Benki zetu Tanzania

Wakuu Watanzania Wengi Bado Ni Malimbukeni Wa Madaraka/ Majukumu. Watu Wengi Hawajawahi Kuajiriwa Kwenye Hizo Ofisi Zenye Viyoyozi, Na Wale Wenye Uzoefu Wa Kuajiriwa Uzoefu Wao Ni Wa Enzi Zile Chama Kimeshika Hatamu..ukivurunda Unaamishiwa Ofisi Nyingine Au Kupandishwa Cheo. Hawa Miaka 15 - 30 Ijayo Watakuwa Wameshastaafu Wote Kwenye System Ya Bongo Hivyo Tuvute Subira...siku Zao Zinahesabiwa.
 
Mkuu si utaje hiyo BANK kusudi tuwe makini nayo...au hutaki watu tuifahamu?Hapa nikuelimishana hakuna kingine.

Suala la ATM, ni ngumu wafanyakzi kuiba hela

Maana kama ukitaka kutoa hela then zikakwama either kwa kuchelewa kuzichukua ama kiasi ulichotaka kuwa pungufu ya hela zilizopo kwenye mashine.
Hela zinarudishwa na outomatically inacreate kitu kinaitwa suspense account account so wateja wote waliopata hilo tatizo kwa siku hiyo hizo hela zitaingia kwenye hiyo suspense account.

Hawawezi kuzichukua maana account hazita balance so zitaendelea kubaki kwenye suspense account mpaka mteja aende kuclaim kwa resit iliyokupatia.

So nakataa hakuna wizi wa namna hiyo kwa benki yeyote.
 
Back
Top Bottom