Benki ya Dunia-Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021/2022

Mabeberu ukishayakubalia kila wanalokwambia yanaweza kukubeba ila ukienda nayo tofauti tu yanakukana hata kama unapaa yanakwambia unatambaa
 
Huu uchumi hukua mifukoni wa viongozi
We umekaa unakuna mbupu tu wenzako wanachakarika kwenye miradi kibao inayoendelea,uwekezaji umerudi kwa kasi,pesa imerudi kwa wananchi kwa kasi sana hasa kupitia kilimo mazao yamekuwa dili sana na bila kusahau watu wamepata ajira za serikali maelfu kwa maelfu na bado wanaendelea kuajiriwa hao wote wanaleta hela mtaani sasa mnataka serikali ya awamu ya sita iwape nini.
 
Mumeo
 
Back
Top Bottom