Benki ya Equity kuweni makini, ATM hazitoshi

Rosenchold

Member
Jul 6, 2021
38
125
Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie.

Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno.

Imagine Mbeya nzima wana sehemu ya ATM moja tu nayo ipo sehemu ya Mjini karibu na TRA,ukienda Mbalizi, Mwanjelwa na maeneo mengine yaliyochangamka huwezi kukutana na ATM service ya Equity yao kabisa, achana na hawa mawakala ambao nao wako wachache, hivi Equity wamekuja kufanyabiashara ama kuuza sura.

Wanaleta foleni zisizo na mpango. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,647
2,000
Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie.

Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno.

Imagine Mbeya nzima wana sehemu ya ATM moja tu nayo ipo sehemu ya Mjini karibu na TRA,ukienda Mbalizi, Mwanjelwa na maeneo mengine yaliyocjhngamka huwezi kukutana na ATM service ya Equity yao kabisa achana na hawa mawakala ambao nao wako wachache, hivi Equity wamekuja kufanyabiashara ama kuuza sura. Wanaleta foleni zisizo na mpango. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio benki za wa mkoani hizo ndo maana hawajisumbui..
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,013
2,000
Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie.

Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno.

Imagine Mbeya nzima wana sehemu ya ATM moja tu nayo ipo sehemu ya Mjini karibu na TRA,ukienda Mbalizi, Mwanjelwa na maeneo mengine yaliyocjhngamka huwezi kukutana na ATM service ya Equity yao kabisa achana na hawa mawakala ambao nao wako wachache, hivi Equity wamekuja kufanyabiashara ama kuuza sura. Wanaleta foleni zisizo na mpango. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa jamaa wana huduma nzuri sana.
Nina credit card mashine yao.
Huwa haizingui ila ikisumbua hata usiku ukipiga wanakusaidia fasta
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
5,711
2,000
Benki koko ni ABSA Bank Tanzania.....
hailipagi waliokuwa watumishi wake kupitia Barclays Bank stahili zao wanaendekeza makesi....
anyway kuna siku tutaanzisha uzi wa benki zote zenye kasoro wanachi wajichunge nazo
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,268
2,000
Unajua Cost ya ATM Machine Mkuu na Kui-manage..., kama unaweza kutumia Kadi ya Equity kwenye ATM Nyingine kwanini wawe na ya kwao ?

Cha muhimu hizi banki ni kujakikisha tu zinakuwa na Sharing ili waweze kushare costs na kupunguza overheads..., hivi mambo za kila mtu kuwa na ya kwake ni kuongeza gharama..., na mawakala wakiwa wengi zaidi usishangae ATM zikawa nje ya Benki husika pekee....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom