Benki Kuu ya Dunia yatambua mfumo mpya wa elimu Kenya kuwa bora kuliko yote ukanda wote huu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,404
Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira.....

Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope.

The World Bank, in an observation report released last week, pointed to a marked improvement in literacy or languages, and arithmetic — two basic subjects learners interact with at the start of their schooling — challenges such as crowding and broken calendars due to Covid-19 notwithstanding.

Among recent reforms to its education system, Kenya has split the years spent in school through the competency based curriculum (CBC), which seeks to focus on practical schooling as opposed to studying for exams.

While pupils previously spent eight years in primary school and four in secondary, now they will spend six years, in primary then three years in what is christened junior secondary and a further three in senior secondary.

Kenya has also gone for professional teacher development system, changing the syllabi for training and licensing of teachers while pushing for a textbook-per-student policy and better school management practices with an eye on improving safety for learners.

These changes, says the World Bank report, “Kenya Economic Update: Edition 25: Aiming High, Securing Education to sustain recovery,” are the force behind improved learning outcomes, making the students in the country better performers compared to their peers in the region.

Safi sana huku bado sisiem wameshika ubongo wa watu wajanja wachache ndo walishapita sepa
 
A solid foundation for future generations., safi sana!
 
Hivi wale manesi walioshindwa mtihani wa elementary English ili kufanya kazi Uingereza walitokana na mfumo gani wa elimu?
 
Kenyans are always ahead of us (Tanzanians) in so many aspects of life.
Nawapongeza sana Wakenya kwa hatua hii ya kubadilisha mtaala wao wa elimu. Sisi Tanzania itatuchukua miaka 100 kufika Kenya walipofikia .
 
Hii hoja yenu pendwa kuhusu hao manesi wa Kenya na ajira kule UK, huwa ni ya kipuuzi sana na ya kujiliwaza tu. FACTS ni kwamba kati ya manesi 2,685, ambao walichangamkia fursa hiyo, 644 tu ndio hawakupita mtihani/hawakukidhi vigezo. Vigezo ambavyo vilikuwa kadhaa, likiwemo la kupita mtihani wa 'English profficiency test', kumaanisha zaidi ya 80% walifaulu mtihani. Tena kati ya hao 644 kuna wengi ambao walikataliwa kisa vigezo vingine, k.m. kutosajiliwa kwenye Nursing Council of Kenya, kuwa na leseni za unesi ambazo ni expired n.k.

Zaidi ya yote, UK ilikubali kuwachukua hata wale manesi kati ya hao 644, ambao walikidhi vigezo vingine vyote lakini wakafeli mtihani. Wakiwa na nia ya kuwapa ajira, baada ya kuwafanyiwa mafunzo zaidi ya 'medical English' tu, kumaanisha kwamba wapo sawa kwenye taaluma yao.

Alafu wote hao ni waliohitimu kwenye mfumo wa 8-4-4(uliobuniwa na wakenya pia), sio huu mpya wa CBC(2-6-3-3-3). Ingekuwa ni watanzania sijui kama wangefaulu hata 5%. Sasa hivi hao manesi wamefungua fursa kwa manesi wengine 20,000 kutoka Kenya, ambao wanahitajika kule UK. Serikali ya Kenya na UK zilishatia saini mkataba, kuhusu ajira hizo. Manesi ambao walifanikiwa walikubaliwa kuhamia UK pamoja na familia zao, mishahara ambayo wanapokea ni sawa ni ile ya wazawa.
Govt Announces 20,000 UK Jobs for Kenyans
 
Hii hoja yenu pendwa kuhusu hao manesi wa Kenya na ajira kule UK, huwa ni ya kipuuzi tu. FACTS ni kwamba kati ya hao manesi 2,685, manesi 644 tu ndio hawakukidhi vigezo. Vigezo ambavyo vilikuwa kadhaa. Sio tu la kupita mtihani wa 'English profficiency test', kumaanisha zaidi ya 80% walifaulu mtihani. Tena kati ya hao 644 kuna wengi ambao walikataliwa kisa vigezo vingine, k.m. kutosajiliwa kwenye Nursing Council of Kenya, kuwa na leseni expired za unesi n.k.

Zaidi ya yote, UK ilikubali kuwachukua hata wale manesi kati ya hao 644, ambao walikidhi vigezo vingine vyote lakini wakafeli mtihani. Wakiwa na nia ya kuwapa ajira, baada ya kuwafanyiwa mafunzo zaidi ya 'medical English' tu, kumaanisha kwamba wapo sawa kwenye taaluma yao.

Alafu hao ni waliohitimu kwenye mfumo wa 8-4-4(uliobuniwa na wakenya pia), sio huu mpya wa CBC(2-6-3-3-3). Ingekuwa ni watanzania sijui kama wangefaulu hata 5%. Sasa hivi hao manesi wamefungua fursa kwa manesi wengine 20,000 kutoka Kenya, ambao wanahitajika kule UK. Serikali ya Kenya na UK zimeshatia saini mkataba, kuhusu hizo ajira na manesi wanakubaliwa kuhamia UK pamoja na familia zao.
Govt Announces 20,000 UK Jobs for Kenyans
wabongo tunakaza fuvu sana lakin mambo haya ndio ya kuiga mazuri hatuna viongozi kwakweli
 
Kenyans are always ahead of us (Tanzanians) in so many aspects of life.
Nawapongeza sana Wakenya kwa hatua hii ya kubadilisha mtaala wao wa elimu. Sisi Tanzania itatuchukua miaka 100 kufika Kenya walipofikia .
Of course, Kenyans are ahead of us in every thing, creativity included.
 
Attachments

  • IMG_20220519_165017.jpg
    IMG_20220519_165017.jpg
    54.5 KB · Views: 8
  • IMG_20220519_165017.jpg
    IMG_20220519_165017.jpg
    54.5 KB · Views: 8
  • IMG_20220519_165003.jpg
    IMG_20220519_165003.jpg
    32.9 KB · Views: 8
Hii hoja yenu pendwa kuhusu hao manesi wa Kenya na ajira kule UK, huwa ni ya kipuuzi sana na ya kujiliwaza tu. FACTS ni kwamba kati ya manesi 2,685, ambao walichangamkia fursa hiyo, 644 tu ndio hawakupita mtihani/hawakukidhi vigezo. Vigezo ambavyo vilikuwa kadhaa, likiwemo la kupita mtihani wa 'English profficiency test', kumaanisha zaidi ya 80% walifaulu mtihani. Tena kati ya hao 644 kuna wengi ambao walikataliwa kisa vigezo vingine, k.m. kutosajiliwa kwenye Nursing Council of Kenya, kuwa na leseni za unesi ambazo ni expired n.k.

Zaidi ya yote, UK ilikubali kuwachukua hata wale manesi kati ya hao 644, ambao walikidhi vigezo vingine vyote lakini wakafeli mtihani. Wakiwa na nia ya kuwapa ajira, baada ya kuwafanyiwa mafunzo zaidi ya 'medical English' tu, kumaanisha kwamba wapo sawa kwenye taaluma yao.

Alafu wote hao ni waliohitimu kwenye mfumo wa 8-4-4(uliobuniwa na wakenya pia), sio huu mpya wa CBC(2-6-3-3-3). Ingekuwa ni watanzania sijui kama wangefaulu hata 5%. Sasa hivi hao manesi wamefungua fursa kwa manesi wengine 20,000 kutoka Kenya, ambao wanahitajika kule UK. Serikali ya Kenya na UK zilishatia saini mkataba, kuhusu ajira hizo. Manesi ambao walifanikiwa walikubaliwa kuhamia UK pamoja na familia zao, mishahara ambayo wanapokea ni sawa ni ile ya wazawa.
Govt Announces 20,000 UK Jobs for Kenyans
I am a Tanzanian, so I tell u ignore this guy. Kenya is ahead, we Tz are backward and we have bogus leaders.
 
Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira.....

Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope.

The World Bank, in an observation report released last week, pointed to a marked improvement in literacy or languages, and arithmetic — two basic subjects learners interact with at the start of their schooling — challenges such as crowding and broken calendars due to Covid-19 notwithstanding.

Among recent reforms to its education system, Kenya has split the years spent in school through the competency based curriculum (CBC), which seeks to focus on practical schooling as opposed to studying for exams.

While pupils previously spent eight years in primary school and four in secondary, now they will spend six years, in primary then three years in what is christened junior secondary and a further three in senior secondary.

Kenya has also gone for professional teacher development system, changing the syllabi for training and licensing of teachers while pushing for a textbook-per-student policy and better school management practices with an eye on improving safety for learners.

These changes, says the World Bank report, “Kenya Economic Update: Edition 25: Aiming High, Securing Education to sustain recovery,” are the force behind improved learning outcomes, making the students in the country better performers compared to their peers in the region.

Haya mavitu ni mazuri ukiyasoma kwenye maandiko ila implementation hovyo
 
Tupo kwenye implementation na ndio maana umeona mpaka yamewafikia benki kuu, nakiri ni shughuli si haba, nina mwanangu mdogo yupo kwenye huu mfumo na kwa namna tunapelekeshwa yaani tu. Mfumo wetu utazalisha kizazi tofauti sana kilicho mbele ya wakati wa Kiafrika.
 
Sawa hongereni.
 
Hongereni majirani. Tunawaombea mfanikishe utekelezaji wa huo mpango. Hizi serikali zetu sarakasi nyingi sana, anaweza kuja rais mwingine akaleta upupu wa kuvuruga mfumo wa elimu uliopo.

Ni hatua nzuri sana kuandaa kizazi chenye uwezo wa kutumia elimu Yao ipasa yo kukabiliana na changamoto binafsi na taifa Kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom