Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

Hizo hela Lowassa anazotumia kwenye kampeni za chinichini ni bora angeendelea kujenga maghorofa yake huko. Nakubali kuwa Lowassa ana nguvu bado ndani ya CCM, lakini NEC wakirogwa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015, ndio unakuwa mwisho wa CCM. WaTz wa saiv wana upeo, sio wa kuwachezea chezea hata kidogo. Anahitajika mtu ambaye ni mchapakazi na anakubalika kwa wananchi, mtu kama Magufuli hivi
 
Mashina yamefunguliwa kama kumi na tano leo Makamu UVCCM Mkiti Beno, akisindikizwa na Naibu Ktb Mkuu UVCCM Znz Jamal Ally, Mkiti UVCCM wa Morogoro Jonas Nkya, Mkiti wa UVCCM Manyara Darabe na Mkiti wa UVCCM Kilimanjaro Godliving na wajumbe wote wa baraza la mkoa wa Arusha na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa mkoa wa Arusha. Maeneo yaliyofunguliwa Arusha Mjini ni Sombetini, Levolosi, Kilombero, Mtaa wa Bondeni, Ngaranero na maeneo mengine mengi wakiwa na msafara mkubwa sana uliongozwa hamasa kubwa ya nyimbo za CCM kwenye gari kubwa. Kivutio kwenye mkutano wa mwisho alikuwa James Millya ambaye alimtukana Riz1 kwa kutaka kuzuia shughuli na kumpigia simu Mkuu wa Mkoa mpya na Polisi, lakini shughuli ikafanikiwa sana kwa hamasa kubwa sana wa vijana wengi sana kujitokeza. Tuache majungu.
 
Kgbtz,acha kupotosha umma,hakuna matawi 15,na eneo la Levolosi Kilombero,mlishindwa kufungua hata tawi moja,baada ya wananchi kutojitokeza,mwisho mkampiga na kumuumiza vibaya mwananchi asiye na kosa
Leo mmedhihirisha kwa nini lazima kuiondoa ccm madarakani,
 
Ni ulimbukeni unaofanywa na akina BENO.Tatizo hawa vijana ni viongozi wa taifa but kimatendo kana kwamba wanawakarisha watoto.Hapa siwatetei mtanisamehe.Beno ni janga la taifa la CCM hasa UVCCM.Mods utanisamehe kijana huyu vitendo vyake huwa vinanikera.
 
Duh hw magamba wanazidi kujichimbia kaburi. Wata2kuta ktk msimamo we2 kama kawa. Watajijuuuuuuuuuu!!
 
eti msafara mkubwa na matawi 15..kwanza mmeleta watu kutoka monduli na kisongo lakini bado watu walikuwa wachache sana hata 50 hawakufika..
 
"Ngiriiii.. Ngiriii Halow-halow.. "
"Yes.. How are You.."
"Salama tu, habari za Nyumbani.."
"Ahaa.. mkuu nilikuwa sijakufaham, ndio habari za huko, je umebahatika kumwona Kijana mzalendo mwenatu Barack"
"Ya Obama tuyaache kwanza, nimekupigia kukutaka uende Igunga ukasaidie kazi huko, tumezidiwa sana..."
"hehe. mkuu si unajua sisi tuna kale kajiskendo.. sasa huoni hapo kama..."
" Achana na Skendo, Watanzania hawajui cha skendo wala nini, Mbona kijana wetu amejimvinjari na mke wa maalim.. ila pesa imetuliza kila kitu.."
"na yeye alikuwa xxx kwelikweli, sasa chama tumemwamini na kumpatia kifimbo yeye analeta uozo.. '
"sasa hayo tuyaache, si unajua mwanaume Lijali mwenye nazo lazima atembezee.. sasa enewei tafadhali nenda, kawape tafu"
" mkuu mimi amri yako siikatai lakini vipi ukweli wa kauli siku ile ya mkutano, si ulisema sisi wote tusiende?"
"Embu tuache tofauti zetu, embu nenda, huoni kama tukilikosa Jimbo, Tutaingiaje 2015, hujui ni wewe nayekutegemea upeperushe bendera, kumbuka hadi yetu Kule Nairobi.."
"Hapo sasa mkuu unaongea maada za kueleweka, basi urudi kwanza tutaonge"
...........................................................................
"Nilipokuwa kule, baada ya mazungumzo yetu nilipata wakati wa kujadili na wataalam wa siasa wakasema nisikupeleke kule Igunga, na wakasema basi ujitahidi kwa nguvu zote kuuteka mji wa Arusha. Tufanyeni Sightseer ya mji mmoja mmoja, Tuanzie kwako Arusha.. pakishakuwa sawa Mtaelekea Mbeya.. na baada ya...."
" Samahani mkuu, umesema Tutaelekea, ukimaanisha nitakuwa na nani....."
"Eeer eeer.. ha! ha! haa! na wewe kwa vituko, basi mtakuwa na mdogo wangu.. teh..tih.. teh....."

nakupa mji unifafanulie..
 
Bado sijaona mantiki ya kumuhusisha Bernard Membe katika sakata hili la Arusha. Je, kuna uhakika gain kuwa Mary Chatanda na Ridhiwan Kikwete ni watu wa kambi ya Membe? Sina shaka KABISA kuwa Beno kanunuliwa na Mafisadi kwani vitendo anavyovifanya ni kwa maslahi ya akina Lowasa na kundi lake.
 
eti msafara mkubwa na matawi 15..kwanza mmeleta watu kutoka monduli na kisongo lakini bado watu walikuwa wachache sana hata 50 hawakufika..

Hii ni aibu kwa Beno Malisa aliyeamua kumsaliti rafiki yake aliyempigania kwa kila hali hadi akafika hapo alipofika. Kweli pesa nimwana-haramu. Sikutegemeq kama Beno angeweza kuwa mwepesi kiasi hiki. Amshukuru Mungu amezaliwa mtoto wa kiume, vinginevyo...
 
Ni ulimbukeni unaofanywa na akina BENO.Tatizo hawa vijana ni viongozi wa taifa but kimatendo kana kwamba wanawakarisha watoto.Hapa siwatetei mtanisamehe.Beno ni janga la taifa la CCM hasa UVCCM.Mods utanisamehe kijana huyu vitendo vyake huwa vinanikera.

Ukweli ni kuwa Beno KAPOTEZA mwelekeo na anaipeleka UVCCM pabaya. Anashindwa kuelewa kuwa enzi za Lowasa ktk siasa za nchi hii ZIMEKWISHA. NEC ijayo itamaliza kitendawili hiki.
 
Hii ni aibu kwa Beno Malisa aliyeamua kumsaliti rafiki yake aliyempigania kwa kila hali hadi akafika hapo alipofika. Kweli pesa nimwana-haramu. Sikutegemeq kama Beno angeweza kuwa mwepesi kiasi hiki. Amshukuru Mungu amezaliwa mtoto wa kiume, vinginevyo...

Hapo pekundu mkuu...kwanini wasimtumie tu...
 
Hizo hela Lowassa anazotumia kwenye kampeni za chinichini ni bora angeendelea kujenga maghorofa yake huko. Nakubali kuwa Lowassa ana nguvu bado ndani ya CCM, lakini NEC wakirogwa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015, ndio unakuwa mwisho wa CCM. WaTz wa saiv wana upeo, sio wa kuwachezea chezea hata kidogo. Anahitajika mtu ambaye ni mchapakazi na anakubalika kwa wananchi, mtu kama Magufuli hivi

HAKUNA ujinga kama huo utafanyika na CCM, subiri NEC ijayo utapata jibu la swali hilo. CCM haiwezi kufa kwa ajili ya Lowasa. Hana mvuto mwizi huyo wa mali za UMMA.
 
Mkuu Konakali hapo kwenye red,dhambi unaweza kuiacha ikiwa tu umeungama na ukamaanisha toba ya kweli toka ndani ya moyo wako kwamba hutairudia dhambi.
Yah kinadharia you very right, tatizo lipo kwenye kutekeleza. Nadhani dhambi nyingine ni tamu sana kuzifanya na ndomana tunazirudia now and then.
 
Bado sijaona mantiki ya kumuhusisha Bernard Membe katika sakata hili la Arusha. Je, kuna uhakika gain kuwa Mary Chatanda na Ridhiwan Kikwete ni watu wa kambi ya Membe? Sina shaka KABISA kuwa Beno kanunuliwa na Mafisadi kwani vitendo anavyovifanya ni kwa maslahi ya akina Lowasa na kundi lake.
kigezo ulicho kitumia kwa beno basi kitumie na kwa
Riz1,
Mary chitanda na Ezekiel Mollel kuwa ni kambi ya Benard Membe..na Riz1 ndiyo aliepiga simu kuzuia mkutano...
 
Back
Top Bottom