Benki ya wanawake wameanza kuita shortilisted candidate.

mabereka

Member
Dec 4, 2012
23
3
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.
 
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.

Yeah_wameaanza mkuu,...ijumaa iliyopita waliita baadhi ya watu ili wafanye interview jmosi
 
Yeah_wameaanza mkuu,...ijumaa iliyopita waliita baadhi ya watu ili wafanye interview jmosi

JF ni habari mwanzo mwisho!! Ukiwa na issue wewe leta hapa tu!! Ni encyclopedia ya Bongo!!! Ni google ya Bongo!!
 
mkuu shortilist wameitwa ijumaa ili jumamosi wafanye interview mbona ni vigumu kwa mtu aliyeko mkoani kuwahi,acha tusubiri maybe tutaitwa na sisi hakuna kukata tamaa.
 
Ni kweli walifanyisha Interview Jumamosi,
Nilikutana na mama mmoja canteen ya IFM akiwa anajikumbusha kumbusha vitu muhimu muda mchache kabla ya kuingia kwa Interview, Kwa mujibu wa yule mama ilikuwa inaanza saa nne asubuhi na walifanyia ofisi fulani pale maeneo ya IFM na kwamba hayo ni maandalizi pia ya Benki hiyo kufungua tawi lingine maeneo ya Kariakoo!
 
Ni kweli walifanyisha Interview Jumamosi,
Nilikutana na mama mmoja canteen ya IFM akiwa anajikumbusha kumbusha vitu

muhimu muda mchache kabla ya kuingia kwa Interview, Kwa mujibu wa yule mama ilikuwa inaanza saa nne asubuhi na walifanyia ofisi fulani pale maeneo ya IFM na kwamba hayo ni maandalizi pia ya Benki hiyo kufungua tawi lingine maeneo ya Kariakoo!
ok bwana babauya thanks kwa taarifa ni pm inbox.
 
mkuu shortilist wameitwa ijumaa ili jumamosi wafanye interview mbona ni vigumu kwa mtu aliyeko mkoani kuwahi,acha tusubiri maybe tutaitwa na sisi hakuna kukata tamaa.

Yeah_mimi ni mhanga wa hili ndio maana nimejua wameita mkuu,..unapigiwa simu ijumaa halafu usahili jumamosi..nikashindwa mkuu

They promise to come back...nawasubiri
 
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.

Mkuu nina-share nao floor hapa.. So kama unataka informations zozote just pm me..
 
Back
Top Bottom