Ukitofautiana na mwenendo wa Mchungaji wako kanisani au Sheikh wako msikitini basi wewe unapingana na kanisa zima au msikiti mzima.

Hii sio kweli bali ni uelewa mdogo wa baadhi ya washabiki, wanachama na wapenzi wa Chama. Pia ni mbinu ya kisiasa ya kunikusanyia rundo la watu ninaopingana nao bila sababu wakati mimi sina upinzani na watu wengi kiasi hicho.

Labda kwa kutaja wachache mimi ninampinga Mwenyekiti wa CHADEMA namna ambavyo amekuwa akiendesha Chama kwa miaka kadhaa iliyopita hadi leo, na vijana wake Reginald Munisi , John Mrema, na Godbless Lema (Mb) na wengineo ambao wanasimamiwa na hawa. Nitaeleza sababu za kuwapinga siku zijazo.

Kuhusu usaliti, Hii nayo ni propaganda inayotumiwa na watawala dhidi ya wapinzani wao ulimwenguni kote. Kama hutaitwa msaliti utaitwa huna uzalendo, au umenunuliwa na wapinzani wa watawala. Kwa hiyo hili la usaliti nimelipuuza.

Ninajua mipaka yangu kwa maslahi ya Chama na sio ya watu wachache kwasababu mimi ni kiongozi ninayeamini katika maadili ya kazi za uongozi ikiwa ni pamoja na kutunza siri.
Nimejipangaje kuhusu Usalama wangu.

Jambo la usalama awali nililichukulia juu juu sio kwa uzito mkubwa kwa sababu ya kuamini niko katika Chama ambacho watu wanaweza kukosoana na kusemana wakati wowote bila kudhuriana maana ndivyo tunavyojionyesha katika majukwaa mbalimbali kuwa tunataka serikali na watawala wawe tayari kukosolewa wakati wowote na kusemwa kwa kila namna bila kuwadhuru wanaowasema.

Nimeshuhudia CHADEMA tukiipinga sheria ya mitandao, hatua za kufungiwa magazeti na madai ya watu kutekwa kwa sababu tu eti wanaikosoa serikali iliyopo madarakani. Mambo ambayo tumeyaainisha kuwa ni ya kidikteta.

Ila baada ya watu kunihoji sana na wengine ni viongozi wakubwa ndani ya Chama,pia Nilipoona yanayopangwa na viongozi juu yangu kupitia kwa wasamaria wema kuhusu kunishughulikia kimya kimya, nimeshtushwa na kusikitishwa sana. Hivyo swala la usalama kwa sasa nimelipa uzito mkubwa sana.

Aidha naomba ieleweke kuwa pamoja na kuwa najua mbinu nyingi zinazoweza kutumika kunidhuru ndani ya taasis yetu hii, mimi nimeamua kumtegemea Mungu na kuhusisha watu wengi (Ikiwemo vyombo vya dola kwa wakati muafaka) juu ya kila ushahidi ninaoupata kuhusu mpango wowote juu yangu pamoja na kuwaainisha watu wote ambao wanaweza kuhusika na jambo lolote baya dhidi yangu ikiwa ni pamoja na kitu kinachoitwa tume (Ushahidi ninao). Kwa kifupi ni kuwa sitarajii kufanya jambo lolote kwa siri kila jambo nitalizungumza hadharani kwa siku zijazo.

Napenda kutumia nafasi hii kuwashauri viongozi wangu wawe tayari kukosolewa na waache kufikiria siasa za kimafia kwasababu sio misingi ya Chama cha CHADEMA wala siasa za nchi yetu. Kwa kuendekeza siasa nyepesi za kutumia ubabe, chuki, na umafia aidha kwa uchanga wetu wa kisiasa, kuiga au kushauriana vibaya tutaingizana katika matatizo makubwa ya kisiasa na kimaisha bila sababu.

Mimi binafsi sijali lolote wala siogopi lolote. Namtegemea Mungu pekee, Maarifa aliyonipa na Wasamaria wema ndani ya Chama waliochoshwa na Umangi meza kama mimi.

Pia ninawahamsisha WanaCHADEMA wengine popote walipo hususan viongozi wa Chama kutofumbia macho mambo yote yanayofifisha moyo ndani ya Chama na kuhatarisha uhai wa Chama.

Mimi ninapinga na sio muumini wa SIASA SHIRIKISHI NA LAZIMISHI bali SIASA SHIRIKISHI NA SHAWISHI.
 
Tangu tarehe 14/06/2017 nilipoeleza kuhusu mwelekeo wangu kisiasa katika kipindi hiki kumekuwa na maoni kadhaa yaliyojitokeza kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki ,wanachama wenzangu na wanaonipinga pia. Kati ya mengi yaliyosemwa nitazungumzia mawili tu kwa leo:-

1. Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama.

2. Nimejipangaje kuhusu usalama wangu?

Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama

Napenda kusema kwa msisitizo kuwa sijahamia CCM ila nimeamua kuwa mwanachama mfu ili niwe huru kukosoa na kutoa maoni yangu waziwazi ambayo ninaamini yatasaidia kuimarisha demokrasia ndani ya Chama cha CHADEMA ambacho mimi ni mdau na Taifa kwa ujumla.

Aidha sio kweli kuwa mimi ninapingana na Chama . Mimi nimetangaza kumpinga Mwenyekiti wa CHADEMA na genge lake. Nimekosolewa kuhusu neno genge kuwa ni kali sana na lisilo na staha. Ila kwa uelewa wangu kuhusu neno hilo na kwa aina ya watu ninaokusudia kuwapinga na uthubutu wao wa kufanya jambo lolote (Daring Capability) niliona neno hilo ni muafaka ila kwa waliokwazika naomba waniwie radhi.

Naomba ieleweke kuwa sio kweli kwamba ukimpinga Mwenyekiti wa Chama basi wewe unapingana na Chama. Hii ni sawa na dhana kuwa ukipingana na Rais wa nchi basi wewe unapingana na Taifa zima. Ukitofautiana na mwenendo wa Mchungaji wako kanisani au Sheikh wako msikitini basi wewe unapingana na kanisa zima au msikiti mzima. Hii sio kweli bali ni uelewa mdogo wa baadhi ya washabiki, wanachama na wapenzi wa Chama. Pia ni mbinu ya kisiasa ya kunikusanyia rundo la watu ninaopingana nao bila sababu wakati mimi sina upinzani na watu wengi kiasi hicho. Labda kwa kutaja wachache mimi ninampinga Mwenyekiti wa CHADEMA namna ambavyo amekuwa akiendesha Chama kwa miaka kadhaa iliyopita hadi leo, na vijana wake Reginald Munisi , John Mrema, na Godbless Lema (Mb) na wengineo ambao wanasimamiwa na hawa. Nitaeleza sababu za kuwapinga siku zijazo.

Kuhusu usaliti, Hii nayo ni propaganda inayotumiwa na watawala dhidi ya wapinzani wao ulimwenguni kote. Kama hutaitwa msaliti utaitwa huna uzalendo, au umenunuliwa na wapinzani wa watawala. Kwa hiyo hili la usaliti nimelipuuza. Ninajua mipaka yangu kwa maslahi ya Chama na sio ya watu wachache kwasababu mimi ni kiongozi ninayeamini katika maadili ya kazi za uongozi ikiwa ni pamoja na kutunza siri.

Nimejipangaje kuhusu Usalama wangu.

Jambo la usalama awali nililichukulia juu juu sio kwa uzito mkubwa kwa sababu ya kuamini niko katika Chama ambacho watu wanaweza kukosoana na kusemana wakati wowote bila kudhuriana maana ndivyo tunavyojionyesha katika majukwaa mbalimbali kuwa tunataka serikali na watawala wawe tayari kukosolewa wakati wowote na kusemwa kwa kila namna bila kuwadhuru wanaowasema.

Nimeshuhudia CHADEMA tukiipinga sheria ya mitandao, hatua za kufungiwa magazeti na madai ya watu kutekwa kwa sababu tu eti wanaikosoa serikali iliyopo madarakani. Mambo ambayo tumeyaainisha kuwa ni ya kidikteta. Ila baada ya watu kunihoji sana na wengine ni viongozi wakubwa ndani ya Chama,pia Nilipoona yanayopangwa na viongozi juu yangu kupitia kwa wasamaria wema kuhusu kunishughulikia kimya kimya, nimeshtushwa na kusikitishwa sana. Hivyo swala la usalama kwa sasa nimelipa uzito mkubwa sana.

Aidha naomba ieleweke kuwa pamoja na kuwa najua mbinu nyingi zinazoweza kutumika kunidhuru ndani ya taasis yetu hii, mimi nimeamua kumtegemea Mungu na kuhusisha watu wengi (Ikiwemo vyombo vya dola kwa wakati muafaka) juu ya kila ushahidi ninaoupata kuhusu mpango wowote juu yangu pamoja na kuwaainisha watu wote ambao wanaweza kuhusika na jambo lolote baya dhidi yangu ikiwa ni pamoja na kitu kinachoitwa tume (Ushahidi ninao). Kwa kifupi ni kuwa sitarajii kufanya jambo lolote kwa siri kila jambo nitalizungumza hadharani kwa siku zijazo.

Napenda kutumia nafasi hii kuwashauri viongozi wangu wawe tayari kukosolewa na waache kufikiria siasa za kimafia kwasababu sio misingi ya Chama cha CHADEMA wala siasa za nchi yetu. Kwa kuendekeza siasa nyepesi za kutumia ubabe, chuki, na umafia aidha kwa uchanga wetu wa kisiasa, kuiga au kushauriana vibaya tutaingizana katika matatizo makubwa ya kisiasa na kimaisha bila sababu. Mimi binafsi sijali lolote wala siogopi lolote. Namtegemea Mungu pekee, Maarifa aliyonipa na Wasamaria wema ndani ya Chama waliochoshwa na Umangi meza kama mimi.

Huna jipya mzee jitathmini, unaimba wimbo ukiwa umesahau chourase, jipange na swaga mpya, unajpendekeza hapendwi ntu awamu hii hala kai tu mgoshi
 
Wewe Benson Mramba , ni kipi kinachokusumbua, Umeshaamua kuwa nje ya active siasa za Chadema just kaa kimya, haukuwa maaarufu wala hauna mvuto wowote, na kukaa kwako kimya wala hatukayumbisha chama, kama Slaa, Zitto, Kafulila na nk walishindwa ndio iwe wewe? Wewe ni nani?

Mbona mnapenda kiki zisizo na mashiko kama za mentor wako Magufuli?
 
Kwanini akae kimya wakati yupo ktk chama kinachopigania uhuru wa kuongea chochote ili mradi hauvunji sheria? Anatumia haki yake ya uhuru wa kuongea chochote bila kuathiri haki ya wengine. Hiyo ndio demokrasia mnayo lilia acha jamaa aitumie.
 
Sorry Mr.Benson uko na muda gani ukitumikia hio Chama..???na endapo utanijibu hilo..ok ningependa kujua mengi zaid toka kwako.
 
Haitatokea kuiamini Demokrasia Siasa hadi naingia kabulini.

Asili ya siasa ni lazima iwe na nyanja zote na ikumbukwe kipo kitengo cha interejensia hawa hushuhulika na watu km ww ikumbukwe woote waliohama CDM na kwenda vyama vingine hakuna alokawa na uthubutu km wa kwako wakufikia kuandika hivyo na ikumbukwe walitoka au kutolewa kimya kimya bila kuuweka wazi ukweli wa kujitenga kwao bali walisemwa tu wasaliti usaliti upi.?

Hadi leo hakuna alosimama kufafanua ila baadhi zikasemwa tu kwa mlengo wa tetesi ktk media ndugu hii njia sio mzuri ni bora kukaa pembeni na kuachana haya mambo otherwise Mtikilathism itakuhusu.
 
Njoo huku kwetu CCM halafu ujaribu kumkosoa Mwenyekiti hadharani kwenye mitandao kama mnavyofanya huko Chadema ndio utajua kama maharage ni mboga au chakula.

Tena naona umefanya dharau kubwa sana kwa chama chako na wewe mwenyewe. Si mna vikao huko kwenu ndio platform nzuri ya kupeleka kero zenu. Kila la kheri.
 
Inawezekana sasa unaweza amini kwa nini Zitto aliitwa msaliti.
Sisi wengine tulitoka huko mapema sana kwa kuona mwenendo wa huyo mwenyekiti.

Mtu mwenye mawazo tanuzi si rais kuendelea kuwa CDM chini ya uongozi wa huyo mtu.
Tulipiga kelele sana tukaitwa MASALIA.

KAMA UONGOZI UKIBAKI HUO HUO, BLVE ME WATU KAMA KINA NASSARI HAWAWEZI KUENDELEA KUWAPO CDM.

KARIBU ACT WAZALENDO CHAMA MAKINI.
Tangu tarehe 14/06/2017 nilipoeleza kuhusu mwelekeo wangu kisiasa katika kipindi hiki kumekuwa na maoni kadhaa yaliyojitokeza kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki ,wanachama wenzangu na wanaonipinga pia. Kati ya mengi yaliyosemwa nitazungumzia mawili tu kwa leo:-

1. Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama.

2. Nimejipangaje kuhusu usalama wangu?

Mimi nimehamia CCM hivyo ni msaliti na ninapingana na Chama

Napenda kusema kwa msisitizo kuwa sijahamia CCM ila nimeamua kuwa mwanachama mfu ili niwe huru kukosoa na kutoa maoni yangu waziwazi ambayo ninaamini yatasaidia kuimarisha demokrasia ndani ya Chama cha CHADEMA ambacho mimi ni mdau na Taifa kwa ujumla.

Aidha sio kweli kuwa mimi ninapingana na Chama . Mimi nimetangaza kumpinga Mwenyekiti wa CHADEMA na genge lake. Nimekosolewa kuhusu neno genge kuwa ni kali sana na lisilo na staha. Ila kwa uelewa wangu kuhusu neno hilo na kwa aina ya watu ninaokusudia kuwapinga na uthubutu wao wa kufanya jambo lolote (Daring Capability) niliona neno hilo ni muafaka ila kwa waliokwazika naomba waniwie radhi.

Naomba ieleweke kuwa sio kweli kwamba ukimpinga Mwenyekiti wa Chama basi wewe unapingana na Chama. Hii ni sawa na dhana kuwa ukipingana na Rais wa nchi basi wewe unapingana na Taifa zima. Ukitofautiana na mwenendo wa Mchungaji wako kanisani au Sheikh wako msikitini basi wewe unapingana na kanisa zima au msikiti mzima. Hii sio kweli bali ni uelewa mdogo wa baadhi ya washabiki, wanachama na wapenzi wa Chama. Pia ni mbinu ya kisiasa ya kunikusanyia rundo la watu ninaopingana nao bila sababu wakati mimi sina upinzani na watu wengi kiasi hicho. Labda kwa kutaja wachache mimi ninampinga Mwenyekiti wa CHADEMA namna ambavyo amekuwa akiendesha Chama kwa miaka kadhaa iliyopita hadi leo, na vijana wake Reginald Munisi , John Mrema, na Godbless Lema (Mb) na wengineo ambao wanasimamiwa na hawa. Nitaeleza sababu za kuwapinga siku zijazo.

Kuhusu usaliti, Hii nayo ni propaganda inayotumiwa na watawala dhidi ya wapinzani wao ulimwenguni kote. Kama hutaitwa msaliti utaitwa huna uzalendo, au umenunuliwa na wapinzani wa watawala. Kwa hiyo hili la usaliti nimelipuuza. Ninajua mipaka yangu kwa maslahi ya Chama na sio ya watu wachache kwasababu mimi ni kiongozi ninayeamini katika maadili ya kazi za uongozi ikiwa ni pamoja na kutunza siri.

Nimejipangaje kuhusu Usalama wangu.

Jambo la usalama awali nililichukulia juu juu sio kwa uzito mkubwa kwa sababu ya kuamini niko katika Chama ambacho watu wanaweza kukosoana na kusemana wakati wowote bila kudhuriana maana ndivyo tunavyojionyesha katika majukwaa mbalimbali kuwa tunataka serikali na watawala wawe tayari kukosolewa wakati wowote na kusemwa kwa kila namna bila kuwadhuru wanaowasema.

Nimeshuhudia CHADEMA tukiipinga sheria ya mitandao, hatua za kufungiwa magazeti na madai ya watu kutekwa kwa sababu tu eti wanaikosoa serikali iliyopo madarakani. Mambo ambayo tumeyaainisha kuwa ni ya kidikteta. Ila baada ya watu kunihoji sana na wengine ni viongozi wakubwa ndani ya Chama,pia Nilipoona yanayopangwa na viongozi juu yangu kupitia kwa wasamaria wema kuhusu kunishughulikia kimya kimya, nimeshtushwa na kusikitishwa sana. Hivyo swala la usalama kwa sasa nimelipa uzito mkubwa sana.

Aidha naomba ieleweke kuwa pamoja na kuwa najua mbinu nyingi zinazoweza kutumika kunidhuru ndani ya taasis yetu hii, mimi nimeamua kumtegemea Mungu na kuhusisha watu wengi (Ikiwemo vyombo vya dola kwa wakati muafaka) juu ya kila ushahidi ninaoupata kuhusu mpango wowote juu yangu pamoja na kuwaainisha watu wote ambao wanaweza kuhusika na jambo lolote baya dhidi yangu ikiwa ni pamoja na kitu kinachoitwa tume (Ushahidi ninao). Kwa kifupi ni kuwa sitarajii kufanya jambo lolote kwa siri kila jambo nitalizungumza hadharani kwa siku zijazo.

Napenda kutumia nafasi hii kuwashauri viongozi wangu wawe tayari kukosolewa na waache kufikiria siasa za kimafia kwasababu sio misingi ya Chama cha CHADEMA wala siasa za nchi yetu. Kwa kuendekeza siasa nyepesi za kutumia ubabe, chuki, na umafia aidha kwa uchanga wetu wa kisiasa, kuiga au kushauriana vibaya tutaingizana katika matatizo makubwa ya kisiasa na kimaisha bila sababu. Mimi binafsi sijali lolote wala siogopi lolote. Namtegemea Mungu pekee, Maarifa aliyonipa na Wasamaria wema ndani ya Chama waliochoshwa na Umangi meza kama mimi.

Pia ninawahamsisha WanaCHADEMA wengine popote walipo hususan viongozi wa Chama kutofumbia macho mambo yote yanayofifisha moyo ndani ya Chama na kuhatarisha uhai wa Chama.

Mimi ninapinga na sio muumini wa SIASA SHIRIKISHI NA LAZIMISHI bali SIASA SHIRIKISHI NA SHAWISHI.
 
Inawezekana sasa unaweza amini kwa nini Zitto aliitwa msaliti.
Sisi wengine tulitoka huko mapema sana kwa kuona mwenendo wa huyo mwenyekiti.

Mtu mwenye mawazo tanuzi si rais kuendelea kuwa CDM chini ya uongozi wa huyo mtu.
Tulipiga kelele sana tukaitwa MASALIA.

KAMA UONGOZI UKIBAKI HUO HUO, BLVE ME WATU KAMA KINA NASSARI HAWAWEZI KUENDELEA KUWAPO CDM.

KARIBU ACT WAZALENDO CHAMA MAKINI.
Kwa hiyo Zitto hakuwa msaliti?hili dunia nzima hatimaye imejua
 
hawana maana hao watakuteka wasingizie dola wakati wana vikosi walivyovinoa bagamoyo...ufipa is piece of hell.
 
Ufike mahali ukue sasa,mbona hoja zako mfilisi,kwani unajiona una uelewa zaidi ya wengine?watanzania ndio maana wakaitwa wapumbavu na malofa,kijana kama wewe unatia aibu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
SACCOS, watu wanaitana KIA kwenda kustarehe. Hao wanaopiga makelele mitandaoni ni wale wapuuzi 187 waliobambwa wakati wa uchaguzi wakitaka kuleta hujuma.

Hao wanalipwa na mhamiaji tajiri kwenye pesa anayeongoza chama kwa rimoti.
 
Back
Top Bottom