#COVID19 Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,216
3,587
Wataalam tusaidieni.

Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena?

Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo atatokea mtu aliye kinyume na chanjo hizi akaamua kutumia gap hiyo ya sayansi kutotoa jibu kwa shaka hili; kukampeni kwa watu kutilia shaka utoaji na uongezwaji damu kwamba mtu asiyetaka kuchanja ataogopa kuongezwa damu ya mtu aliyechanja na kwamba huenda tukajikuta kwamba ama Benki ya Damu inaingia kwenye ukata mkubwa wa damu au inakuwa na akiba kubwa ya damu yenye chanjo tu, ingawa hivi sasa uchunguzi usiyo rasmi unaonyesha kwamba wale walio kinyume na chanjo wamezama kwenye mfumo mpya wa utamaduni wa ulaji ambapo wanakula sana vyakula vya kuongeza damu (pamoja na kujikinga) ili wasije kuwa na uhitaji wa kuongezwa damu na kujikuta wakiongezwa damu ya mtu aliyechanja pale itapobidi damu kuongezwa, na huu ndiyo msingi wa mada yangu hii kama inavyojifafanua kwenye aya ya kwanza hapo juu.

Maswali magumu:
1. Je, Benki ya Damu itahitaji kubagua aina za damu inazokusanya katika makundi mawili ya waliochanja na wasiochanja?

2. Je, wakati sayansitiba bado iko kimya kuhusu shaka hili; ni haki kumuongeza mgonjwa damu yenye chanjo ilhali yeye hataki chanjo? Siyo uvunjifu wa #haki-za-mgonjwa/binadamu?

3. Je, kuna utafiti wowote umefanyika au unaendelea kufanyika kuhusu jambo hili? Kama upo majibu ya awali ya utafiti huo ni nini?

4. Je, kama ukiongezwa damu ya mtu aliye na Covid nawe unapata virusi hivyo (kama ulivyo Ukimwi), na kwa kuwa chanjo ni virusi vilivyofubazwa/punguzwa nguvu vinaingizwa kwenye damu ya mtu aishi navyo milele, vipi chanjo (virusi hivyo vilivyofubazwa) visiingie na kufanyakazi kwenye damu ya mtu aliyeongezwa ambaye hakuwahi kuchanjwa?

5. Je, kuna itifaki yoyote ya tiba ya dharura (Emergency Medical Protocol) kuhusu haki-za-mgonjwa kuongezwa damu katika mazingira kama haya?

6. Kama ni kweli kwamba ukiongezwa damu ya mtu aliyechanja na wewe usiyechanja unapokea chanjo hiyo kupitia damu uliyoongezwa je, hapa #Hiari-ya-kuchanja iko wapi? Siyo kwamba wote tunajikuta tumechanjwa kwa lazima?

7. Je, ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa wakati wewe hujachanja na kwamba damu hiyo mpya imekupa chanjo automatically kupitia damu uliyoongezwa, vipi kwanini usipewe cheti cha chanjo kwa kuwa damu yako imeishapokea chanjo kupitia kuongezwa damu ya mtu aliyechanjwa na kwamba huhitaji kuzuiliwa mpakani unaposafiri wala kubaguliwa kwenye kupata huduma zozote zile?

Hakuna swali la kijinga duniani ila majibu ndiyo yanaweza kuwa ya kijinga. (No question is stupid but the answer)
 
Ukiwekewa damu ya mtu aliyechanja polio wakati wewe hujachanja hivi unapata chanjo ya polio automatically 🤣?
 
Covid inaambukiza kama ilivyo Surua (Measles) ambao una kiwango cha juu cha maambukizi cha karibia asilimia 100 kama Covid, vipi chanjo ya Covid itolewe cheti wakati ya Surua hakuna cheti? Ni vivyo hivyo kwa Homa ya Manjano ambayo sasa pamoja na Covid ni magonjwa mawili ambayo chanjo zake zina ulazima wa kutolewa vyeti.
 
Mada mhimu kama hii members wanakimbia kuchangia na bado JF tunajiita Home of GT...!

Mleta mada ukiona hivyo ujue kabisa >80% ya members humu wamechanja haya makitu including members ambao wako kwenye tasnia ya afya.

Hili zoezi lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa make lilikuwa na shinikizo ndani yake, na hata hawa watu wa afya iliwalazimu kuchanja tu kutokana na kihoro cha kufa make ndo walikuwa highly risk kupatwa na maambukizi.
Hawawezi kuchangia mada hii make wamejikuta tu wamechanja ndo baadae wakaufahamu ukweli kwamba ile chanjo na ugonjwa wenyewe ilikuwa ajenda ya siri kubwa iliyo shinikizwa na mabeberu ila madhara yake ni makubwa.

Japo sikuchanja, ila kiuhalisia bado sijaepuka chochote endapo na ikiwa vimelea vya chanjo hiyo vitaendelea kusambazwa kwa njia ya kuongezewa damu kama vile swali ulivyouliza hapo juu.

Hawa wazungu they are ahead of us in every aspect. It is just a matter of time siku wakijisikia kuuangamiza ulimwengu, ni kitendo cha kuclick batan tu wote chali.
 
Wataalam tusaidieni.

Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena?

Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo atatokea mtu aliye kinyume na chanjo hizi akaamua kutumia gap hiyo ya sayansi kutotoa jibu kwa shaka hili; kukampeni kwa watu kutilia shaka utoaji na uongezwaji damu kwamba mtu asiyetaka kuchanja ataogopa kuongezwa damu ya mtu aliyechanja na kwamba huenda tukajikuta kwamba ama Benki ya Damu inaingia kwenye ukata mkubwa wa damu au inakuwa na akiba kubwa ya damu yenye chanjo tu, ingawa hivi sasa uchunguzi usiyo rasmi unaonyesha kwamba wale walio kinyume na chanjo wamezama kwenye mfumo mpya wa utamaduni wa ulaji ambapo wanakula sana vyakula vya kuongeza damu (pamoja na kujikinga) ili wasije kuwa na uhitaji wa kuongezwa damu na kujikuta wakiongezwa damu ya mtu aliyechanja pale itapobidi damu kuongezwa, na huu ndiyo msingi wa mada yangu hii kama inavyojifafanua kwenye aya ya kwanza hapo juu.

Maswali magumu:
1. Je, Benki ya Damu itahitaji kubagua aina za damu inazokusanya katika makundi mawili ya waliochanja na wasiochanja?

2. Je, wakati sayansitiba bado iko kimya kuhusu shaka hili; ni haki kumuongeza mgonjwa damu yenye chanjo ilhali yeye hataki chanjo? Siyo uvunjifu wa #haki-za-mgonjwa/binadamu?

3. Je, kuna utafiti wowote umefanyika au unaendelea kufanyika kuhusu jambo hili? Kama upo majibu ya awali ya utafiti huo ni nini?

4. Je, kama ukiongezwa damu ya mtu aliye na Covid nawe unapata virusi hivyo (kama ulivyo Ukimwi), na kwa kuwa chanjo ni virusi vilivyofubazwa/punguzwa nguvu vinaingizwa kwenye damu ya mtu aishi navyo milele, vipi chanjo (virusi hivyo vilivyofubazwa) visiingie na kufanyakazi kwenye damu ya mtu aliyeongezwa ambaye hakuwahi kuchanjwa?

5. Je, kuna itifaki yoyote ya tiba ya dharura (Emergency Medical Protocol) kuhusu haki-za-mgonjwa kuongezwa damu katika mazingira kama haya?

6. Kama ni kweli kwamba ukiongezwa damu ya mtu aliyechanja na wewe usiyechanja unapokea chanjo hiyo kupitia damu uliyoongezwa je, hapa #Hiari-ya-kuchanja iko wapi? Siyo kwamba wote tunajikuta tumechanjwa kwa lazima?

7. Je, ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa wakati wewe hujachanja na kwamba damu hiyo mpya imekupa chanjo automatically kupitia damu uliyoongezwa, vipi kwanini usipewe cheti cha chanjo kwa kuwa damu yako imeishapokea chanjo kupitia kuongezwa damu ya mtu aliyechanjwa na kwamba huhitaji kuzuiliwa mpakani unaposafiri wala kubaguliwa kwenye kupata huduma zozote zile?

Hakuna swali la kijinga duniani ila majibu ndiyo yanaweza kuwa ya kijinga. (No question is stupid but the answer)
 
Mada mhimu kama hii members wanakimbia kuchangia na bado JF tunajiita Home of GT...!

Mleta mada ukiona hivyo ujue kabisa >80% ya members humu wamechanja haya makitu including members ambao wako kwenye tasnia ya afya.
Wanakimbilia
Kula tunda kimasihara
Davido mwanamuziki bora Africa and the like
 
Mada mhimu kama hii members wanakimbia kuchangia na bado JF tunajiita Home of GT...!

Mleta mada ukiona hivyo ujue kabisa >80% ya members humu wamechanja haya makitu including members ambao wako kwenye tasnia ya afya.
Wanakimbilia

Covid inaambukiza kama ilivyo Surua (Measles) ambao una kiwango cha juu cha maambukizi cha karibia asilimia 100 kama Covid, vipi chanjo ya Covid itolewe cheti wakati ya Surua hakuna cheti? Ni vivyo hivyo kwa Homa ya Manjano ambayo sasa pamoja na Covid ni magonjwa mawili ambayo chanjo zake zina ulazima wa kutolewa vyeti.
Swali bado lipo palepale,ukiongezewa damu ya mtu alichanja ili kujikinga na surua unakuwa umejikinga automatically?

Mimi sijui, kwasababu sio mtaalam wa afya.
 
Back
Top Bottom