Hapo kuna sheria gani?Kweli awamu hii tunajifunza mengi ya sheria.. pia vyeo na madaraka
Hapo kuna sheria gani?
Ukiona hivyo ujue hiyo benki imekaribia kufirisika
Unajua ulichoandika??Kweli awamu hii tunajifunza mengi ya sheria.. pia vyeo na madaraka
Unajua ulichoandika??
We kada wa CCM hujambo?Ha ha haaa upinzani kumedodaaaaa umaniletea hasira mimi.. na bado.. uzi zenu zinazidi kudoda sana siku hizi.. lia tu usiogope huku ukijifunza kusoma na pia kuelewa..
Na juzi tu wametoa gawiwo la 1 billions shillings.
Soma kifungu kilichonakiliwa halo juu cha sheria ya mabenkiKwani uteuzi wa mkurugenzi wa TIB unafanywa na BOT?
Ni yule kijana mdogo mdogo hivi?
Aisee.
Kumbe unamfaham, hebu dodosa vizuri maana isiwe unamponda na hujui lolote kuhusu Frank...Uyo bora kaondelewa Hana vyeti
Soma kifungu kilichonakiliwa halo juu cha sheria ya mabenki