Benki Kuu ya Tanzania(BoT) yahamisha Mali na Madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd

Business Plan yao haikuwa imefail, sina inside information, lakini as long as hiyo BOT wanayoita liquidity risk haikuwa imeanzishwa na pressure kutoka kwa walioikopesha bank hiyo basi hakukuwa na tatizo.

To be exact, walichokisema BOT ni kwamba Bank M ilikuwa inaviolet some liquidity ratio. well, unapokuwa na mamlaka makubwa kama ya BOT busara nyingi sana zinahitajika, haukimbilii kufanya maamuzi makubwa namna kwa miongozo ya ratio, ratio is just an indicator.

Business Model ya Bank M ilikuwa ni unique, it was meant to violet every kind of liquidity ratio, BOT waliiapprove model hiyo toka mwanzo, sio kitu kilicho evolve hivi karibuni. kwa nini wamebadirika gear angani? wamekuwa Mbowe?
Basi hesabu zao zilikuwa na ukakasi coz u can't do ratio analysis without financials on hand.Do Azania Bank have competent resources to handle this kind of merger?
 
Nionacho BOT kama mlez wa taasisi za kifedha kafanya busara Mana naona bank m walikuwa na shida kwenye management haiwezekani shareholders waweke pesa zao ili kuifanya biashara iwe kubwa na wapate faida ila wao baada yakuweka mitaji wakatuvutimia wakina mm na wale wenye 20m, 50m, 100m, 5m, 2m, 500k na deposit yoyote ile Sasa hz njemba nikaenda kuchukua pesa walizoweka na kujikopesha pesa za wateja wao kwenye list utaona Kuna kampun Zaid ya 30 hapo wame overdraft that means Kama aliweka mtaji wa 50b yeye na limit ya kuwithdraw huenda n ikawa 30b au 40b ila sababu yeye n shareholder anadhaminika na asilimia ya umiliki wako hvyo kachukua Zaid ya mtaji wake na n wengi na washindwa kuirudisha ndomana wamesema bank m wanathamani ya 1trn lakin mtaji wao Yan pesa ya kufanyia biashara n chin ya 15b mfano kwenye maisha ya kawaida una magari 100 haya hufanya shughuli zake kilasiku na yanahitaji mafuta na kulipa ushuru mdogo mdogo Yan operating cost a day yamagari 100 n 50m nawewe cash uliyonayo(mtaji) n 20m hvyo kumudu kuweza kufanya biashara huwezi inabid usubiri watu walipie huduma na direct inaenda kwenye operating cost hvyo inaleta usumbufu kwenye biashara na hudumazinazorota automatically biashara itakufa kama hutotafuta solutions yake mapema na BOT waliwapa huo muda bank m lakin walishindwa kupata ufumbuzi ndo Mana wengi wa vShare holders wamechukua Chao mapema bila kufuata utaratibu hvyo impact inakuja huku kwasie tuodeposit 1m kila mwisho wa mwez na kuanza kuwithdraw 200k kila week kwa maana hyo bank m ilkua imefikia mteja akienda kudeposit pesa pale mudahuohuo Kuna watu zaidi ya kumi wanahitaji kiasi Zaid ya pesa iliodepositiwa mudahuo
Kwanza benk M haina wateja wa hizo tumilioni tu3 4 mpk 60... wateja wao ni wakubwa kabisa wenye deposits za maana kwelikweli... benki kibao zilikuwa zinakopa hiyo benki..
Ushaambiwa mtaji wake umesimama 1 Tr..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona bado upo jikoni unaota moto maana kama kila anayejiunga JF ukaamini kama yupo bongo basi nakupa pole sana

In God we Trust

Sasa kama uko huko nje ya nchi haya mambo ya huku Tanzania yanakuhusu nini wewe Fala... Endelea kuwatawaza wazee wa kizungu ili upewe vijisenti vya kula. Msenge wewe !!
 
Sasa kama uko huko nje ya nchi haya mambo ya huku Tanzania yanakuhusu nini wewe Fala... Endelea kuwatawaza wazee wa kizungu ili upewe vijisenti vya kula. Msenge wewe !!
Pole sana maana naona una hasira baada ya kushinda njaa leo na bado utaendelea kuumia

In God we Trust
 
Pole sana maana naona una hasira baada ya kushinda njaa leo na bado utaendelea kuumia

In God we Trust

Tumezoea njaa zetu Tanzania... ila wewe shoga endelea kudeki na kutandika vitanda vya wazee wa kizungu.
sio unaanza kuchochea vurugu wakati tayari wewe uliishakimbia nchi yetu. Malaya mwekundu wewe tuachie nchi yetu tuhangaike nayo sisi tuliozoea shida, tumeridhika kukata mitaa yetu ya manzese, buguruni, tandika bila shida na hali tuliyo nayo poaa tuu !!
 
Naona una hasira sana sababu ya kuvurugwa kimaisha,Pole pambana na hali yako na ujue matusi hayata kuletea ugali hapo kwako fanya kazi dogo

Endelea kuamini hivyo hivyo... Msenge wewe nina hasira na nyie mnaojifanya mnataka vita, tuachieni nchi yetu bana, kwa taarifa yako na njaa yangu lakini nina uwezo wa kukulisha wewe na familia yako miaka mitano --- Matako wewe !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom