Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

Wewe ndiye hujamwelewa Sitta awajibike vipi wakati mwizi anajulikana yupo na anataka kulipwa.

Mkuu' tunazungumza lugha moja' soma vizuri post yangu! Simuungi mkono Malisa anaposema wawajibike waliozuia serikali isinunue mitambo ya Dowans huku akiwa hasemi chochote kwa waliosabisha kampuni ya kitapeli ipate mkataba!
 
Tuungane katika lipi hasa. Malisa kmwe huwezi kulisukuma kari la CCM Ufisadi ungali umelipanda ndani.

Ni kweli Vijana tumejiandaa kuliko kawaida katika hili la kuwapa somo mafisadi, lakini pamoja na kwamba baadhi yenu ni wa kuweza kufikirika kama vile Bashe, Malisa ... Shy-Rose Bhanji ...

... lakini kwa sasa hakuna ushirikiano wa aina yoyote mpaka mtakapoamka usingizini, kuona mwanga na kuvuka kuja CDM ndipo tutakapoungana kupigania wale wanaolazwahoi na CCM hivi leo hii. Tafakari juu ya hilo kabla hakujachelewa sana.
Naungana na we mkuu! Ahamie airtel i,e cdm ajisikie huru! Huko anaogopa kuwataja hao watakaowajibika wakati wanafahamika
.
 
Wewe ndiye hujamwelewa Sitta awajibike vipi wakati mwizi anajulikana yupo na anataka kulipwa.

Mkuu rudia kusoma speech ya huyu gamba utaona kuwa nia yake ni kuwawajibisha eti wale walioishauri serikali ivunje mkataba na downs. Anadai eti walitumia kigezo cha uchakavu wa mitambao kuishauri serikali ivunje mkataba.

Huyu dogo anadhani anaongea na mbumbu waliowazoea huko vijijini. kwa mtazamo wake issue ya downs ianzie pale serikali ilipovunja mkataba. Issue ya kampuni hewa ya richmond hatimaye dowans inaiweka kando kwamba siyo issue.

Huyu dogo lazima aelewe kwamba nchi hii kuna watu wanaakili na ni wakubwa kwake kiumri na wanajua mambo kuliko yeye. Statement hii ikaitoe kule vijini na siyo mjini Arusha.

Hivi amehamia lini kundi la Lowasa maana kujaribu kuachanisha Richmond na dowans ni kujaribu kuficha uchafu wa bosi wa kambi yaKe.

Haijalishi ni kambi gani ilimradi tu ni ccm, hatutaki kusikia maelekezo yoyote kutoka kwa wezi! Chadema wasijaribu kushirikiana na hawa wezi kwa lolote!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hiki chama chao sasa kimegeuka kuwa kama bwawa la Catfish. Hawa ni aina ya samaki wanaostawi kwenye maji yenye tope na wote huwa wana ndevu mithili ya paka. Huwezi kujua nani baba, nani mama, nani kijana nani binti ndani ya familia.
 
Malisa kazungumza vizuri kajitahidi kuwa 'neutral' sioni hoja ya kuiponda kambi ya Lowassa kama ipo hapo. Ingekuwepo asingewaponda kina Sitta pia.

Kuhusu Dowans ukitazama kwa undani utagundua kuna fumbo kubwa mno ambalo iko siku litafumbuka, watanzania wataelewa na utakuwa ndio mwisho wa kuhujumiana kisiasa. 'SIKU ZINAHESABIKA'. Ukitazama kwa umakini na utulivu kisha ukawa kama refa kwa maana ya kujivua upande wako unaoshabikia 'set your mind neutral' utagundua mambo mengi sana, utaielewa hadi kauli ya mheshimiwa Zitto kuhusiana na siasa za Dowans. Zitto alionyesha uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kugundua mambo mapema akalitaka bunge kuacha kujadili Dowans akisema 'waheshimiwa wabunge tuache hoja hii ya dowans, hakuna kitu hapa..!' watu wakamwona msaliti kumbe siyo...! Ana akili sana aligundua siasa binafsi ndani ya bunge hakukuwa na maslahi ya nchi pale..!

Daktari wa sheria pamoja na wanasheria wenzake hawakuwa wamepitia mkataba wa Dowans na Tanesco? Hawakuona athari za kuuvunja? Si walisimama na kuwaeleza watanzania kwamba mkataba huo haufai uvunjwe? Sitta ni mwanasheria, hakujua madhara ya kuvunja huo mkataba? Sasa leo wao ndio wanaharakati wanataka Dowans isilipwe, watanzania watalala hadi lini? Hizo siyo siasa binafsi? Haiwezi kuingia akilini kwamba gari lako likiwa na pancha tairi moja la nyuma njia bora ni kungoa matairi yote pamoja na exel zake kwenda kuziba pancha, huo ni uhuni na kuzidisha gharama. Hilo walilijua, na kwa kuweka maslahi yao mbele wanataka kuwaambia watanzania kosa lilitokea baada ya mkataba kusainiwa.

Sawa kosa lilitokea, je? Hakuna taratibu za kupitia mikataba upya? Kama taratibu ziko, kwa nini hazikufuatwa? Mbona mikataba ya madini haivunjwi inapitiwa upya? Wanaofanya hivyo unafikiri ni wajinga?

Mh Zitto namkubali 100% aliona mbali hakuna ufisadi zaidi ya kulitumia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maslahi binafsi. Hapo utawala bora na viwango vilikiukwa...!
 
Kila ninaposikia kauli za uvccm ndio nazidi kuprove beyond doubt kwana ni umoja wa watoto wa ccm (uwccm)! Anafikiri wote tunanufaika na mafisadi kama yeye! Anataka tuanzie kwenye kuvunjwa kwa mkataba tuachane na kwenye kuufanikisha na kuusaini. Poor boy! Anathibitisha umbumbumbu wake kwetu na ulevi wa hela za mafisadi. Ametumiwa sana sasa amechoka bila mafanikio, kwahiyo anatafuta wasaidizi!?
Atakaa sana!
 
Soma vzr umwelewe,

Dowans
Akizungumzia suala la mitambo ya Dowans Malisa alisema: “Watu waliosababisha hasara wawajibike, walitudanganya. Kama taifa leo tumeshindwa kesi mitambo ile waliyosema haifai leo inatumika na kampuni ya Symbion. Wanatufanya Watanzania mazuzu. Walisema heri tukae gizawakati wao wanatumia majenereta na wanalipiwa na Serikali huku wakinunua aspirini kwa mamilioni.”

“Leo wanajifanya wazalendo. Nilitarajia wawajibike walidanganya taifa, Serikali ikavunja mkataba. Wakasema mitambo haifai mibovu leo imenunuliwa na Wamarekani na wanatuuzia umeme... wanafiki wametufikisha hapa niwaombe UVCCM na vijana wa vyama vyote tuungane hawa wawajibike.”

Nadhani wewe ndiyo usome vizuri umuelewe, ukumbuke hizo quotation anawaquote akina nani, na ni nani waliwahi kutamka maneno hayo. Hiyo mix mix ya maneno wala sikiuchanganye kwa sababu sikumbuki kama wale wanasheria wa Tanesco au Rex Attorney waliwahi kuzungumza hayo na ndiyo wanawajibika moja kwa moja. Mwansheria mkuu je? Naye anawajibika moja kwa moja. Walioleta Richmond hawasemwi hapo japo ndiyo chanzo haswaaa cha hii Dowans. Is there in anyhow katika hayo maneno ya Malisa ku-indicate kwamba Rostam awajibishwe?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
.....mkuu hata siamini Benno huyu huyu..ninayemjua mie..maana hawa jamaa walikuwa mabest sana chuo,na hata hiyo nafasi yake UVCCM..R1 alihangaika sana....kweli PESA mbaya...
Yaelekea ni mwona mbali! Sidhani kama kuna rafiki yoyote wa Kikwete atakayeheshimika baada ya Jk kuondoka madarakani. Anaweza kuweka historia ya raisi anayetharauliwa sana na wananchi wake katika Afrika!
 
Mkuu hapa Arusha hawana mvuto wajaribu mikoa mingine siyo Arusha mjini.....
Big Up...CRASHWISE!

Kina Ben Malisa hao ni madogo tuuu, tulishawaswaga kanda ya ziwa hata Nape Nnauye hawezi kuitisha mkutano Kanda ya ziwa, kwanza watu hawamjui. na hawataki kusikia kitu inaitwa Si Si Em.

Tumefika Igunga, Waperekesheni mfike nao hadi Kiteto kwa sasa tokea Kanda ya ziwa tuko Igunga tukutanie Dodoma.

wadau wa Kule Mbeya nao wanafanya mchakato kuunga Iringa hatimae watatokea Mikumi na sisi kwa pamoja tutafika Gairo na kukutana kundi la Mbeya pale Dakawa. Tuwasukume wote wakazame Baharini.

Peoplesss.............Power
 
  • Thanks
Reactions: Ame
malisa anatumiwa hana lake analoongea anawekewa fikra, maneno ya kusema na chakula chake anapata kutoka kwa hao watu.huyu hafai kuongea na vijana wa tz, hana mamlaka ni talking head wa bad elements within CCM. anachotaka kusema yeye ni kua kwenye baraza la mawaziri kuna watu waliokataa mitambo ya dowans kununuliwa as per sheria za Tanzania kuhusu manunuzi ya serikali na hao ndiyo anataka wawajibishwe. Kijana mdogo huwezi kua mnafiki na usiyoipenda nchi yako namna hii, huyu ni mchawi na muuaji.
 
Wakimtaja baba rizi moja tu na kumshughulikia,hapo kidogo ntawaamini lakini kwa hii danganya toto,labda akawaambie wanawake waandamane maana ndio mtaji wao
 
Malisa kazungumza vizuri kajitahidi kuwa 'neutral' sioni hoja ya kuiponda kambi ya Lowassa kama ipo hapo. Ingekuwepo asingewaponda kina Sitta pia.

Kuhusu Dowans ukitazama kwa undani utagundua kuna fumbo kubwa mno ambalo iko siku litafumbuka, watanzania wataelewa na utakuwa ndio mwisho wa kuhujumiana kisiasa. 'SIKU ZINAHESABIKA'. Ukitazama kwa umakini na utulivu kisha ukawa kama refa kwa maana ya kujivua upande wako unaoshabikia 'set your mind neutral' utagundua mambo mengi sana, utaielewa hadi kauli ya mheshimiwa Zitto kuhusiana na siasa za Dowans. Zitto alionyesha uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kugundua mambo mapema akalitaka bunge kuacha kujadili Dowans akisema 'waheshimiwa wabunge tuache hoja hii ya dowans, hakuna kitu hapa..!' watu wakamwona msaliti kumbe siyo...! Ana akili sana aligundua siasa binafsi ndani ya bunge hakukuwa na maslahi ya nchi pale..!

Daktari wa sheria pamoja na wanasheria wenzake hawakuwa wamepitia mkataba wa Dowans na Tanesco? Hawakuona athari za kuuvunja? Si walisimama na kuwaeleza watanzania kwamba mkataba huo haufai uvunjwe? Sitta ni mwanasheria, hakujua madhara ya kuvunja huo mkataba? Sasa leo wao ndio wanaharakati wanataka Dowans isilipwe, watanzania watalala hadi lini? Hizo siyo siasa binafsi? Haiwezi kuingia akilini kwamba gari lako likiwa na pancha tairi moja la nyuma njia bora ni kungoa matairi yote pamoja na exel zake kwenda kuziba pancha, huo ni uhuni na kuzidisha gharama. Hilo walilijua, na kwa kuweka maslahi yao mbele wanataka kuwaambia watanzania kosa lilitokea baada ya mkataba kusainiwa.

Sawa kosa lilitokea, je? Hakuna taratibu za kupitia mikataba upya? Kama taratibu ziko, kwa nini hazikufuatwa? Mbona mikataba ya madini haivunjwi inapitiwa upya? Wanaofanya hivyo unafikiri ni wajinga?

Mh Zitto namkubali 100% aliona mbali hakuna ufisadi zaidi ya kulitumia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maslahi binafsi. Hapo utawala bora na viwango vilikiukwa...!
Unazunguka mbali unaacha short cut mzizi wa fitina ni wale walioingia mkataba feki tuanze na hao halafu then tuje waliovunja mkataba.
 
Tanesco iliingia mkataba na kampuni feki ya Richmond, lakini baadaye wapo baadhi ya watu waliohuisha mkataba huu na kuuhamishia Dowans wakati ambapo tayari dharura ya ukame ilishafikia kikomo. Hivyo waliotufikisha hapa ni hawa waliohusiha mktaba huu kutoka Richmond kwenda Dowans na EL hawezi kukwepa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Malisa kazungumza vizuri kajitahidi kuwa 'neutral' sioni hoja ya kuiponda kambi ya Lowassa kama ipo hapo. Ingekuwepo asingewaponda kina Sitta pia.

Kuhusu Dowans ukitazama kwa undani utagundua kuna fumbo kubwa mno ambalo iko siku litafumbuka, watanzania wataelewa na utakuwa ndio mwisho wa kuhujumiana kisiasa. 'SIKU ZINAHESABIKA'. Ukitazama kwa umakini na utulivu kisha ukawa kama refa kwa maana ya kujivua upande wako unaoshabikia 'set your mind neutral' utagundua mambo mengi sana, utaielewa hadi kauli ya mheshimiwa Zitto kuhusiana na siasa za Dowans. Zitto alionyesha uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kugundua mambo mapema akalitaka bunge kuacha kujadili Dowans akisema 'waheshimiwa wabunge tuache hoja hii ya dowans, hakuna kitu hapa..!' watu wakamwona msaliti kumbe siyo...! Ana akili sana aligundua siasa binafsi ndani ya bunge hakukuwa na maslahi ya nchi pale..!

Daktari wa sheria pamoja na wanasheria wenzake hawakuwa wamepitia mkataba wa Dowans na Tanesco? Hawakuona athari za kuuvunja? Si walisimama na kuwaeleza watanzania kwamba mkataba huo haufai uvunjwe? Sitta ni mwanasheria, hakujua madhara ya kuvunja huo mkataba? Sasa leo wao ndio wanaharakati wanataka Dowans isilipwe, watanzania watalala hadi lini? Hizo siyo siasa binafsi? Haiwezi kuingia akilini kwamba gari lako likiwa na pancha tairi moja la nyuma njia bora ni kungoa matairi yote pamoja na exel zake kwenda kuziba pancha, huo ni uhuni na kuzidisha gharama. Hilo walilijua, na kwa kuweka maslahi yao mbele wanataka kuwaambia watanzania kosa lilitokea baada ya mkataba kusainiwa.

Sawa kosa lilitokea, je? Hakuna taratibu za kupitia mikataba upya? Kama taratibu ziko, kwa nini hazikufuatwa? Mbona mikataba ya madini haivunjwi inapitiwa upya? Wanaofanya hivyo unafikiri ni wajinga?

Mh Zitto namkubali 100% aliona mbali hakuna ufisadi zaidi ya kulitumia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maslahi binafsi. Hapo utawala bora na viwango vilikiukwa...!

The dictionary further goes on to define void ab initio as:
Void ab initio. A contract is null from the beginning if it seriously offends law or public policy in contrast to a contract which is merely voidable at the election of one of the parties to the contract.

In practical terms, void is usually used in contradistinction to "voidable" and "unenforceable", the principal difference being that an action which is voidable remains valid until it isavoided. The significance of this usually lies in the possibility of third party rights being acquired. For example, in Cundy v Lindsay (1878) 3 App Cas 459 a fraudster induced Messrs Lindsay & Co to sell to him a quantity of handkerchiefs.

The fraudster then sold the handkerchiefs on to an innocent third party, Mr Cundy. The fraudster was convicted, and the money was never recovered from him. Lindsay sued claiming ownership of the handkerchiefs. If the contract of sale was held to be voidable for fraud, the fraudster could pass good title Mr Cundy (provided that the contract had not yet been avoided), and Lindsay & Co would only have recourse against the insolvent fraudster.

However, if (as was in fact held) the contract of sale was void ab initio, then title did not pass, and Lindsay could claim back the handkerchiefs as their property, and Mr Cundy was left with only a claim against the insolvent fraudster.

However, the right to avoid a voidable transaction can be lost (usually lost by delay). These are sometimes referred to as "bars to rescission". Such considerations do not apply to matters which are void ab initio

KWA KUZINGATIA TAFSIRI HII HAPO JUU MKATABA KATI YA TANESCO NA KAMPUNI HEWA YA RICHMOND HAUKUWEPO KIHALALI HADI PALE MTU/WATU WALIPOHUISHA MKATABA HUO NA KUUPA UHAI KWA KUKUBALI DOWANS KUCHUKUA MAJUKUMU YA KIMKATABA YA RICHMOND. JE NI NANI HAO? HAWA NDIO WANAOPASWA KUWAJIBIKA NA NI KUTOKA CHAMA CHA MAGAMBA.
 
Hiyo ndio JF na kusheheni wanataaluma kila idara humu. Mwache huyo Mollel apoteze bure muda wake kumpaka Lowassa mafuta mgongo wa chupa juu sakata ya Dowans inayofahamika kwa ufasaha hadi kwa vijitoto vijijini.

Back
Top Bottom