Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo bank ya ajabu kuliko bank nyingine kwa sababu:-
Siyo bank ya kufungua akaunti heri ubaki huko huko NMB wana NMB Mobile ambayo ni simple kuitumia kwa kila mtu. ATM zake zina speed na nyingi kiasi. Vumilia foleni ya mwisho wa mwezi au kafungue CRDB lakini usiende NBC nao ni wale wale.
- Mtandao wake ni mdogo yaani kimatawi, mfano D'Salaam wapo Kariakoo, Posta yapo matawi maawili na Mwenge. Arusha ni Posta Meru na tawi lingine karibu na Clocktower. Hawana ATM za uhakika na kama zipo speed yake ni slow sana.
- Huduma duni kuanzia mikopo mpaka ufunguaji na upatikanaji wa ATM zao.
Heshima wakuu! Naomba msaada kwa yeyote anayepata huduma za kibenki na benki ya posta, je huduma zao ni nzuri? Maana nimechoshwa na foleni za nmb.
Ulifanya kosa, kwa sasa siyo bank mbaya tatizo lake kuelemewa na wateja wengi kuliko uwezo wake ambao wengi hawaendi banki zaidi ya mara mbili hususan mwisho wa mwezi.Baki NMB, hii si benki, ni mfano wa benki!!
Nilikwisha tupa kadi yao kitambo!!!
Heshima wakuu! Naomba msaada kwa yeyote anayepata huduma za kibenki na benki ya posta, je huduma zao ni nzuri? Maana nimechoshwa na foleni za nmb.
vipi kuhusu Barclays na Stanbic?
benki ya hovyo
1. Very poor customercare
2. Ukifungua akaunti tegemea kupata atm card baada ya miezi sita
3.mkopo ni hadi upitishe mshara mmoja kwao
4.uzuri wao hawana foleni ndeeeeeeeeefu km nmb na crdb
5.hawapo mikoa yote na baadhi ya mikoa waliopo hawana ATM mashine so ukisafiri mikoani cha kufanya ni kuchek kwanza kama atm ipo ili uchukue mzigo mapema. Mkoa mmoja wapo wenye tawi bila atm ni Iringa
tpb popote
vipi kuhusu Barclays na Stanbic?
si kweli.