Benson Kigaila awadhalilisha wakazi wa Manzese

sikushangai mana chadema mnawaza kulambwa tu muda wote ndio mana mnapenda sana kupelekwa jela

90(+1)' You'd have to say that's pretty much killed the tie off now. City need to win by three goals in Barcelona - not the easiest of tasks by any stretch of the imagination.
 
Wenye thamani Chadema ni watu wa kaskazini tu.
ukabila wenu mnaoulazimisha hapa na kwingineko, ipo siku utawatokea puani, wenyewe wa kaskazini hawana ubaguzi na wanakula bia na kila mtu kitaani, nyie majukwaani kila siku kelele za ukabila na ukanda, Mungu anawaona!
 
Akihutubia waandishi wa habari leo mchana jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa operesheni wa Chadema, Benson Kigaila alikemea vikali kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwataka wana CCM wasowe wanyonge.
"Kauli hii haivumiliki hata kama imetolewa na rais au mhuni wa Manzese" alisema Kigaila.

My take: Kwani wakazi wote wa Manzese ni wahuni? Au Manzese ndio eneo la kutolea mifano ya wahuni? Haya Kigaila unayeishi Masaki.

Nafikir Kigaila hakuwalenga wapigakura alilenga wahuni ambao ni wapiga debe, madalali wamazao na mbao hao ndo wahuni na wamejaa manzese kuliko sehemu nyingine hata buguluni haifiki pale.
 
naona mmeishiw vya kumtetea mwenyekiti wenu, mmejikatia tamaa kabisa, mnabaki kudandia kauli ambazo hazina hata mashiko
 
kwani manzese hakuna wauni,
~madawa walaji manzese
~bangi uvutwa sana wapi
~maisha yasio na utaratibu wapi
~nyumba zilizoka ovyo
~mtaa wenye rais wapi
~machangudoa wa bei poa wap (lambo, cona ya mabibo, kilimahewa, silver, uwanja wa fisi n.k)
~wakabaji wakuu wapi
~watoto wa mbwa wako wapi..

Sasa kwa hali hii sio wahuni hawa watu, kamanda kigaila uko sawa wahuni tuuuuuuuu

Haya majama kama yakibatika kuongoza hi nchii yatatembea ju ya vichwa vya watu

Mungu mkubwa atuepushe na mihuni hii na mijizi hii kuishi MAGOGONI. yabaki huko maporini karatu
 
Kigaila,hajitambui,ila tumbo lijae sharti amkuwadie mbowe mabibi ili aendelee kubaki makao makuu ya chadema,zipo taarifa kuwa kigaila ndiye baba mzazi wa mtoto wa josephine mushumbuzi ,mwanamama anayetajwa kuwa mke wa dr.slaa.
 
Watanzania wenzangu, ni vema kupinga jambo ambalo halipo sahihi...ila pinga baada ya kusoma kwa umakini..........wangapi mna comment kwa kusikia, ama wangapi mna -comment kwa ilivyoandikwa hapa....sijaona anayesema aliyeandika hapa kakosea, kwa hiyo kilichoandikwa hapa ndio Kigaila amesema.

sasa statement inaishia hata kama mhuni wa Manzese.........'mhuni wa manzese haimaanishi kuwa manzese wote ni wahuni'.....mtu kwa mfano akisema tunamchukulia hatua mwingereza huyu kwa uizi aliofanya sawasawa na MWIZI wa Tanzania....Haimaanisha kuwa Tanzania wote ni wezi............mna maana manzese hakuna mhuni hata mmoja, labda tujadili maana ya mhuni..........

Soma kwa umakini kilichoandikwa kabla huja comment
 
kwani manzese hakuna wauni,
~madawa walaji manzese
~bangi uvutwa sana wapi
~maisha yasio na utaratibu wapi
~nyumba zilizoka ovyo
~mtaa wenye rais wapi
~machangudoa wa bei poa wap (lambo, cona ya mabibo, kilimahewa, silver, uwanja wa fisi n.k)
~wakabaji wakuu wapi
~watoto wa mbwa wako wapi..
?
Sasa kwa hali hii sio wahuni hawa watu, kamanda kigaila uko sawa wahuni tuuuuuuuu

Wametengenezwa na system iliyopo madarakani ambayo inaendeshwa na ......................

Asilaumiwe anayeizungumzia hiyo system, kilaumiwe kisababishi ambacho ni sera, siasa mbovu za waliopo madarakani
 
kwani manzese hakuna wauni,
~madawa walaji manzese
~bangi uvutwa sana wapi
~maisha yasio na utaratibu wapi
~nyumba zilizoka ovyo
~mtaa wenye rais wapi
~machangudoa wa bei poa wap (lambo, cona ya mabibo, kilimahewa, silver, uwanja wa fisi n.k)
~wakabaji wakuu wapi
~watoto wa mbwa wako wapi..

Sasa kwa hali hii sio wahuni hawa watu, kamanda kigaila uko sawa wahuni tuuuuuuuu

Maccm bure kabisa! Badala ya ku address issue at hand wao wameamua ku divert attention, ili kumtetea Kikwete. Kigaila katolea mfano na kila mmoja wetu anajua maana ya mfano.
Hutegemei mtu aliyepanga pale ikulu yetu atoe kauli ya kihuni namna vile! Tulitegemea kauli ya kihuni vile ikitoka kwa vijana wa kihuni kutoka Manzese, Tandika, Kwa mfuga mbwa na maeneo mengine kama hayo, ambako utumiaji wa bangi, dawa za kulevya etc ni kitu cha kawaida na serikali imeshindwa kudhibiti hiyo tabia mbaya!
Kauli ile haikupaswa kutolewa na Rais wa nchi hata kidogo. Haya sasa The Hague inamnukia, ukichanganya na kauli ya Pinda
 
Wakazi wa manzese ni wastaarabu sana tatizo ni wanasiasa kama kigaila wapuuzi
 
Kigaila,hajitambui,ila tumbo lijae sharti amkuwadie mbowe mabibi ili aendelee kubaki makao makuu ya chadema,zipo taarifa kuwa kigaila ndiye baba mzazi wa mtoto wa josephine mushumbuzi ,mwanamama anayetajwa kuwa mke wa dr.slaa.

mmmmhhhhhh.......kumbe ndio kazi ya kigaila hiyoooo......kaaazi kweli kweli
 
Watanzania wenzangu, ni vema kupinga jambo ambalo halipo sahihi...ila pinga baada ya kusoma kwa umakini..........wangapi mna comment kwa kusikia, ama wangapi mna -comment kwa ilivyoandikwa hapa....sijaona anayesema aliyeandika hapa kakosea, kwa hiyo kilichoandikwa hapa ndio Kigaila amesema.

sasa statement inaishia hata kama mhuni wa Manzese.........'mhuni wa manzese haimaanishi kuwa manzese wote ni wahuni'.....mtu kwa mfano akisema tunamchukulia hatua mwingereza huyu kwa uizi aliofanya sawasawa na MWIZI wa Tanzania....Haimaanisha kuwa Tanzania wote ni wezi............mna maana manzese hakuna mhuni hata mmoja, labda tujadili maana ya mhuni..........

Soma kwa umakini kilichoandikwa kabla huja comment

kigaila amewatukana sana watanzania wanaoishi manzese, ina maana watu wote wa manzese ni wahuni?
 
mkuu, chadema kama sio wa kaskazini wanakuona kama taka taka tu, subir kwenye uchaguzi watapigiwa kura na watu wa kaskazini tu ,sisi wa kanda nyingine kura zetu watazisikia bombani tu
kwani toka lini mmepiga kuwachagua tena nyie ndo mnaofanya maisha yawe magumu kwakukumbatia vyama visivyo na huruma na wananchi wake!
 
Back
Top Bottom