mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,789
- 105,898
Wasomi wazima wanaingizwa chaka,alafu hzo d9 sjui bitcoin kwanza hwmawana hata ofisi kukutana nao ni juu kwa juu tu....mtu mwenye akili timamu Lazima atajiulizaaa kuwa hapa mbele kuna maumivuApa Tanzania, elimu yetu ina mashaka sana. Kama wasomi wengi wangejiingiza 40% katika kilimo na ufugaji kwa kutumia technology tungekuwa mbali sana. Lakini kwa kuwa tunapenda mambo ya mteerezo mteerezo. Kuna faida kubwa sana kama kila mtu angeejiingiza katika ujasiliamali wa kilimo na ufugaji. Lakini huuu upuuzi wa sijui D9, ONE COIN, BIT COIN na vinginevyo vitatokea puani
BOT TANZANIA kaeni kimiya ivyo ivyo ili tupigwe kisawa sawa. Kama matajiri wetu wengi ni makanjanja, mtu ana miliki pesa lakini vyanzo vya mapato avionekaniki mfano awo mapedesheee waliokuwa wanamwaga pesa katika kumbi za starehe serikali ilikuwa inakausha bila kufatilia
Ova