Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na kuukwaa unaibu waziri.
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi
Jamani naomba kama kuna aliyesikia hii atujuze zaidi