Benki ya TPB yakabidhi mradi wa Tsh. 57.8 Shule ya Msingi Kikale, Wilayani Kibiti

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
802
725
BENKI ya TPB imekabidhi madarasa mawili, ofisi ya walimu, madawati 50 na samani za ofisi katika Shule ya Msingi Kikale iliyopo Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani.

Mradi uliogharamu Tsh. milioni 57.8 na kukabidhiwa kwa uongozi wa Shule na Mkuu wa Wilaya Kibiti Gulamhussein



Shaban Kifu
UTEPE.JPG
MADAWATI.JPG
SABASABA%20AKIZUNGUMZA.JPG
MAKOFI.JPG
 

Attachments

  • SABASABA%20AKIZUNGUMZA.JPG
    SABASABA%20AKIZUNGUMZA.JPG
    31.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom