Benki Kuu hatimaye imechapisha Taarifa ya Mapitio ya Uchumi wa Mwezi Oktoba kupitia Novemba 2016

Sie tunasema Uchumi umetikisika mwingine anasema hapana .sisi wapiga dili hatufanyi kazi [HASHTAG]#wakati[/HASHTAG] tunalima sana ila soko limetikisika ?# bavicha acheni unafiki kwa kudanganya (sio maneno yangu ya vijiweni )
 
Kuwahusisha na chama au kundi fulani watuwanaokosoa kuhusu uchumi wa Taifa (siyo wa chama) Ni UPUMBAVU na ni hatari

haiwezekani mtu anaezungumza habari za kitaifa kumuita kwa jina la kikundi, kama sivyo alivyojinasibisha.

Nchi ipo katika kipindi kigumu ushahidi huo hapo!
asiyekubaliana na ukweli huo anajua takwimu za nyumbani kwake mwenyewe
 
Akina Lizaboni FaizaFoxy wanasema uchumi unakua kwa kasi kubwa sana.
Mapato ya Serikali kwa mwezi Oktoba yamepata pigo kwani ni 83.8% tu ya lengo ndio limekusanywa
Kwa sababu grants (misaada) iliyoahidiwa imetolewa kwa 30% tu. Lakini mapato ya kodi tangu july ni 97% of the target, na kwa mwezi October ni 93% of the target.
 
Mtu ambaye hataki tuikosoe serikali ni wa kuogopa kama ukoma kwani moja ya faida ya kuikosoa serikali ni upatikanaji wa elimu bure mpaka kdt cha nne.Na sasa tunaona udhaifu mwingi kwenye sera ya uchumi hali iliyopelekea mizigo kupungua bandarini,watalii kupungua kwenye hifadhi zetu na,benki kufilisika,soko la hisa kuteteleka,na viwanda vilivyopo kuteteleka kiasi cha kupunguza wafanyakazi.Sasa ktk mazingira haya tunaambiwa mapato ya kila mwezi yameongezeka kiasi cha kuvuka lengo, kwanini tusiwe na mashaka kuwa huenda TRA wanapika takwimu kuogopa kutumbuliwa? Kwani kiuhalisia kama kweli mapato yameongezeka kwanini hatuongezewi mishahara yetu iliyositishwa kuongezeka,kwanini hatupandishwi madaraja yetu yaliyozuiwa, kwanini vijana hawaajiliwi hali kuna uhaba mkubwa wa walimu wa hesabu na sayansi,pamoja na wahudumu wa afya.Piakwanini kuna uhaba wa dawa hospitalini?Mwisho kwanini wastaafu wanamaliza mwaka sasa hawajalipwa stahili zao?
 
Inahitaji moyo wa chuma kusimama na kusema eti tunasonga mbele.....wahisani nao ni kama wametususa baada ya kuona namba zinapikwa wameamua kukaa kimya ili tujiendeshe na makusanyo yetu ya kufikirika..
 
Wadau tujitahidi kuisoma hii ripoti kwa umakini coz kuna mambo mengi sana ambayo serikali imejitahidi kuyafanya especially ku improve balance of payments nakadhalika coz naona hata kwenye exports tumejitahidi kidogo while import control bado ina increase though at a decreasing rate.
 
Tatzo kuna wanywa VIROBA huMU wao watachukulia juu juu badala ya kusoma RIPOTI.......Hawa vijana wakesho wana laana sana.....
 
Back
Top Bottom