Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yawaonya wanaodhihaki fedha ya Tanzania

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,092
BoT1.PNG
BoT.PNG

Pia soma >Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania - JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Itakua nasoma Penal Code ya zamani maana hii niliyo nayo mimi haina hicho kifungu cha 322A bali ina kifungu cha 322 tu ambayo inatamka itakua ni kosa kwa mtu kuwasha moto kitu chochote kike kinachoweza kuwaka moto
 
Attachments

  • Screenshot_20180920-075539.png
    Screenshot_20180920-075539.png
    53.7 KB · Views: 34
Mimi nadhani iikuwa ni sehemu ya utamaduni wetu kumtunza MTU note pesa kama kitu cha thamani.Mtafunga wangapi!?Tuweke mstari tuanze upya baada ya elimu BOT.
 
Itakua nasoma Penal Code ya zamani maana hii niliyo nayo mimi haina hicho kifungu cha 322A bali ina kifungu cha 322 tu ambayo inatamka itakua ni kosa kwa mtu kuwasha moto kitu chochote kike kinachoweza kuwaka moto
Guud..I think hawa jamaa wanatajaga vifungu vya uongo coz wanajuaa watz co wafuatiliaji na wala hawatosoma
 
Maelezo Mafupi ya kuekeweka, Nashukuru hakuna picha ya Mh.Jiwe kwenye Noti zetu maana Maelezo yangetoka Kitabu cha Kurasa 10.
 
Mbona wakina Diamond na lile tangazo La Diamond karanga wana zifagia kabisa Hzo noti na hawajashkwa?
 
JK aliita ya "madafu"! Kama shilingi inaporomoka kwa thamani itadharauliwa na wengi tu. Hata sasa kuna wengi tu wanaoidharau lakini kupoteza muda kushughulikia wanaodharau pesa ni ushamba tu. Bot wakazane kuimarisha thamani ya pesa. Vitisho haviwezi kuboresha hali ya uchumi na pesa.
 
Mimi nadhani iikuwa ni sehemu ya utamaduni wetu kumtunza MTU note pesa kama kitu cha thamani.Mtafunga wangapi!?Tuweke mstari tuanze upya baada ya elimu BOT.
Kutunza na kudhihaki ni vitu viwili tofauti, usiwe mvivu Wa kufikiri, kichwa umefugia nywele?
 
Back
Top Bottom