Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Habari wadau!
Jana katika mkutano wa WB gavana wa benki kuu alitoa kauli tata ambayo wanasiasa na serikali wanapotosha wananchi na wananchi wanaichukulia kama wanavyopotoshwa
Kusema kuwa benki kuu imeachia bilioni 400-500 mtaani sio kama zile pesa maarufu kama pesa za JK kipindi kile cha mdororo wa uchumi.
Hizo pesa ni za mabenki ya biashara zilizopo benki kuu kama Reserve.
Baada ya benki kuu kupunguza deposit ratio toka 10%-8% kuna gepu la 2% hizo ndo kati ya Bil 400-500 kwa benki zote nchini takribani 53.
Sasa haina maana mabenki yote yatakopesha pesa hizo kwa wananchi ni maamuzi ya benki husika kuamua kuzifanyia nini.
Kwa maana hiyo tusipotoshe kuwa kuna bilioni 500 ambazo benki kui au serikali imezimwaga mtaani