Benki ya FNB yatangaza kufunga matawi yake Quality Center na Kariakoo

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Benki ya FNB imetangaza kufunga matawi yake. Tawi la lililopo Quality Center litafungwa Juni 15 Huku tawi lililopo Kariakoo litafungwa Agusti 15.
Huduma zote Sasa zitahamishiwa tawi kuu mtaa wa Ohio ( FNB House )
D7Obh_eXkAE-7Y8.jpeg
 
Back
Top Bottom