RAHA KAMILI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 203
- 83
MenejaMasokowa AccessBank, Muganyizi Bisheko (Kulia)akimkabidhi zawadi ya simu mteja mwenye miamala mingi kwenye huduma ya RAHISI inayowezeshawa na AccessMobile, Amos Masunga anayeishi jijini Mwanza.kutoka katika kundi la wateja zaidi ya 20,000, mshindi huyo ndiye alikuwa mwenye miamala mingi zaidi ya wengine
Kupitia huduma hiyo, sasa wateja wa AccessBank wanaweza kuokoa muda mwingi zaidi kwa kufanya miamala mbalimbali ya kifedha kupitia simu za mkononi pasipo makato yoyote
Mteja mwenye miamala mingi Zaidi kwenye huduma ya “RAHISI inayowezeshawa na AccessMobile”, Amos Masunga akionyesha simu yake mpya na kisasa aina ya HUAWEI P8 aliyojishindia.
Mr. Amos akiwa kwenye picha ya pamoja na MenejaMasoko wa AccessBank, Muganyizi Bishekona CEO wa AccessBank, Mr. Roland.
Mkurugenzi Mtendaji wa AccessBank, Bw. Roland Coulon, alisema kuwa, “inafurahisha sana kuona huduma hii inafanya vizuri na imeweza kukidhi kisawa sawa mahitaji ya wateja. tutaendelea kuwaweka wateja wetu mbele na kuwazadia kwa uzalendo wao na uaminifu wao katika kutumia huduma zetu.”
“Ningependa kuwashauri wateja waendelee kutumia mfumo wetu wa bure wa huduma za kibenki kwa njia ya simu, wafanye miamala mingi na wawashauri ndugu na jamaa kujiunga na mfumo huu kwa kutembelea tawi lolote la AccessBank huu ili nao waweze kufurahia miamala ya bure na kufuzu kwenye mfumo huu wa zawadi.”
Akihitimisha, MenenjaMasokowa AccessBank, Bw. Muganyizi Bishekoalisemakuwabenkihiyoitaendeleakubuninakuletahudumanyinginenyingiamabazozitazidikuchocheamaendeleoyauchuminakuboreshaupatikanajiwahudumazakifedhanchini