Benki ya Dunia: Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa pato la taifa

Nilikuwa najua uchumi wa mihogo tunayohangaika pa kuzia na mikungu ya ndizi inayoozea ushirika tukuyu imepata soko marekani na canada kumbe vocha za tigo ndio zinapaisha uchumi kwa 8% watanzania akili zetu zinatusha wenyewe
 
Nilikuwa najua uchumi wa mihogo tunayohangaika pa kuzia na mikungu ya ndizi inayoozea ushirika tukuyu imepata soko marekani na canada kumbe vocha za tigo ndio zinapaisha uchumi kwa 8% watanzania akili zetu zinatusha wenyewe
umeongea point mkuu....nmekupata na like yako
 
Takwimu za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa pato la taifa wa wastani wa asilimi nane.

Kwa mujibu wa takwimu hizo Tanzania imehakikisha pia ukuaji wa ajira rasmi na zisizo rasmi unabaki katika kiwango kizuri, kikiwa kwenye wastani wa asilimia 1.9.

Mafanikio hayo makubwa ya kiuchumi na soko la ajira pia yanaelezwa kuchangiwa kwa kiasi fulani na sekta binafsi na biashara ambayo ni mihimili katika sekta hiyo ikijumuisha teknolojia, ujenzi na mawasiliano.

Taarifa zaidi zinasema makampuni katika maeneo hayo matatu yametoa ajira kwa idadi kubwa ya watanzania na pia huduma zake zinahitajika katika sekta nyingine zote za uchumi.

Inaelezwa kuwa sekta ya mawasiliano ya simu imekuwa ikitoa ajira kupitia maeneo yake mbalimbali kama vile kupitia mawakala wa fedha, wasambazaji na wauzaji wa huduma za simu, wataalamu wa huduma kwa wateja na wengineo.

Zaidi ya hiyo, sekta hiyo pia inahitaji wataalamu kutoka maeneo mengine mengi mfano wahandisi wa mitambo ya mawasiliano na wachambuzi wa takwimu na wako wataalamu lukuki wa fani mbalimbali ambao wanahakikisha saa 24 mitambo iko sawa ili wateja waweze kupata huduma na kutumia simu zao bila tatizo mfano kuperuzi mtandaoni, kununua bando, kutuma na kupokea fedha, kutuma ujumbe mfupi na nyingine nyingi.

Kampuni ya Tigo Tanzania ni mfano mmojawapo wa kampuni hizo na inatajwa kama mwajiri muhimu nchini ikiwa na zaidi ya wafanyakazi 115,000 wenye ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja na kwa msingi huo nchi haina budi kuendelea kuunga mkono sekta hii na wadau wake wa namna hiyo ili kusukuma zaidi gurudumu la maendeleo ya uchumi wetu.
Sasa kila kitu kinabomolewa
 
Hongera Magufuli

Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao

Walikuwa wanatudanganya uchumi unashuka
Labda kama unampa hongera kwa kuharibu uchumi wetu,unadhani ni kwanini ile single yake ya uchumi unakuwa kwa 7.1% imepotea baada ya kuambiwa na IMF kuwa his dead elephant projects haiwezi kuwa sababu ya kukua kwa uchumi
 
Swala si kukua kwa uchumi! Swala msingi ni hili: kiasi gani cha huo ukuaji kimewanufaisha Watanzania wangapi?
Kama walionufaika ni asilimia 20 ya Watanzania, halafu asilimia 80 hawakunufaika kwa sababu jinsi hilo ongezeko lilivygawiwa kwa namna yoyote ile kwa Watanzania!
 
Back
Top Bottom