Beno Kakolanya ampa makavu mchambuzi uchwara David Felician

Mwandishi ni utopolo mtupu ,hajajua sababu ya Beno kutocheza yeye kaamua kujilopokea. Golini anakaa mmoja, kama kocha kampanga Manula yeye anataka Beno afanyejeje? Au anataka arudi utopolo?
Beno hawezi kurudi utopolo kwani kuna njaa sana huko.
 
Huyo Zahera aliyekuwa anamkataza Beno hazidai mishahara yake yeye mwenyewe wamemfukuza na kulipwa hajalipwa mpaka leo wamemtapeli
Alivyofukuzwa ndio akaanza kuzunguka kwenye redio na kudai alikuwa anawakopesha yanga . Hao wanaomponda Ben hawamsaidii chochote kwenye maisha yake na familia yake
 
1. Gadiel Michael analipwa mshahara kwa wakati.

2. Anakula vizuri na kulala vizuri

3. Ana uhakika wa kumla mke wake kwa amani kabisa.

4. Ana furaha.


Wewe zuzu unapiga piga kelele hapa. Maisha mwenzio ameshayapatia.hata akiwa anafanya mazoezi tu anarudi kualala analipwa na posho anapata. Wewe je? Kwa simba hii mimi ngekubali kusajiriwa hata kuwa nawabebea jersey na viatu akina chama. Mradi niwe nalipwa tu kuliko kucheza Utopolo.

Mwandishi kawasilisha anachokiamini, lakini binafsi niliyaona makosa ya wacjezaji 2. Beno na Gadiel. Mchaezaji aloyechemka zaidi ni Gadiel maana hakufikiria kabisa anakokwenda anakwenda kuwa nani? Matokeo yake kaacha nyumba yake kaenda kupanga. Beno ni miongoni mwa vipaji halisi vya kitanzania, Lakini ameua kipaji kwa kukosea kuchagua. Najua wazi na nilimsema kocha aliyekuwepo kwamba anakosa sifa moja kubwa ya kuwa "Mlezi", akamkataa mchezaji kwa kosa la kudai haki yake hata kama hakutumia njia sahihi za kistaarabu. Hata hivyo alichokifanya mchezaji ilikuwa kama kuunga juhudi ushabiki wa Simba na Yanga, akakubali kutumika kama chombo cha siasa za mpira. Hakujali yeye atakuwa nani Simba, akakubali kuwa mke wa pili. Tuwapende wachezaji wetu lakini wanapokosea tuwaambie ukweli. Leo De Gea anaweza kwenda Liverpool kuwa msaidizi wa Allison? Hatuoni wenzetu hata nafasi yake uwanjani inaweza kuwa sehemu ya mkataba wake.
 
Ao wachezaji ni wapumbavu, Kama wangekua wanajitambua wangeomba watolewe kwa mkopo ili wawe wanacheza, ukicheza marakwamara kiwango kina imarika na unaweza kuitwa timu ya Taifa, ukiwa timu ya Taifa na unacheza nafasiyako ya kupata timu nje ya nchi inakua kubwa sana. Kwasasa wanakaa bench na mpirawao unakufa. Ni Jambo la kuhuzunisha kipaji Kama Cha beno kinaoza, ana nafasi ya kufika mbali Kama akijitambua.
Ndugu yangu soka la bongo halina dhamana mkataba wa Simba miaka miwili unamaslahi kuliko miaka 10 ya Mtibwa. Ajib, Ndemla, Beno, na Gadiel wanapaswa kupambana tu kwenye mazoezi kumridhisha kocha na kupata nafasi na hata wasipopata nafasi mara kwa mara ila kila wakipata mara moja waonyeshe kiwango. Simba itawapa mkataba mpya tu sababu haiwezi acha mchezaji talented ushahidi ni kwa Ndemla.
Mpira ni maisha na maisha ya benchi ya Simba ni bora kuliko kucheza dk 90 Jkt Tanzania halafu maisha hakuna.
 
Ukiandika jaribu ku Balance story yako...
Wakati unaongelea mfano wa David De Gea kwenda kuwa sub ya Alison unatakiwa utueleze pia Huyo kipa namba mbili wa Man U anaubora gani? Ni kipa namba moja wa taifa gani? Argentina na Spain kuna utofauti gani mkubwa kisoka? Mbona kipa namba moja wa Argentina amekubali kuwa kipa namba mbili kwa kipa wa Spain hapo Man U? Je anaua kiwango?
Usivutie story upande wako ili upate conclusion inayo favour hoja zako...
Kipa no moja wa Argentina ni willy cabello
 
Kipa no moja wa Argentina ni willy cabello
Sergio Romero alsajiliwa Manchester kutoka Monaco akiwa kipa namna Moja wa Argentina
Kipa no moja wa Argentina ni willy cabello
Romero alisjiliwa Manchester akiwa kipa namba Moja wa Argentina na Degea kipa namba Moja wa Spain...hiyo ndo point yangu na si ni nani Kipa wa Argentina leo...hii ni squad ya 2018 World Cup.
Screenshot_20201020-104107.png
labda kama unapinga na hilo.
 
Kama aliyeko bench simba anavuta mpunga wa maana kuliko aliyeko golini Yanga shida iko wapi pesa kwanz mengine badae
Ukichunguza, karibia wote wanaopiga MAYOWE ni wapenzi/washabiki wa Yanga. Ni DONGE tu! Kwa nini SIMBA?
 
mpira sio sawa na ualimu au utumishi wowote ule kwamba hata usimamishwe kazi na mshahara unaupata fresh tu. Kwenye mpira inatakiwa ucheze ili ufikiriwe tena mkataba utapoisha. Unafikiri Simba wataoffer pesa sawa na ile waliyotoa kwa hao wachezaji pindi mikataba yao inapoisha? Kwa mchango gani waliouonesha kwenye timu?
Unamjua Ozil wa Arsenal?
 
Ao wachezaji ni wapumbavu, Kama wangekua wanajitambua wangeomba watolewe kwa mkopo ili wawe wanacheza, ukicheza marakwamara kiwango kina imarika na unaweza kuitwa timu ya Taifa, ukiwa timu ya Taifa na unacheza nafasiyako ya kupata timu nje ya nchi inakua kubwa sana. Kwasasa wanakaa bench na mpirawao unakufa. Ni Jambo la kuhuzunisha kipaji Kama Cha beno kinaoza, ana nafasi ya kufika mbali Kama akijitambua.
Tatizo we unaandika tu hapa yaani kwenye maandishi ni simple sana.
Ila Simba na Yanga wakikutoa kwa mkopo jua hurudi..wanasajili watu wapya Kila msimu...wachezaji wanalijua hilo we hujui wale siyo wapumbavu kama unavyowaita...Yuko wapi Paul Bukaba? Yuko wapi Mo Ibrahim? hao wote walikua kwa mkopo Namungo wako wapi sasa?
Na asikwambie mtu kutoka Simba Yanga au Azam kwenda JKT kama hawajakupa ajira ni bora ukarisiti tu..uende advance then chip ukale boom kulialia hayo Mashariki ya hizi timu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom