Benki Kuu ya Tanzania(BoT) yahamisha Mali na Madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd

Naona bado upo jikoni unaota moto maana kama kila anayejiunga JF ukaamini kama yupo bongo basi nakupa pole sana

In God we Trust
Kama ndo hivyo pili pili ya shamba yakuwashia nini??? Au hujui kwamba siri ya kaburi aijuaye maiti??? Kila siku tunaambiwa kitanda usichokilalia hujui kunguni wake sasa ww sjui tatzo lako n nn kama ndo hvyo maana wenye vtanda vyao hawaoni kunguni lkn ww unalia kunguni

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna akili hata chembe naona chakubanga kakumaliza kabisa

In God we Trust
 
Asante sana mkuu, huu mkutano ni very critical, nchi za wenzetu Gavana akiwa anaongea nchi nzima inasimama kwani kauli yake inaathiri kila kitu kuanzia masoko ya mitaji hadi riba za kukopa na uwekezaji.

Tafadhali endelea kutupatia updates

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo ni nchi wenye benki zao...ya kwetu ni sakosi, ni nchi wenye pesa zao imara sio yetu ya madafu na korosho, haithiri chochote kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie uvccm kwanini mmeamua kujitoa akili kiasi hiki?yaani mtu asipo kubaliana na mipango ya viongozi wenu tayari ni adui?kuweni wastaarabu kwa kuheshimiana
Watu wengine ni kama vioja..hamjui mnaishi kutoka wapi wala kuelekea wapi..na inawezekana hata maisha yako binafsi yamekushinda. Sijaujua unaishije na mmeo mama kama wewe..khaa

In God we Trust
 
Tunawakaribisha katika mkutano wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Waandishi wa Habari (Press Conference) unakaofanyika Benki Kuu jijini Dar es Salaam Jumanne tarehe
15 Januari 2019 saa 4.30 asubuhi.

Mkutano huu ni muhimu sana.
Imetolewa na:

Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki
Januari 14, 2019

======

UPDATES:

11:08hrs: Mkutano bado haujaanza. Tutapata updates hapa hapa kwa kila kitakachojili.
View attachment 994855

11:15hrs Mkutano Unaanza.

Naibu Gavana Benard Kibese ndo msemaji mkuu kwa niaba ya Gavana

Rafael Naibu Gavana

Kibese: Kama mnavyojua, Sheria ya fedha imeipa Benki Kuu ya Tanzania kusimamia shughuli zote za fedha nchini. Kutoa leseni kwa benki na taasisi za fedha.

Katika kutekeleza mamlaka yake, Benki Kuu ya Tanzania iliamua kuiweka chini ya uangalizi Bank M 2/8/2018 baada ya kupungukiwa ukwasi.

Bank M ilipewa leseni hapa nchini mwaka 2008.. Bank M ilikuwa na Matawi matano na mtaji wa Trilioni moja.

Kabla ya kuiweka chini ya uangalizi, Benki Kuu ilifanya mikutano ya mara kwa mara na Bank M. Pamoja na kupewa muda wa kutosha, jitihada hizo hazikuzaa matunda. Iliwekwa chini ya uangalizi kwa siku 90 na mnamo 2/11/2018, Benki Kuu iliongeza muda kwa siku 60.

Benki Kuu ya Tanzania inautaarifu umma kwamba, kwa mamlaka iliyopewa kwa sheria ya mabenk na taasisi za fedha kwamba mchakato wa kupata ufumbuzi juu ya bank M umekamilika.

Mali na madeni ya benk M yatachukuliwa na benki nyingine..

Banki Kuu imeamua kuhamisha kwa mujibu wa sheria mali na madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd. Kwa sasa bank kuu na Azania wanaendelea kuandaa taratibu za kisheria za kuhamisha Mali na Madeni kwenda Azania.

Wateja wenye amana na wadai wengine wa Bank M watataarifiwa ni lini watapata huduma kupitia Azania. Na wale wenye mikopo wanatakia kuendelea kulipa mikopo yao kulingana na mikataba yao, na Benki kuu italisimamia hili kwa karibu.

Huyu Gavana mwanasheria hajawahi kuni impress.
Kazi za Economists waliobobea kama Ndulu wawaachie wenyewe.
 
Kamsalimie chakubanga

In God we Trust
Allpo pita akacheka!!

Kicheko chake kilikuwa cha kuchekeaha mno!!!! Basi wengi walicheka ila walokuwa na huzuni hawakucheka!!

Japo walionyesha tabasamu lao lkn macho na hata mwli vilidhihirsiha huzuni yao!!!

Sasa nkauliza mpita njia " kwanini mwacheka wakati wenzenu wanalia " mara mmoja wao akanijibu kwa swali " kwamba kwanini wao wanalia wakati sisi tunacheka " nikapigwa na bumbuazi..

Nkajisemea kimoyo moyo.. Mara neno lahasha nikaligusa kwenye simu yangu mterezo nkasema duuuuuh!!! Wenye kicheko watabaki nacho na wenye kilio watabaki nacho!!!

Ila nkauliza kwann hawa walie???? Nkaambiwa wanalia kwasababu wenzao wanacheka!!!! Nkazidi kupagawa ila nkajua jibu sahihi ni kilio na kicheko vyaweza kuungana ila kilio huwa na kilio zaidi na kicheko huchekesha mnoooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawakaribisha katika mkutano wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Waandishi wa Habari (Press Conference) unakaofanyika Benki Kuu jijini Dar es Salaam Jumanne tarehe
15 Januari 2019 saa 4.30 asubuhi.

Mkutano huu ni muhimu sana.
Imetolewa na:

Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki
Januari 14, 2019

======

UPDATES:

11:08hrs: Mkutano bado haujaanza. Tutapata updates hapa hapa kwa kila kitakachojili.
View attachment 994855

11:15hrs Mkutano Unaanza.

Naibu Gavana Benard Kibese ndo msemaji mkuu kwa niaba ya Gavana

Rafael Naibu Gavana

Kibese:
Kama mnavyojua, Sheria ya fedha imeipa Benki Kuu ya Tanzania kusimamia shughuli zote za fedha nchini. Kutoa leseni kwa benki na taasisi za fedha.

Katika kutekeleza mamlaka yake, Benki Kuu ya Tanzania iliamua kuiweka chini ya uangalizi Bank M 2/8/2018 baada ya kupungukiwa ukwasi.

Bank M ilipewa leseni hapa nchini mwaka 2008.. Bank M ilikuwa na Matawi matano na mtaji wa Trilioni moja.

Kabla ya kuiweka chini ya uangalizi, Benki Kuu ilifanya mikutano ya mara kwa mara na Bank M. Pamoja na kupewa muda wa kutosha, jitihada hizo hazikuzaa matunda. Iliwekwa chini ya uangalizi kwa siku 90 na mnamo 2/11/2018, Benki Kuu iliongeza muda kwa siku 60.

Benki Kuu ya Tanzania inautaarifu umma kwamba, kwa mamlaka iliyopewa kwa sheria ya mabenk na taasisi za fedha kwamba mchakato wa kupata ufumbuzi juu ya bank M umekamilika.

Mali na madeni ya benk M yatachukuliwa na benki nyingine..

Benki Kuu imeamua kuhamisha kwa mujibu wa sheria mali na madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd. Kwa sasa bank kuu na Azania wanaendelea kuandaa taratibu za kisheria za kuhamisha Mali na Madeni kwenda Azania.

Wateja wenye amana na wadai wengine wa Bank M watataarifiwa ni lini watapata huduma kupitia Azania. Na wale wenye mikopo wanatakia kuendelea kulipa mikopo yao kulingana na mikataba yao, na Benki kuu italisimamia hili kwa karibu.

Mtaji wa Azania unatarajiwa kufikia kiasi Shilingi za kitanzania bil 164 kiwango ambacho ni cha juu sana. Mtaji unaotakiwa kiaheria ni bil 15.

Benki Kuu ya Taanzania itaendelea kulinda wateja wenye amana nchini. Tutaendelea kuimarisha uhimilivu katika sekta ya benki nchini.

Kwa wale ambao ni shareholders na wanadaiwa na Bank M wafike Benki Kuu ndani ya siku saba ili tukae pamoja tufanye makubaliano. Lakini kwa wengine wote wanatakiwa kwenda Azania Bank.

Mkurugenzi wa Azania atakapokuwa tayari atawaita na atutangazia umma ni lini wanafungua mlango kwa umma.

SWALI: Hii ni benki karibu ya tatu kushindwa kutoa huduma ni nini tafsiri ya uchumi?

JIBU: Uchumi wa nchi unaimarika ikiwa na uimara wa taasisi za fedha. Ndo maana Benki Kuu ipo pale kuvisimamia hivi vyombo vya fedha. Benki inapoonekana kutetereka, Benki Kuu inaingilia kati kulinda amana za wateja.
Hili msilifurahie hata kidogo. Hapa kuna watu wanatafutwa. Matajiri mliokuwa na hisa ndani ya benki hii poleni sana. Mtaishi kama watumwa sio masikini tena. Kama naiona movie inafikia mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom