Benki Kuu ya Tanzania, liangalieni Hili la D9 Club, Rwanda wamepigwa Marufuku

Jana nimesoma memo ya Benki Kuu ya Rwanda wakipiga marufuku utapeli wa kimtandao unaokwenda kwa jina la D9 Club kwa sababu wameeleza ni Pyramid Scheme/Ponzi Scheme ambapo wale waliotangulia huwa wananufaika kwa gharama ya wale watakaoingia kwa kuchelewa.

Kwa kweli naipongeza sana Benki Kuu ya Rwanda kwa hatua hii ya kulinda interests za wananchi wa Rwanda ili watu wengine wasinufaike kwa gharama za watu wengine. Tena wameenda mbali kwa kutaja hata jina la muanzilishi wa hiyo scheme nchini Rwanda pamoja na nchi ambazo huo mtandao umeenea sana ikiwepo Tanzania.

Sasa concern yangu ni kwa Benki Kuu ya Tanzania ambayo mpaka sasa iko kimya kuhusu utapeli huu. Hii hii benki kuu yetu iko kwa ajili ya kusimamia tu sekta ya mabenki na kuyapiga faini pale yanapoenenda kinyume na taratibu za uendeshaji wa mabenki au hata kulinda maslahi ya kifedha ya wanachi wa Tanzania. Ina maana mpaka leo hawajajua kuna utapeli wa aina hii unaendelea mpaka kanchi kadogo kama Rwanda kametuzidi katika hili? Nimeona baadhi ya Benki kama Tanzania Postal Bank na Equity bank zimetoa memo ya kuwaonya wafanyakazi wake wasije kushiriki katika scheme hii kwani ni utapeli na kinyume na maadili. Ifike mahali Benk Kuu ya Tanzania mfanye zaidi ya ku-regulate mabenki, muwalinde wanachi wa Tanzania ambao wengi wao hawana taarifa.

Angalia jinsi wananchi wengi wa Tanzania walivyopoteza fedha na mali zao wakati Benki Kuu ya Tanzania wakiwa kimya tuu. Kuna watu walipoteza hata nyumba zao kwa kuweka dhamana ili wapate fedha za kwenda kupand mbegu DECI. No wonder mkulu jana amewashangaa na kusema pale Benki Kuu kuna PhD 17 lakini hawalioni hili.
View attachment 523217
Kwa mjibu wa vyombo leo BOT tayari imeshatoa tahadhari kwa wananchi wote juu ya utapeli huo.

Na taarifa za kuaminika ni kwamba viongozi wote D9 Club wamekamatwa.
 
Subject: RE: NOTIFICATION OF ILLEGAL SCHEME KNOWN AS D9 CLUB

Dear members,



This is to bring to your attention on the existence of an illegal pyramid scheme known as D9 Club whereby the so called “down-liner” or “promoter” collects money from club members through their bank accounts and transfer the funds outside the country. The scheme was originated in Brazil and it is now spread in so many countries including Tanzania. The recruitment to the club is internet based.



From the brief discussion we had with BOT regarding the subject matter, we were advised that the scheme has elements of money laundering and that the matter has been reported for further action by the relevant authorities.



Given the nature of the D9 Club scheme, members are strongly requested to:



1. Ensure that your members of staff are not involved in the scheme.

2. Ensure that down-liners’ accounts are identified and necessary measures be taken before any further loss is incurred to poor Tanzanians who are being caught on these kind of schemes uninformed.



Please be advised and take note.



Sincerely,



TBA Executive Director
 
mmmmh naona kuna mtu wa benki kaja na taarifa akiwataarifu
vipi kama hawa watu wakiamua wasitumie benki bali bitcoin ili kuficha kile wafanyacho
 
Ngoja watu waumizwee ndy bot wata wablock
Watz wanapenda slope cha ajabu watu waliyoingizwa kwenye hayo ma d9,onecoin etc
Wako madokta,wanasheria,wapo watu walioenda shule lkn wameingizwa humo na wenyewe wanakuambia hzo zote ziko salama

OvA
Apa Tanzania, elimu yetu ina mashaka sana. Kama wasomi wengi wangejiingiza 40% katika kilimo na ufugaji kwa kutumia technology tungekuwa mbali sana. Lakini kwa kuwa tunapenda mambo ya mteerezo mteerezo. Kuna faida kubwa sana kama kila mtu angeejiingiza katika ujasiliamali wa kilimo na ufugaji. Lakini huuu upuuzi wa sijui D9, ONE COIN, BIT COIN na vinginevyo vitatokea puani
BOT TANZANIA kaeni kimiya ivyo ivyo ili tupigwe kisawa sawa. Kama matajiri wetu wengi ni makanjanja, mtu ana miliki pesa lakini vyanzo vya mapato avionekaniki mfano awo mapedesheee waliokuwa wanamwaga pesa katika kumbi za starehe serikali ilikuwa inakausha bila kufatilia
 
Rwanda hongereni kwa kupata viongozi makini ss huku t anzania Bado tunajikongoja Bado ni inchi changa
 
To: "'Tanzania Bankers Association'" <info@tanzaniabankers.org>, <charles.kimei@crdbbank.com'>, <Ammish.Owusu-Amoah@boatanzania.com>, <abaseer@imbank.co.tz>, <dbotha@bancabc.com>, <daitken@fnb.co.tz>, <dinesharora@eximbank-tz.com>, <info@dcb.co.tz>, <Edwina.Lupembe@mkombozibank.com>, <Edward.Marks@nbctz.com>, <info@kilicobank.com>, <rbenedict@ecobank.com>, <hasanrizvi@habibafricanbank.co.tz>, <imwangalaba@maendeleobank.co.tz>, <ineke.bussemaker@nmbtz.com>, <israel.chasosa@acbtz.com>, <Joseph.Carasso@citi.com>, <pankaj.kansara@nic-bank.com>, <md@tib.co.tz>, <md.tanzania@bankofbaroda.com>, <charles.singili@tib.co.tz>, <sabasaba.moshingi@postalbank.co.tz>, <jacqueline.woiso@bankm.com>, <BOI.Tanzania@bankofindia.co.in>, <Viju@diamondtrust.co.tz>, <viswanathan@icbank-tz.com>, <sanjay.c.rughani@sc.com>, <frank.nyabundege@tib.co.tz>, <hedvig.sundberg@accessbank.co.tz>, <gdimoso@azaniabank.co.tz>, <abdi.mohamed@barclays.com>, <peter.makau@ubagroup.com'>, <gndalahwa@tz.kcbbankgroup.com>, <seshagiridas@gmail.com>, <joseph.iha@equitybank.co.tz>, <info@pbzltd.com>, <gift.shoko@cbagroup.com>, <CockerillK@stanbic.com>, <amillinga@yetumfplc.co.tz>, <lawrence.mafuru@gmail.com>, <mmhule@efathabank.co.tz>, <Muhsin.Masoud@amanabank.co.tz>, <faisal_jamall@ublint.com>, <oscar.mgaya@tmrc.co.tz>, <issa.ngwegwe@fincatz.org>, <Seshagiridas@canarabank.co.tz>, "Danford Mbilinyi" <danford.mbilinyi@umojaswitch.co.tz>, <rmanongi@mcb.co.tz>, <charles.singili@tib.co.tz>, <sabethatz@hotmail.com>
From: "Tuse M. Joune" <tuse@tanzaniabankers.org>
Date: 06/13/2017 08:54AM
Cc: <Fredrick.Nshekanabo@crdbbank.com>, <kenneth.kasigila@crdbbank.com>
Subject: RE: NOTIFICATION OF ILLEGAL SCHEME KNOWN AS D9 CLUB

Dear members,



This is to bring to your attention on the existence of an illegal pyramid scheme known as D9 Club whereby the so called “down-liner” or “promoter” collects money from club members through their bank accounts and transfer the funds outside the country. The scheme was originated in Brazil and it is now spread in so many countries including Tanzania. The recruitment to the club is internet based.



From the brief discussion we had with BOT regarding the subject matter, we were advised that the scheme has elements of money laundering and that the matter has been reported for further action by the relevant authorities.



Given the nature of the D9 Club scheme, members are strongly requested to:



1. Ensure that your members of staff are not involved in the scheme.

2. Ensure that down-liners’ accounts are identified and necessary measures be taken before any further loss is incurred to poor Tanzanians who are being caught on these kind of schemes uninformed.



Please be advised and take note.



Sincerely,



Tuse M. Joune

EXECUTIVE DIRECTOR

TANZANIA BANKERS ASSOCIATION (TBA)

Email: tuse@tanzaniabankers.org| Mob. +255-756-547-707| Gen. +255-22-212-0551/212-7764
Mkuu japo ni taarifa nzuri lakini naona usingeweka izo email addresses..
 
Kama Governor wetu amelala makinika yanamsumbua basi waziri wa fedha aseme naye kama amelala waziri wa fedha kivuli aseme.
Kama wote wameshindwa Waziri Mkuu yupo au Siro
 
mmmmh naona kuna mtu wa benki kaja na taarifa akiwataarifu
vipi kama hawa watu wakiamua wasitumie benki bali bitcoin ili kuficha kile wafanyacho
Bado issue ishaingia ukakasi itakufa tu..maana hawatapata watu wapya tena!!
 
Kwa mjibu wa vyombo leo BOT tayari imeshatoa tahadhari kwa wananchi wote juu ya utapeli huo.

Na taarifa za kuaminika ni kwamba viongozi wote D9 Club wamekamatwa.
Kama ni kweli basi wamefanya jambo jema sana kulinda maslahi ya raia wengi wasio na taarifa na wenye kutaka fedha za haraka pasipo kufanya kazi.
 
matapeli wengine ni CHADEMA bot wapigen ban
Kumbe matapeli ni chadema? wala sio ccm walioitapeli hii nch kwa kuburuza upinzan nje ya geti la bunge kisha ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiulain na kusainisha mikataba ya kugawa bure madini na gesi. kweli hii kali ya mwaka .....leo unafanya maigizo ya kuhuisha chama cha makanikia kwa cosmetics ya uzalendo wakat kipindi kile ulifurahia lisu kuwekwa kolokolon na ukaitikia ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooo????!?!?
 
Mkuu japo ni taarifa nzuri lakini naona usingeweka izo email addresses..

Ahsante kiongozi, nimeshafanyia kazi. Sasa nakuomba na wewe urekebishe bandiko lako lisionyeshe email address. Kwa mara nyingine tena, shukrani sana mkuu
 
Tanzania kila kitu wana ruhusu hata hizi znazoitwa bahati nasibu wanatakiwa wazifatilie kwa kina
 
Hizo hela si za benki yoyote
fedha zinawekwa na wao member wa D9 waacheni wacheze kivyao
Mbona BiPesa, sportPesa BET zinatumia Kamari na hiyo Bitcoin hazifungiwi?
Huyo Abbas Tarimba msimamizi wa Michezo ya kubahatusha kaiingiza SportPesa hamumumuulizi aliupata wapi mchezo huo.
D9 inahusika na michezo na hasa mpira wa miguu. na ukiweka ni kimataifa, unahusiana na Hong-Kong Brasilia na Nchi baadhi km Uganda Kenya na Tanzania.
Kinachowauma ni huo ulipwaji ambao Benki zote hawawezi kulipa, pia ulimwengu umeshaingia kwenye Bitcoin ambayo ni currency isiyowea dhibitiwa na benki yoyote Duniani
ACHENI KASHFA NA MINENO YA KUBEZA HAMJALAZIMISHWA KUCHEZA

ukiona manyoya
 
:) :) :) huwa nikiona biashara za hivi nacheka sanaa, sijui ipo wapi RIFARO kuna mtu nilishawahi gombana naye kisa kumkatalia kujiunga kwenye hayo mabiashara, sasa hiyo ya D9 kuna jamaa yangu hadi leo anahangaika sijui kapoteza simu ambayo ndo ilikuwa ina google authenticator app, sasa sahiv anashindwa kulog in
 
Back
Top Bottom