Benki Kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
337
1,000
CRYPTO-CURRENCY.jpg


Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’.

Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina wasiwasi kuhusu madhara ya kiteknolojia ikiwemo kumlinda mteja, na uhalifu wa kifedha amesema afisa mwandamizi wa benki kuu ya Uganda, Ijumaa.

"Benki inaangalia kuhusu aina ya sera zinavyotakiwa kuwa, lengo ni kuona itatatua tatizo la manunuzi au kutakuwa na ubunifu upi," - anasema Mkurugenzi wa Malipo wa Taifa, Andrew Kawere.

Amesema wanaendelea hawajajiwekea muda maalum kuhusu utafiti wao lakini muhimu wanazingatia madhara ya kiteknolojia ikiwemo kumlinda mteja, na uhalifu wa kifedha.

Source: Reuters

=========

Uganda's Central Bank Weighs Issuance of Digital Currency

KAMPALA (Reuters) - Uganda's central bank is considering whether to issue a digital currency and has not banned cryptocurrencies, but has concerns about risks from the technology including consumer protection and financial inclusion, a senior bank official said on Friday.

"Bank of Uganda is currently doing preliminary studies on whether or not a central bank digital currency should be considered ... and especially explore what policy objectives it would address," Andrew Kawere, the bank's director for national payments, told Reuters in an interview.

"Is it financial inclusion that we want to solve, is it payments, is it to support innovations in the financial space? That is an unanswered question."

African governments have approached digital currencies differently. Nigeria's central bank barred local banks from working with cryptocurrencies last year before launching its own digital currency, while Central African Republic last month adopted bitcoin as an official currency, an African first.

Kawere said they had no timeline for concluding their studies or issuing a digital currency, but said they were particularly focusing on risks around the technology.

"Consumer protection - this is a very big concern for us as Bank of Uganda. In Uganda we have low levels of digital financial literacy ... the population needs a bit of protection from some of these fairly advanced financial innovations."

Kawere said access would also be an issue when rolling out such a currency because of the low levels of penetration by the necessary infrastructure like smart phones, computers and the internet.

"It could lead to financial exclusion for those that can't have access (to the currency)."

He said the bank had reservations about cryptocurrencies' volatility which he said undermines their ability to function as a store of value.

Cryptocurrencies were already informally in use in Uganda, Kawere said, but the central bank has cautioned licensed payments service providers to go slow on them while the regulator studies the technology and develops regulatory mechanisms.

Ugandans have received cryptocurrency worth the equivalent of about $4.8 billion between March 2019 and March 2022, according to blockchain data platform Chainalysis.

"So Bank of Uganda hasn't banned cryptocurrency, we have simply applied some speed brakes," Kawere said.
 

Mavurunza

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
236
225
RENEC (Remitano Network Coin) ni project inayofanywa na Wallet inayoitwa Remitano ambayo ni cryptocurrency exchange wallet ya muda kidogo na imekua msaada mkubwa kwa watumiaji wa crypto hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kuanzia mwaka 2016. Naomba nidokeze hapa kidogo hata Binance ilipoanza haikuwa na wateja wengi wa P2P hapa Tanzania ukilinganisha na hii wallet ya Remitano)

Mission yao ni kutengeneza cryptocurrency na smart contract ambayo itakuwa inatumiwa na watu kila siku(forever).

Vision yao ni kutengeneza cryptocurrency ambayo itakuwa inatumiwa sana ambayo italeta ushindani kwa sarafu nyingine kama ilivyo kwa BNB sarafu ya Binance pamoja na Bitcoin.

Jinsi ya kumiliki coin za RENEC ni kupitia kufanya mining. Yaani unajisajili baada ya hapo unadownload app ya Remitano kupitia simu yako na kuanza kufanya mining.

Faida za RENEC.
1. Inachimbwa (mining) Bure haihitaji kiingilio ama ada.
2. Haiingiliani na majukumu yako ukishabonyeza kitufe cha START MINING ni mpaka masaa 24 yapite ndipo ubonyeze tena.Hapa namaanisha haihitaji uwe mtandaoni kila saa.
3. Haihitaji uwe na data na uwashe muda wote. Utatumia Mb zako chache pale unapofungua app tu.
5. Hakuna fedha inayohitajika kujiunga ama kuchimba hiyo sarafu.
6. Uchimbaji (mining) ama utafutaji wa hii sarafu unafanyika kupitia simu janja (smartphone) yako.

RENEC inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi wa saba. Mara baada ya kuzinduliwa tu kila RENEC uliyopata kwa kufanya mining itakuwa na thamani halisi za fedha.

Note:- Kwa wale ambao tulishaikosa BNB ambayo ni sarafu ya Binance na sarafu nyingine wakati zikiwa ndo zinazinduliwa tusiikosee na hii Watanzania wenzangu.

Kujiunga bonyeza link hii Remitano na baada ya kukamilisha usajili utapata welcome bonas ya RENEC moja.

Niulize swali kama utahitaji msaada zaidi. Jiunge na group letu la WhatsApp kwa updates mbali mbali TZ RENEC MINERS
 

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,009
2,000
nchi itakayoweka mazingira mazuri kwa crypto inaweza kupiga hatua za maendeleo kwa speed ya mwanga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom