Beno Malisa kupewa ubunge na baadae unaibu waziri

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi
 
Hizo ni porojo tu.
 
unataka kusema JK sio mwanaume hasa wa kuweza kutongoza! yaani mpaka atumie watoto wa juzi hawa wamtongozee, Tafakari!
 
jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia jk vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi

unamtafutia umashuhuri huyu dogo ni mwhu tuu hana lolote
 
TEH TEH MSIWASAHAU NA MA ENGINEER WANA TATIZO HILO.apewe kama kichwani kupo poa haina shida kabisaaaa
 
"Iko siku nami nitapewa fursa ya dhamana kubwa nchini na hapo nitaonyesha jinsi gani UVCCM imetupatia uzoefu wa kutosha katika utendaji na uongozi..." Ameandika kwenye facebook page yake natumai anajua atakuja kuwa naibu waziri hebu tusubiri baraza tuone....
 
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi

Da yaani Rais wetu anatafutiwa Mademu mtakeni radhi jamani, hata kama anahiyo tabia wangekuwa wanajigonga wenyewe
 
unataka kusema JK sio mwanaume hasa wa kuweza kutongoza! yaani mpaka atumie watoto wa juzi hawa wamtongozee, Tafakari!

Kama unakiri kwamba JK anatongoza tongoza mabinti basi atakuwa anatongoza na wake za watu. Huyo ni malaya basi!!!
 
CCM inawareward washkaji wa Ridhiwani Kikwete kwa kazi kubwa waliofanya kumpigia kampeni JK kama hii

beno.jpg
 
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi

Kamuulize shigongo hapa sio mahari pake

TO Hell

Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi

JK watoto wa kike wanajingonga wenyewe, kwani ni HANDSOME !
 
Jk atakuwa kichaa kumpa dogo ubunge viti maalumu kwani amefanya nini?

Hiyo yakumtafutia mademu nadhani ni uongo ila dogo anafahamika sana,

ila sitegemei kusikia hivyo. Itakuwa ni aibu na kashfa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom