Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yasitisha uteuzi wa Bw. Frank Nyabundege kama Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
EBB74EE3-2434-4A55-9D1F-5F273552D9AF.jpg
 
Na juzi tu wametoa gawiwo la 1 billions shillings.

Gawiwo halafu haifanyi vizuri, fallacy. Gawiwo maana yake taasisi imepata faida na kulipa kodi kinachobaki aidha wanatoa kama gawiwo ama kunabaki kuongeza mtaji, sasa leo banki inatoa gawiwo la billion 1 ikiwa na maana ama wamepata faida baada ya kodi ipatayo Billion 1 na kuigawa yote au wamepata faida baada ya kodi zaidi ya billion moja. Lakini inafanya vibaya!!
 
wasomi wa sheria mtusaidie tafsiri ya kifungu 33(2)(b) kilichotumika kwa maana kwa uelewa wangu nimeona kama vile BOT (the Bank) wanayo mamlaka ya kuteua MSHAURI wa benki (the bank or financial institution)

20190714_065639.png

20190714_065755.png

NB: mimi sio mwanasheria hivyo inawezekana kabisa nikawa sielewi vizuri tafsiri ya hicho kifungu, tuelimishane.
 
Back
Top Bottom