Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 462
- 304
Naona sasa imekua staili ya TBC kumtumia huyu Daktari kama msema chochote wao kwa upande wa wanazuoni baada ya kuona wale maarufu wote kama Lwaitama (CCM mfu) na wengineo wanataka mabadiliko. TBC leo imemhoji huyu Daktari nae kama kawaida akamwaga upupu wake. Jamaa anaona tume NEC haina tatizo. Tuandamane kesho tukamtoe pale UDSM au mnasemaje wadau?